JF Members in their real pictures... LOL!

AshaDii uko creative sana, ndo maana naku inspire sana. Kwa kusoma huu uzi, ahsubuhi imekuwa njema kwang. Maana nimecheekaa.

Unam-inspire au anaku-inspire au unam-admire? amma unam-admire amma anaku-inspire. -

Kasheshe yake umeiona? asiku-inspire kwenye haya tu, tazama siku ya harusi yake AshaDii alivyomfanyia mumewe.

185391_240200596103037_1154987295_n.jpg

 
Last edited by a moderator:
dada kubwa umesahau kwamba ni zamu yangu?

Mdogo wangu mpenzi niliku miss (ingawa baba watoto zaidi lol); unajua mie sina wivu kwako tu ila siku moja moja roho inauma kweli. Upweke ukanilita hapa kama ulivoona... Wacha tu niweke picha ya familia yetu pendwa na iliyopendelewa na Mungu... Baba watoto wetu akiwa katuongozea... Hapo tukiwa na wale wanetu twins...

Man%20with%20two%20wives.jpg




AshaDii kwenye kikao hicho cha kuua chama cha infidelity muafaka ulikosekana baada ya kutokea mabishano makali! Asprin akamchoma huyo member wa pili kusoto TIMING kwa kitu chenye ncha kali baada ya huyo jamaa kuwasilisha pepa iliyomtaja Asprin kuwa ndiye muasisi wa INFI!

hahaha! hebu tunaombeni feedback nini kinaendelea, kama unavoelewa Nyumba kubwa tuna hasira na chama hiki... Tunataka tukate rufaa ila jaji wetu asiwe wa Lema, mambo ya kuongea na simu wakati wa case sio mpango kabisa!

Ngoja niombe msaada wa kaka zangu hawa kutuongezea nguvu na pesa katika hio nia yetu...

Tutamuomba Dr. MziziMkavu na Dr. Riwa...

1337256000000.cached.jpg


Pia kaka zetu wengine kama Picha yao hii nimeifuma nayo wakiwa Superman (kati kati), Tulizo na Mbu

africa-cm495_3_pc_men_s_african_inspired1.jpg


ndetichia, Fredrick Ishengoma, Mpatanishi na HorsePower wakiwa na mwenyeji wao Apollo kwenye music production center ya BAK (mwenye kipara)...

psquare-vandrusville-universal.jpg
 
Last edited by a moderator:
kumbe jf kuna kikundi changoma? Kwanini msitafute tenda ya kwenda kumuimbia jk aporudi kutoka kwenye majumba ya watu?

JF kuna kila kitu dear... Huna habari? Hio cha mtoto hebu angalia hii ilifanyika mwaka jana wakati wa kuvuka mwama mpya sherehe zilizofanywa pale ukumbi wa JF entertainment...

Hapa ilikuwa zamu ya akina baba kujimwaya... Hawo toka kushoto ni paulss, Mkirua, Yegomasika, figganigga, Ulimakafu , Saint Ivuga, MANI alafu anaeonekana kwa mbali kavaa suruali kama anakagua ni KakaJambazi... lolz (hadi raha!)

South_Africa_Johannesburg_cultural_dance_festival_5526880f20fb4465bcf3eeecd8b165be.jpg



i like them all.

Philipo hope you don't mind nimeweka ya kwako pia ukiwa na ex wako ( obsesd ) enzi zenu, kwa hapo nyuma akiwepo The Finest aliesababisha penzi lenu kufa...

lovers20rock.jpg




...............ndio maana umemshikia "kifanyio" tayari tayari !?:laugh:

Ally acha fujo na shikilia ujumbe wako kwenye Tshirt... lol

<section class="block-100 clearfix"><section class="block-inside-50">
376715920.jpg


</section> [QUOTE =Preta;4662661]nimeupenda huu uzi......hizi picha zimeendana na jinsi ninavyodhani baadhi ya members walivyo....ha ha ha.....nzuri sana......[/QUOTE]

Asante dear... Unakumbuka siku ile ya sherehe? siku hio ulikunywa mbege hadi kuzima baada ya kucheza ngoma hii... hahaha

Hapo ni wewe, Chauro, Aminata, Madam B na Amyner
dancing_zulu_style_south_africa_postcard-p239378993450749440envli_400.jpg


</section>
 
Last edited by a moderator:
Shem AshaDii Hii picha ni konfidesho.........wacha niongee na Kaizer nijue la kufanya! BTW: Hizo nyonyo za Keren_Happuch hizo!

Dah! ndio mana kanuna? nimechanganya na ile ambayo haipo konfidesho... lol.. Hizo nyonyo ziache hivo hivo, akikusikia klorokwini mnaweza kosana kabisa... hahaha.. As usual nimefurahi kukuona shemeji yangu, hopefully karibu utatutembelea na familia yako... lol

Hawa watu umewaona wapi?
Mwanajamione, Nyamayao, Maty, DaMie, Smiles, carmel, daughter na Mayasa... kama una habari nae yeyote hapo tafadhali waambie ninawatafuta naoza binti nahitaji msaada wao... lol Hapo tayari nisha onana nao kama Remmy, Yummy, charminglady, feis buku na Gaga (aliegeukie kule kavaa koti lekundu)

african_americans_breast_cancer.jpg


ADii,.....kumbe PAW ni ni dada yetu??? Siku zote najua ni njemba na kwamba once in while inatuma PM za uchokozi kwa wajukuu zangu!!
Babu DC!!

Nimefurahi umefurahi kaka DC... Na hilo la plus one wangu inabidi nitafute suluhisho... lol
Mzee wangu mbona unanitafutia case? Tena kaka Paw ana hasira za karibu kweli kweli! lol, yeye mwanaume bana hebu kacheki ile picha vizuri.... hahaha! Nimekuwekea na hii hapa alipiga na kakangu mwingine Steve Dii

big-brother-best.jpg


I see AshaDii leo ulikesha msibani nini?

Hapana Fidel nilikuwa kwa bed tu... mzima wewe? Unamfahamu zumbemkuu na Daudi mchambuzi? (hapo wakiwa na Consigliere ambae ni mzungu)

img%5Cafrica%20-%20bethany%20house%5CDSC02049.jpg


AshaDii uko creative sana, ndo maana naku inspire sana. Kwa kusoma huu uzi, ahsubuhi imekuwa njema kwang. Maana nimecheekaa.

I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol

south-sudan.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaahahaha! dah! sijacheka siku nyingi sana aisee!
mbali na kucheka sana nimejikuta tu nina furaha nyingi leo, haya bana AshaDii naona umefanikiwa kututoa kwenye msiba wa Mwangosi.
 
Last edited by a moderator:
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom