Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%

xory bra! Mi nmepata 3447000 n tuition fee ni 1263000, hvyo nahtaji msaada wako nweze jua nmeramba% ngapi
 
hiyo hela ya hostel mbona haipo kwenye barua zao?maana direct cost wameandika 182500.je hiyo ela ya hostel inatoka bodi as accomodation au unajilipia?kwenye hiyo mil 2 na elfu 60 iyo elfu 60 niya nini?coz chakula na library ni 1837500 kwa siku 245,
ok mi nina 3777500 na coz yangu ni 1.2 mil

Ela ya hostel iko included kwenye direct costs ambayo wamejumuisha ikaja 280000 if not mistaken. Hiyo ela ya hostel inakuwa included katika hiyo 7500 ndo maana inaitwa ela ya meals and accomodation.
Lakini kwakuwa ela uwa inachelewa kuja na huwezi sajiliwa bila kulipia hostel ndiyo maana watu uwa wanalipia hostel hata kabla ya boom coz haizi elfu 65 kwa semister au 130000 kwa mwaka so ukija pokea booom unaitumia yote maana hostel ushalipia
 
wewe ze dudu unazingua wenzio, afu hesabu hujui na nan kasema kila kozi wanaenda field mwaka wa kwanza? huo ukokotoz wako umeutoa wapi?na kama unashindwa kukokotoa hesabu ndogo hivo utaweza kutumia hiyo asilimia 100 unayojipangia. Kwani we bodi ya mkopo?kuna hela ambayo first year mnatangulia kupewa mbona haipo kwenye mahesabu yako? pia hela ya field kwa 100% ni 620000 sasa mbona we mbona umejipunja hiyo hela ya field?
 
Ela ya hostel iko included kwenye direct costs ambayo wamejumuisha ikaja 280000 if not mistaken. Hiyo ela ya hostel inakuwa included katika hiyo 7500 ndo maana inaitwa ela ya meals and accomodation.
Lakini kwakuwa ela uwa inachelewa kuja na huwezi sajiliwa bila kulipia hostel ndiyo maana watu uwa wanalipia hostel hata kabla ya boom coz haizi elfu 65 kwa semister au 130000 kwa mwaka so ukija pokea booom unaitumia yote maana hostel ushalipia

kaka asante,umetatulia kilchokua kinaniumiza kichwa sana,thanx
 
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
Niaje (kaka)Ze dudu, Naomba nisaidie hapa mimi nimepata 3299500 na ada ni 700000 then nina field.. Je nina% kama ngapi hapo? Plz msaada
 
Hivi tuseme wote mnao omba kukokotolewa % zenu hamuwezi fanya hesabu ndogo kama hiyo???
inasikitisha sana jamani hesabu za kutoa kuzidisha na kugawanya mpaka tusaidiwe?? Acheni kujidharirisha ndugu zanguni fuateni mfano huo,
kwanza naomba kuwaeleza kua pesa ya Meals & Accommodation hailingani kutokana na idadi ya siku utakazo kaa chuoni, mfano mimi chuo nitakaa siku 245 ambapo nitapata Tsh.1,837,500/= siwezi lingana na yule ataekaa chuo siku 287. so ilikujua % yako jipigie kutokana na taarifa zako binafsi, sio kuangalia jinsi mtu alivyo Jipigia.

ze duduz tafadhari rekebisha maelezo yako hapo juu maana kila mtu humu anakokotoa kutokana na taarifa uliyo toa.
 
Last edited by a moderator:

umexomeka xana 2 mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%

msaada wakuu,kuna m2 kapata 300 000. open university. sasa hapo inagawanywa vipi?
 
hiyo ni 40% hadi 50% maana OPEN UNIVERSITY hakuna field, meals & accommodation, stationaries wala faculty requirements kwa sababu wanao soma open university wanakaa home wanatumiwa material kwa posta.
 
shukrani mkuu, hapo nimekuelewa
 
Wnajamvini kwa taarifa nilizipata mimi ni kwamba:
MEALS AND ACCOMODATION ni tshs 1,852,500
Books and Stationery 200,000
Field 620,000*

Kwamba kila mwanafunzi anapewa sawa pesa ya meals and accomodation na pia Books and Stationery total ni Tshs 2,052,500,lakini field inategemea km ni requirement ya degree programm husika,kwa mfano wanafunzi wa ualimu wana Teaching practice hivyo wote wanapewa flat rate ya 620,000 lakini kuna wanafunzi wa degree nyingine wana faculty requirement ampayo kiasi kinatofautina baina ya degree moja na nyingine kulingana na mahitaji!

Kwa mfano, mwanafunzi wa degree yoyote ya Ualimu pale UDSM amepewa na bodi Tshs 3,496,500 anatakiwa kujumulisha meals and accomodation, books and stationery (2,052,500) pamoja na Teaching Practice(6,200,000​​) jumla inakuwa Tshs 2,672,500 ambayo atapatiwa kwa kwa awamu mbalimbali kwa mwaka mzima kisha anachukua jumla ya mkopo wote Tshs 3,496,500 anatoa hiyo Tshs 2,672,500 anapata Tshs 824,000 ambayo ndicho kiwango cha ada ambacho Bodi itamlipia chuoni.

Kupata kiwango cha yeye kulipa ada chuoni anatakiwa kuchukua ada degree ya UALIMU pale UDSM ambayo ni Tshs 1,000,000 anatoa kiwango cha bodi ambacho ni Tshs 824,000 anapata kiwango ambacho atatakiwa alipe ada moja kwa moja chuo tshs 2496,500!

Yangu ni hayo tu sina la ziada nawasilisha
 
Back
Top Bottom