Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
So wanaofadhiliwa na kina RA like Simba (UWT), JK (Upresident 05) et al hawana kosa heheeeee!Ndiyo nililipiwa kwa kuwa sikuwa ma uwezo..ila kupewa pesa siyo kosa ziwe za kifisadi ama la
Pia unataka kusema kwakuwa watanzania walio wengi ambao ni masikini wa kutupwa waendelee kupokea vimisaada toka kwa mafisadi eti kwakuwa wao hawana uwezo badala na kupambana na hao mafisadi kwa nguvu zote kuikomboa nchi?
Hili swali halina mantiki, kwa kuwa umekubali kusomeshwa kwa pesa za mafisadi eti ulikuwa huna uwezo......wewe kama kweli ni mzalendo mtaje huyu fisadi aliyekusomesha tumshughulikie!ila nililipiwa na nani?hapo ndipo haujui kabisa....ona unavyopotea,leta ushahidi