JF Members in their real pictures... LOL!

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078
Hi Dears...

Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol,

Anaetufungulia ni Mwali...

african-woman-black-and-white.jpg


Update:
AshaDii: In my own courtesy (Roulette) alter utajibeba nimeweka picha yako na wewe!

post.png
 
Mi mbona umenruka, njoo huku tuongee basi siunaona tuko wenyewe tu;

hahaha! Nimekuruka sababu hio post ya juu mie nimepanga kuirepoti itolewe kabisa... Mana naona kama unaharibu bendi. Picha yako na wewe nimeiona, nimeshangaa sauti kuuubwaaa kumbe bado mtoto mdogo.. lol. (I kid)




Mamndenyi akiwa na CUTE na Roulette wakati wadogo.. (yule nyuma) lol

v0_master.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom