Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

Mimi sijaelewa bado maana nina 3,017,500,accomodation kwa mwaka mie ni 119,000, na tuition fee ni mil 1.3 sasa hapo unafanyaje maana kila ninapojaribu kufuta mfano wako kaka sipati jibu linalo eleweka.
 
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
mbona hujachanganua na kutuambia kwamba 75% ya hizo pesa zinaishia kwenye ulabu(TBL)?
 
Mimi sijaelewa bado maana nina 3,017,500,accomodation kwa mwaka mie ni 119,000, na tuition fee ni mil 1.3 sasa hapo unafanyaje maana kila ninapojaribu kufuta mfano wako kaka sipati jibu linalo eleweka.

60% inakuhusu..
 
Ze dudu nisaidie nina 3322500/= je asilimia yangu ni ipi hapa?

Ada mill 1.
Acommodation mil 2!! Pliiz hel
 
mkuu mimi kuna mtu amenielewesha iv,
library 200000
chakula 1832000 kwa siku 245 katika mwaka
hostel huwa inalipiwa 500 kwa usiku mmoja which is 122500 kwa mwaka
field 600000 sasa jumlisha izo alafu utoe kwenye loan uone unabakiwa na sh ngap

Kijana ngoja nikueleweshe, mfano kwa wanaosoma udom muhuri ukianza tu kuna kitu kinaitwa direct cost ambazo ni hostel na kwa mwaka haizidi laki na 30 na unaweza lipia nusu mwaka au mwaka mzima so boom ukala lote.
Ukitala jua percent yako fanya hivi
Mfano umepewa 3500000
Na tuition fee yako ni 1500000
Chukua hiyo 3500000-2060000=1440000
Then fanya hivi (144000/150000)x100=96%.
Nimekupa mfano ofcoz in reality haiwez kuja 96 imeangukia hapo coz ya figure niliyotumia
Note: hyo 2060000 ndiyo ela itakayo pita mkononi kama meals and accomodation mwaka kwa mafungu mafungu mwaka mzima nyingine hutoiona.
 
Na mm naomba mnisaidie,tuition fee ni 10000000 afu nimepewa 3266500 je hii ni % ngapi wakuu naombeni msaada.
 
Kijana ngoja nikueleweshe, mfano kwa wanaosoma udom muhuri ukianza tu kuna kitu kinaitwa direct cost ambazo ni hostel na kwa mwaka haizidi laki na 30 na unaweza lipia nusu mwaka au mwaka mzima so boom ukala lote.
Ukitala jua percent yako fanya hivi
Mfano umepewa 3500000
Na tuition fee yako ni 1500000
Chukua hiyo 3500000-2060000=1440000
Then fanya hivi (144000/150000)x100=96%.
Nimekupa mfano ofcoz in reality haiwez kuja 96 imeangukia hapo coz ya figure niliyotumia
Note: hyo 2060000 ndiyo ela itakayo pita mkononi kama meals and accomodation mwaka kwa mafungu mafungu mwaka mzima nyingine hutoiona.

hiyo hela ya hostel mbona haipo kwenye barua zao?maana direct cost wameandika 182500.je hiyo ela ya hostel inatoka bodi as accomodation au unajilipia?kwenye hiyo mil 2 na elfu 60 iyo elfu 60 niya nini?coz chakula na library ni 1837500 kwa siku 245,
ok mi nina 3777500 na coz yangu ni 1.2 mil
 
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%

wadau nami nahitaji msaada wamenipa sh 3,452,500 na tuition fee ni sh 1,000,000 je nna asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom