KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080
Habari wapendwa wa Jf,

Leo ni siku kubwa kwangu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Siku yangu ya kuzaliwa Kwa misingi ya siku niliyoingia hapa duniani ni tarehe kama ya leo June 23 miaka mingi iliyopita.

Naomba nitumie nafasi hii kuongelea MTAZAMO wangu juu ya kuzaliwa kwa mwanadamu.

Mie naamini kuwa mwanadamu katika uhai wake huendelea kuzaliwa. Mara ngapi anazaliwa upya na ni vitu ama watu gani wanachangia kwa kuendelea kwa kuzaliwa mtu huyo kunapishana. The more mwanadamu anazaliwa katika maisha yake, the more busara na hekima hukua ama kudidimia na kumfanya awe tofauti zaidi. Hutofauti huo kwa bahati mbaya ama nzuri unaweza kuwa kwa uzuri ama kwa ubaya tokana na the Choices we make&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Kuzaliwa upya huja pale ambapo kuna kitu ama tukio ambalo linakuwa limekugusa mno iwe kwa uzuri ama kwa ubaya kiasi kwamba hicho kitu ama hilo tukio likakubadilisha kabisa katika vitu msingi vikufafanuavyo &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Iwe Msimamo /Fikra/Mtazamo/Amani ama Imani.

Nikirudi kwangu...

Katika maisha yangu nje ya siku ya kuzaliwa naweza sema kuwa Nimezaliwa mara kadhaa&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Naweza sema nilizaliwa upya nilipovunja Ungo katika umri mdogo mno katika kipindi ambacho wazazi walikuwa hawapo wazi na haya; ikanifanya kujipekua inakuwaje sina maumivu ya kidonda na nguo yangu ya ndani ina alama... (nilipoambiwa hiyo ni nini siwezi sahau mshangao wangu na vile ilinibadili Psychologically).

Nilizaliwa upya nilipo fanya Mapenzi kwa mara ya kwanza (kwamba it was so painful but still nilifurahia sababu tu ya kupenda &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Love can be that CRAZY!); Nilizaliwa upya nilipo onja uzazi na kujaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza (Ikanichukua a very long time kila saa kumchungulia mtoto wangu na kujisifu kuwa am capable of that),.

Nilizaliwa upya siku baba yangu kipenzi alipofariki (Bahati mbaya sana I realized nilikuwa kipenzi cha baba baada ya kifo chake &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; I was that selfish na huwa inaniuma mno!), nilizaliwa upya baada ya kukutana na baadhi ya watu ambao wana impact kubwa sana katika maisha yangu - I really appreciate them. Tuombe uzima &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Naamini kuwa Mwenyezi Mungu akinijaalia maisha marefu bado nitaendelea kuzaliwa upya. I look forward to that&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

My fellow members in Jf, kupitia ninyi wote naamini in a way kuwa member hapa Jf imenifanya pia nizaliwe upya&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Kwa namna tofauti, kwa vile tunavyoshirikiana hapa jamvini kwa njia tofauti, iwe kwa discussions, mawasiliano, kusomana habari, na mengine mengi&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];. Ambayo hunifanya in a way kufurahia maisha yangu. Inaweza isiwe mar azote &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; ila in most cases its worth it.

Namshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa Maisha aliyonipa na kunijaalia, Neema na Baraka zake zote alizoelekeza kwangu na kwa wale walionizunguka. "Alhamdullillah"

Wapendwa kwa leo naweza endelea kuzaliwa upya nikipata zawadi toka kwenu... Ha ha ha!

Nawatakia nyoote Jumapili njema.

Pamoja Saana with Love.
:grouphug:

AshaDii.

P.S &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; It has been a wonderful day. Topped with a wonderful Cake, bahati mbaya Camera Man hakuwa makini kupiga picha cake hadi tumeila yoote! Next time takodi mwingine...

Nimependa saana jinsi jina langu lilivyodadafuliwa na niece wangu Mwali... Thanks so so Dearest!

 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda na kukuongoza katika njia zako zote. Kubwa kuliko yote azidi kukujalia hekima na busara ambayo umekuwa ukiionyesha hapa siku zote na hivyo nasi kujisikia ufahari kukutana na kufahamiana na wewe dada mkubwa AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
What a wonderful coincidence mamito!!! ninashare nawe siku moja ya kuzaliwa!! Allah atupe umri umrefu wenye tija ya kumkumba na kutenda yaliyomema zaidi inshaallah!
 
Shemeji Kimey nashukuru Saaaana. Baba watoto Kaizer wewe una all the details sina wasi wasi leo mimi am a baby... Mwita Maranya pamoja saana kaka, I appreciate your Acknowledgement. Asante kwa wishes zako.
Mwana Mtoka Pabaya... Leo mimi ni kichanga. Maswali magumu siwezi kujibu, ila naomba nitakie Birthday wish kabla sijalia baas... :)
 
Last edited by a moderator:
^^
Afadhali leo nimeona mtu anayeazimisha birthday with reasons.
LONG LIVE AshaDii
^^
 
Last edited by a moderator:
Dear my close friend AshaDii


Each day is a beautiful gift. To be part of your life is a priceless gift too. From the bottom of my heart - Happy Birthday!

Wishing your big day is
A memorable one,
Just filled with surprises,
Pleasure and fun!

I wish next year you will have even you more reasons to smile and to be happy. May all your birthday wishes become reality!

Birthdays are always special because they help to see how far you have come and how far you still have to go. Wishing you wisdom for the rest of your life!

Happy Birthday AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kuzaliwa Ashadii.

Mwenyezi Mungu aendelee kukuongezea miaka mingine zaidi na akupe baraka zote kwenye malengo yako ya mbeleni na aendelee kulinda yale uliyotimiza tayari.

Sheherekea salama
 
Huyu Kaunga naye kakengeuka kama Kongosho. Wako wapi hawa kinamama waje kumvalisha mtoto nguo

417207.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wifi, nami nimezaliwa upya kwa kuwa rafiki yako.
Wewe wajua, umekuwa msaada kwangu wakati niko confused (whether na kakako Paw, ama na babangu. Ama hata na boss wangu). Wewe ni mmojawapo kati ya watu wa kwanza kuwatafuta nikiwa hata nna viatu vipya, kwa maana kuwa unafurahia kupata kwangu na kukosa kwangu kunakuhuzunisha. Lets celebrate this bday in style. I will say this today, I LOVE YOU.

Happy birthday darling.
(sweetlady atajinyonga leo)
 
Last edited by a moderator:
Mbona kauli yako imejaa utata mkuu. Mungu asaidiane na mama yako! Ina maana Mungu ana mapungufu hadi ahitaji msaada wa mama yako! Funguka vizuri mkuu.
 
What a wonderful coincidence mamito!!! ninashare nawe siku moja ya kuzaliwa!! Allah atupe umri umrefu wenye tija ya kumkumba na kutenda yaliyomema zaidi inshaallah!
happy birthday my sweey huby wa jf
pia happy birthday dada yangu wa hiari asha....namshukuru mungu sana kwa ajili ya maisha yenu yamekuwa baraka sana kwa watu wengi mimi nikiwa mmoja wapo
love u so much
 


May your Birthday bring the first day of an amazing year ahead, a happy new beginnings and sweet surprises. May you be blessed with luck, prosperity, love, health and a whole lot of joy.

Happy Birthday ADI




My special greetings to your loved ones
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom