Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
I have this Feeling,

Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.

Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!

Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?

Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!

Aliye nao naomba kwa nia nzuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.

Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!

uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!

watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased

Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!

1.Mzee Mwanakijiji

2.Kubenea

3...............

Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!

sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period

ambao hawamo kwenye payroll ya Mengi

1.Gembe
2.Invisible
3.Msanii
4.Mfumwa
4.Pasco
5...
 
Last edited:
Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.

Pls erase this thread..
 
I have this Feeling,

Wakati mwiongine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.

Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo mnaigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!

Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?

Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!

Aliye nao naomba kwa nia nzuuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.

Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!

uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!

watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased

Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!

1.Mzee Mwanakijiji

2.........

Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!

sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period

Hayo ulionena ni kweli tupu na cha zaidi ni kuwa wana ''agenda za siri'' sio kwa RA tu bali kwa utawala mzima wa JMK na wengineo.
 
Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.

Pls erase this thread..

Ndiyo mana una utindio wa ubongo!

sas imehamishwa huku umefurahi?hamjanitendea haki na kwanini Mwanakijiji tu aisemwe??Nimeomba mwanakijiji aje akatae..

Huu ni mwezi wa kutoa vithiviti tu!
 
No, Ana haki ya ku-express his feelings

Haki gani za kuleta mijadala isiyo na kichwa wala miguu? Asubuhi yote hii mnaanza politiki, wajukuu wenu watakula nini? Ndo maana taifa halisongi mbele, mtu asubuhi yote hii anaanzisha thread kama hii ..unategemea nini ? upupu mtupu..
 
No, Ana haki ya ku-express his feelings

Chief,

mie nilitaka kushangaa..Invisible kafanya necessary possible kuirudisha tena..

Cha kufanya tuchore jedwali la mengi,lina waandishi kibao sana

2.Kubenea
 
I have this Feeling,

Wakati mwiongine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.

Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,

Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!

1.Mzee Mwanakijiji

Sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina Rostam ni mafisadi basi mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period

Mkuu Gembe, yamekuwa hayo tena?
kama halijaibuka la MAFISADI PAPA na MENGI hukusema, leo limefika lilipofika unasema,mmhh...!

Unanishitua sana unapotuonyesha kuwa huwa unakwenda kwa hisia hata katika hoja za KUFIKIRI [kutafakari]. Unahisi, unahisi, ... unahisi.

Na kwasababu unakwenda kwa hisia nafikiri ndiyo sababu ulishindwa kuona vielelezo vilivyowekwa humu jamvini kumwonyesha Rostam ni FISADI HATARI zaidi ya PAPA.

Mzee Gembe, conclusion yako inaongozwa na hisia, naomba tulia..,tafakari vizuri... kisha uje wazo jipya au conclusion nyingine.
 
Haki gani za kuleta mijadala isiyo na kichwa wala miguu? Asubuhi yote hii mnaanza politiki, wajukuu wenu watakula nini? Ndo maana taifa halisongi mbele, mtu asubuhi yote hii anaanzisha thread kama hii ..unategemea nini ? upupu mtupu..

wewe ulitaka nianzishe Topic gani?mwenye upeo zaidi...
 
Ndiyo mana una utindio wa ubongo!

sas imehamishwa huku umefurahi?hamjanitendea haki na kwanini Mwanakijiji tu aisemwe??Nimeomba mwanakijiji aje akatae..

Huu ni mwezi wa kutoa vithiviti tu!

Kwanza niombe radhi.

Pili, nimetoa maoni yangu kama mdau, kama wewe ulivyofanya,na kama una tatizo na hili saga vyupa unywe.

Tatu, nadhani fikra zako ni ziko biased yaani mawazo yako ni kumpinga yeyote asiyekubaliana na serikali iliyopo kwenye hatamu. Sijui unahofia nini..kama unahofia mkate wako kupokwa pole zako..nguvu ya umma itachukua mkondo wake itakapobidi na hamna wa kuzuia hilo.

Nne, be assured kuwa sina usimba wala uyanga ktk hizi ishu za mipasho na taarabu za mafisi wala nchi. Lakini ktk hili umeonesha jinsi upeo wako unavyogaragara kwa kumfungulia thread Mwanakijiji..lol.
 
Naomba radhi!

Mwanakijiji ni mjomba wangu,hivyo hatojali na hii tabia ya ku-sepeculate nimeitoa kwake,atakuja tu hapa kujibu na hauhitaji kumsaidia..

Invisible bwana..
 
Invisible nakupenda sana!
ohoo yamekuwa hayo tena.

nadhani pia tutahitaji ushahidi wa kuwahusisha hawa na payrol ya mengi maana kutaja tu haitoshi. maana kama kutaja hata mie naweza kutaja - Gembe. Ila ushahidi muhimu wakulu
 
Siyo kila jambo linahitaji uthibitisho wa makaratasi. Moja wapo ni jinsi yeye Gembe alivyoumbwa.
 
Huko tunakoelekea watu wataacha kuwa na maoni yao binafsi kwa sababu kila utakapojaribu kueleza inaweza kuibuka hisia kuwa unasema unayoyasema kwa sababu unalipwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom