N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Kazi kweli kweli,
4. IPP MEDIA
5. Media Solution
6. Bonite Bottlers
4. IPP MEDIA
5. Media Solution
6. Bonite Bottlers
Siyo kila jambo linahitaji uthibitisho wa makaratasi. Moja wapo ni jinsi yeye Gembe alivyoumbwa.
ohoo yamekuwa hayo tena.
nadhani pia tutahitaji ushahidi wa kuwahusisha hawa na payrol ya mengi maana kutaja tu haitoshi. maana kama kutaja hata mie naweza kutaja - Gembe. Ila ushahidi muhimu wakulu
Huko tunakoelekea watu wataacha kuwa na maoni yao binafsi kwa sababu kila utakapojaribu kueleza inaweza kuibuka hisia kuwa unasema unayoyasema kwa sababu unalipwa
MkuluMods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
ohoo yamekuwa hayo tena.
nadhani pia tutahitaji ushahidi wa kuwahusisha hawa na payrol ya mengi maana kutaja tu haitoshi. maana kama kutaja hata mie naweza kutaja - Gembe. Ila ushahidi muhimu wakulu
3. Invisible
Hahahaha... Sitaki nitajwe na mwingine!
Mkulu3. Invisible
Hahahaha... Sitaki nitajwe na mwingine!
WOTE tumo Mkulu.hahahaha
nikisoma heading ya thread inauliza clear NANI HAYUMO?
Msanii
mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
muongeze na huyu kwenye paroll ya mengi
Mwambie huyo anayefanya recruitment afanye fasta ani-PM. Nna ukata si kipolepole.
mbe!....WOTE tumo Mkulu.
Kama ni swala la kumtetea Mengi kwa vile kawataja mafisadi papa na msimamo wake wa kupambana nao nami nimo ongeza hapo mara moja Mura!
Rwabugiri
Lakini ktk hili umeonesha jinsi upeo wako unavyogaragara kwa kumfungulia thread Mwanakijiji..lol.
Kwa kusimamishwa DECI?, ama kwa kuanza kura?
Katajwa Mzee Mwanakijiji, Invisible na Kubenea. Wewe umeumia tu kutajwa Mwanakijiji?. Watu wangapi humu JF wamefunguliwa "Thread" hukupayuka?