JF Members in their real pictures... LOL!

Hapa nina wasiwasi sana kama cacico atachomoa..... chezea Erickb52 weye..........
864806932.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Poleee Kiranga kumbe ilikuwa siri? are you cheating? :dance:

Hebu wacheki hawa pozi yao... Kama vile hawajawahi piga picha au camera itawameza.... lol

Toka kushoto, Tbag Hatari, kiluwiluwi, Ndinani, Yegomasika, Philipo na KakaKiiza (eti hupigi picha mtandaoni.. Hii umeisahau? Pole weee! hahaha)


tumblr_lstqk8jao81r0c4sjo1_500.png
Ahaaa AshaDii inamaana mimi kilometer zimesogea hivyo??Kama niko hivyo enzi ya way kwa sasa sibalaa!!naona umechukua photoshop!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom