Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

ohoo yamekuwa hayo tena.

nadhani pia tutahitaji ushahidi wa kuwahusisha hawa na payrol ya mengi maana kutaja tu haitoshi. maana kama kutaja hata mie naweza kutaja - Gembe. Ila ushahidi muhimu wakulu


Ushahidi wa nini? Hata Rostam naye si tunasema ni fisadi..tulete ushahidi,tumekuwa watu wa siasa za maji taka..

Enzi za Jamboforums tulikuwa tunaleta miziki na kujadili ukweli, siku hizi tumekuwa watu wa kuleta maneno na politiki..tuendeleee tu!

Ila lengo la hii thread ni kuonesha kuwa we need to change, tumekuwa watu wa maneno tu bila kuwa na vithibitisho na ndiyo maana na mie nahisi haya!

samba,

wacha maneno yako mkulu, tumwage hoja tu na siiyo kulalama na kulia lia
 
Huko tunakoelekea watu wataacha kuwa na maoni yao binafsi kwa sababu kila utakapojaribu kueleza inaweza kuibuka hisia kuwa unasema unayoyasema kwa sababu unalipwa

Mpita njia,

Watu wanafanya hivi kujaribu kuneutralize hoja za msingi, na mkikubali kuwasikiliza, mnapoteza mwelekeo.........vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana!
 
Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.

Pls erase this thread..
Mkulu
Tupo ukurasa mmoja.

Kwa mantiki hiyo hiyo TUACHE mara moja kumjadili mtu yeyote hapa jamvini kwani ni TETESI.

TUFUNGE MIJADALA YOTE kwani tunawachafulia watu majina,hawajaTHIBITIKA kuwa ni Mafisadi.

Uthibitisho ni MAAMUZI YA MAHAKAMA.

Mimi nilifikiri na ninaamini kuwa, watu kama kina Kubenea,Mwanakijiji ,Mengi na Wengine hawa ni WHISTLE BLOWERS.

Unapozungumzia GOOD GOVERNANCE huwezi kuliachanisha hilo Whistle blowing.

Sasa tumefika mahala kama TAIFA tunaanza USHABIKI, maadamu kuna JEDWALI LA RA,basi tuanzishe jedwali la RM.Okay fine,tunatakiwa kutokuwa biased,si katika kila jambo.
Mambo kama haya wakati mwingine unatakiwa kuwa BIASED,either upo na WATU WANYONGE wale wenye shida kabisa or Watu wasio na huruma MAFISADI.

Mkulu Gembe nakuheshimu sana Mkulu wangu kama mmoja wa ma-analysist wazuri wa masuala mbalimbali hapa jamvini.

TUSIFIKE HUKO,TUTANGULIZE MASLAHI YA TAIFA LETU MBELE.
 
ohoo yamekuwa hayo tena.

nadhani pia tutahitaji ushahidi wa kuwahusisha hawa na payrol ya mengi maana kutaja tu haitoshi. maana kama kutaja hata mie naweza kutaja - Gembe. Ila ushahidi muhimu wakulu

Hii thread ni muhimu as we say "WHERE WE DARE TALK OPENLY", my concern ni kwamba kwanini baadhi hawitaki???

It is good to know the other side of the papas and nyangumis

I wonder how happy GT will be as he protested alot about unfair treatment when it comes to Mengi
 
Kama ni swala la kumtetea Mengi kwa vile kawataja mafisadi papa na msimamo wake wa kupambana nao nami nimo ongeza hapo mara moja Mura!
Rwabugiri
 
hahahaha
nikisoma heading ya thread inauliza clear NANI HAYUMO?
Msanii
 
Kama ni swala la kumtetea Mengi kwa vile kawataja mafisadi papa na msimamo wake wa kupambana nao nami nimo ongeza hapo mara moja Mura!
Rwabugiri

Jibu kutokana na message iliyoletwa na muanzishaji sio kupanda DECI (KUANZISHA THREAD NDANI YA THREAD)
 
Lakini ktk hili umeonesha jinsi upeo wako unavyogaragara kwa kumfungulia thread Mwanakijiji..lol.

Katajwa Mzee Mwanakijiji, Invisible na Kubenea. Wewe umeumia tu kutajwa Mwanakijiji?. Watu wangapi humu JF wamefunguliwa "Thread" hukupayuka?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom