Management ya chuo cha uhasibu arusha na ukandamizaji wa haki za wanafunzi

Moses James

Senior Member
Dec 13, 2012
131
21
Habari WanaJF, the home of great thinkers, kwa kutambua uwepo wa jukwaa hili lenye member makini na wenye uwezo wa kudadavua mambo mbalimbali napenda kuwaletea changamoto zinazowapata wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha (IAA) Especially wanaopokea mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB)
o Mfumo wa ulipaji ada (tuition fees), katika chuo hiki, mfumo wa ulipaji ada ni kandamizi kwani hautengi makundi ya wanafunzi according to their financial differences as well as their sponsorship. Mfano wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza, wanatakiwa kulipa 60% of the total tuition fees ie 1750,000/= equivalent to 1,038,000/= without that a student can not be registered as a bonafide student of IAA.Mfumo huu haujalishi kuwa kuna wanafunzi ambao hawana uwezo kwa sababu ufukara, yatima na matatizo mengine ya kiuchumi.(nukuuu ya prospectus ya chuo kuhusu ulipaji wa ada inasema, "all fees should be paid affront before registration.however, in case of financial difficulties fees must be paid in two installments as follow: semester 1-60%, semester 2-40%, THERE would be no exception; all students regardless of sponsorship status ought to pay according to policy" sasa nini maana ya serikali kuwafadhili wanafunzi wasio na uwezo wa kujilipia gharama za chuo? Je wanafunzi wenye matatizo ya kiuchumi wanaolipiwa na serikali asilimia 100% ya gharama wanapataje hiyo 60%? Vipi kwa wenzetu kwenye vyuo vingine mfumo huu upo? Nini kifanyike ili kuondokana na kero hii ,maana tunaona viongozi wetu wanajitahidi kwa kila namna lakini wanagonga mwamba hapa chuo, labda JF the home of great thinkers naweza kupata a way through.
o MFUMO WA MONEY REFUND KWA WANAOZIDISHA HELA; mbali na kulazimishwa kulipa 60%, wanafunzi wanaolipiwa na bodi ya mikopo, hela za tuition fees zikija, wanafunzi wote husaini ada lakini wakidai refund ya hela zao walizolipa in advance hawapewi forinstance, mimi nalipiwa 100% ya ada, lakini ilibidii nilipe 1,038,000/= mwaka wa kwanza na mpka leo sijarudishiwa hela yoyote nikidai naambiwa nitarudishiwa hela hiyo baada ya kumaliza masomo yangu mwaka wa tatu, je hii ni sahihi? Kumbuka hii hela ni ya mzazi na usikute alikopa ili nisome akitarajia kuwa nitarudishiwa soon after fedha za serikali zikija then nimrudishie. N.B Tatizo hili siyo langu tuu bali ni wanafunzi wengi sana wanakidai chuo na kimekuwa reluctant kuturudishia hela zetu. Jana tulikuwa na kikao cha loan beneficiaries na viongozi wetu cha kushangaza tulitegemea uwepo wa loan officer na mkuu wa chuo,lakini hawakuja na tukaambiwa kuwa wamepata dharura ndio maana hawakuweza kufika japo walikuwa wameombwa wawepo ili kujibu na kutatua kero zetu.WanaJF, naombeni michango yenu nini kifanyike juu ya hili au hata kwenye vyuo vingine hali iko hivi hivi ili tuvumilie tuu?
o MICHANGO YA CHUO KWA MWAKA; Japo sina taarifa za kutosha kutoka vyuo vingine nchini, nakwa kuwa watu wanasema " no research no right to speak" but I have speak since JF is more than literature review, more than normal research. For every year a student has to pay the following contributions; registration 20,000/=, Examination fee 70,000/=, Application form 20,000/=,computer lab fee for computing programs/non-computing programs 200,000/100,000 making a total of 250,000 for non computing, and 350,000 for computing programs, WanaJF, hapo kwenye bold, tatizo sio ulipaji wa hicho kiasi bali kazi ya huo mchango kazi yake haionekani kwani kwa mahesabu ya haraka haraka, IAA main compus in idadi ya wanafunzi 3,323*150,000*3years=1,495,350,000/= kwa akili ya kawaida chuo kilibidi kiwe na compyuta mpya na za kisasa, modern software improvements etc, lakini cha kushangaza chuo kina computer old fashioned, zimechoka, zote zinatumia window ya 2003, hazina hata antivirus ukiweka flash yako lazima ukitoka ukanunue mpya kwani kuna viruses hatari sana kwa maendeleo ya FLASH, computer lab zote hazina viti, kipindi cha computer kikifika mwanafunzi lazima ubebe kiti kutoka other lecture theatre ndio ukae, pia chuo mpaka sasa hakina wireless facilities, kipindi cha matokea lazima uulize mtu ambaye yuko chuo ndo upate matokeo, ama usafiri kutoka uliko ukaangalie matokeo lasivyo utajikuta umediscontinue automatically na mengine mengi.
o MFUMO WA KUPOKEA HELA ZA MEALS& ACCOMODATION (BOOM); Hakika sijajua kwenye vyuoi vingine laikini chuo cha uhasibu arusha (IAA) tunachangamoto kadhaa zukiwemo ucheleweshaji wa kusaini ada na boom, mfano tulifungua chuo 07/10/2013 lakini tumesaini mkopo tar 07/11/2013, kwa wale waliopata supplementary walisaini hela ya meals and accomadation tar 7/12/2013 kwa miezi yote miwili walikuwa wanaishi kwa neema za mwenyezi Mungu tuu, sijui kwenye vyuo vya wenzetu kukoje au hali ndio hiihii? Pia kuna wanafunzi ambao walisaini boom mwezi wa 7/12/2013 mpaka sasa hatujaingiziwa hela zetu kwenye account wakidai kuwa majina yetu yalisahaulika wakati wa kutuma cheque,lakini tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara hapa chuoni na majibu ni yaleyale, hivyo tuko kama wanafunzi hamsini (50*450,000= 22,500,000) je kiasi hiki chote kimekaliwa na chuo kwa sababu gani? Je hawaoni kuwa wanafunzi tunapata shida kubwa sana kimaisha hapa chuoni? Wiki ijayo tunaanza mitihan ya kumaliza semester na tutafunga takribani wiki tatu bila hela yetu kupewa, je hii ni halali?
  • KUTOFAUTINANA KWA KIASI CHA MEALS& ACCOMODATIONS NA MAKATO YA BENKI, mfumo wa kupokea hela ya boom umebadilika kwa mwaka wa masomo 2013/14, mwaka wa masomo 2012/13 tulisaini kiasi cha 665,000 ie (7500 per day* 31days=465,000 boom plus 200,000 ya books & stationery) lakini kwa mwaka wa masomo 2013/14 hali imekuwa tofauti kwani sahivi tunapokea sh 450,000-2000=448,000/= kila baada ya miezi miwili ikiwa wamepigia mahesabu ya siku thelathini kwa mwezi mmoja throuhout the accademic year, mpaka sasa hatujapata maelezo ya kutosha juu ya hili labda ndio imekuwa hivyo kwa vyuo vyote. pia makato ya sillingi elfu mbili kwa kila anayepokea boom sijajua kama yapo katika vyuo vingine pia kwani amount ya boom inaingia ikiwa imekatwa ths 2000 ambayo hata kama ukichukua bank statement haionekani imekatwa kwa sababu gani. baada ya kumuuliza waziri wa mikopo wa chuo chetu akadai kuwa elfu mbili ni bank charges na hukatwa wakati chuo kinapeleka cheque bank, hivyo haiwezi kuonekana kwenye account ya mwanafunzi.Hivyo basi, kwa kuwa JF is also the center of students from different higher learning institutions ninaomba mnipe mchanganuo katika vyuo vyenu hali ikoje.
Ndugu wanaJF naanini kuwa kuwepo kwa maGT kutaniwezesha kupata a way forwad regarding what should be done ili kuondokana na kero hizi, kwani sisi wanafunzi tomezichoka na zinatukera sana. Pia JF is the home of insightful thoughts, kuna wasomi wakutosha, walilmu, mawaziri, TISS, na wengine wengi nadhani ujumbe huu utakuwa umewapata hivyo tunaomba jitihada za haraka kunusuru hali hii.

N:B Chuo cha uhasibu arusha kiko chini ya wizara ya fedha, hivyo mawaziri wa wizara hii pamoja na wale wa wizara ya elimu na bodi ya mikopo tunaomba sana mkipita kwenye huu uzii mchukue hatua za haraka. AhsantenI na Mungu awabariki.
 
Hii ndo serikali yetu
ukidai haki unaonekana hupendi maendeleo
ila tumieni utaratibu mzuri mdai haki yenu
msije fanya kama ya mwaka jana..!!
 
Hii ndo serikali yetu
ukidai haki unaonekana hupendi maendeleo
ila tumieni utaratibu mzuri mdai haki yenu
msije fanya kama ya mwaka jana..!!

aise poleni sana ndugu yangu dah hadi nimekuonea huruma chalii vyuo hivi ndo tabia yao lakin cha kwako kimezidi,hat sisi tulivuokuwa wanafunzi tuliwahi kupata shida lakin si kama hii
 
Mnakuwaje tawi la wizara na longo longo zote? Mbona TIA na IFM haziko hivyo?
 
Mnakuwaje tawi la wizara na longo longo zote? Mbona TIA na IFM haziko hivyo?

mkuu ndo maana nikaleta thread hii ili nipate kujua hali ikoje kwenye vyuo vingne, ungenipa analysis jinsi gan longo longo zetu znatofautiana na za kwenu. Hapo ndo tutajenga comparative arguement on what should be done. Thanks
 
My deer brother. Worry not. Life has challengers of which those challenges always I count them as road mark to success. For watoto was mama it is very difficult to note the pollution behind this chuo requirements on payments of tuition fee. Being campaser or mwanachuo you need to be creative. Don't be like mtoto wa class 7 ambae always anataka asaidiwe kufikiri.
 
Back
Top Bottom