AshaDii uko creative sana, ndo maana naku inspire sana. Kwa kusoma huu uzi, ahsubuhi imekuwa njema kwang. Maana nimecheekaa.
Unam-inspire au anaku-inspire au unam-admire? amma unam-admire amma anaku-inspire. -
Kasheshe yake umeiona? asiku-inspire kwenye haya tu, tazama siku ya harusi yake AshaDii alivyomfanyia mumewe.
dada kubwa umesahau kwamba ni zamu yangu?
ndetichia, Fredrick Ishengoma, Mpatanishi na HorsePower wakiwa na mwenyeji wao Apollo kwenye music production center ya BAK (mwenye kipara)...
kumbe jf kuna kikundi changoma? Kwanini msitafute tenda ya kwenda kumuimbia jk aporudi kutoka kwenye majumba ya watu?
i like them all.
...............ndio maana umemshikia "kifanyio" tayari tayari !?:laugh:
nampenda sana huyu utamu wake unaonekana dhahiri.thanks hasa hapa chini ya paja penye kigiza giza hapa wallah pantamanisha.Roulette Dearest... You have made my day... Nimecheka vibaya mno.. Dah! Did not expect this... hahaha!
[
mwenye mtoto hawezi kuwa na chuchu za aina hiyo.
Shem AshaDii Hii picha ni konfidesho.........wacha niongee na Kaizer nijue la kufanya! BTW: Hizo nyonyo za Keren_Happuch hizo!
ADii,.....kumbe PAW ni ni dada yetu??? Siku zote najua ni njemba na kwamba once in while inatuma PM za uchokozi kwa wajukuu zangu!!
Babu DC!!
I see AshaDii leo ulikesha msibani nini?
AshaDii uko creative sana, ndo maana naku inspire sana. Kwa kusoma huu uzi, ahsubuhi imekuwa njema kwang. Maana nimecheekaa.