Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%

Nafikiri Meal and accomodation ni 2,380,000....hii inatokana na kuwa vyuo vingi km siyo vyote vinatumia mtindo wa semester...semester 1 ni week 15,sawa na siku 115.ukiongeza wiki 2 za mtihani ni siku 119 .Hivyo kwa mwaka ni siku 238. 238x10,000= 2,380.000.

Baada ya kutoa hiyo iliyobaki igawanywe kwenye karo,field allowance,BOOK AND STATIONARY,NA SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS.
 
upo. ila kuna changamota naipata,kuna njia nyingine inatumika kupata hz % mbona wengne wananiambia nina 80% wengne 40% na wengine 30% mbona sielewi mkuu embu nisaidie plz

kaka mi najua una 50% maybe kama kuna error 40% ni Yako Hiyo 80% kakudanganya
 
Meals and Accommodation fee zinatofautiana kutokana na siku utakazo ishi chuo
Mfano mimi ntakaa chuo kwa siku 245 so itakua namna hii
245×7500=1,875,000
and kuna wengine chuoni kwetu watakaa siku 287 so pesa yao lazima itofautiane na sisi
 
kaka mi najua una 50% maybe kama kuna error 40% ni Yako Hiyo 80% kakudanganya

embu angalia njia hii uone inakuja ngapi?

KIDUNDULIMA 21:45
Today
katika 3117500
kwanza kabisa toa
stipend (hela ya
chakula na malazi
ambayo kwa mwaka
ni 1875000
(3117500-1875000=
1242500). Katika
1242500 iliyobaki
baada ya kutoa hela
ya chakula toa tena
hela ya vitabu
ambayo ni sh. 200000
kwa mwaka
(1242500-200000=1042500).
Sasa kama kozi yako
inahitaji field kwa
mwaka wa kwanza
ambapo mara nyingi ni
sh. 600000 kwa miezi
miwili hivyo uitoe
katika 1042500
(1042500-600000=442500).
Baada ya kutoa hayo
yote hela inayobaki
ndo percent ya ada
ambapo kwa kesi hii
ni sh 442500. na
kama kwa mwaka
wa kwanza
aingekuwa na field
then percent yake ya
ada ingekuwa
1042500. sasa
chukua hela iliyobaki
let say 442500
gawanya kwa ada ya
mwaka ya chuo
letsay kama BAED
UDSM ni sh. 1000000
mara 100 nadhani
hapo utapata asilimia
 
n me nko udom ada laki nane;;;;wamenipa milion mbili laki mbili na elfu tisini na saba na mia tano;;;help me'''
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom