Mkuu nilikuwa napita tu nikaona nikusalimie, tutaonana siku nyingine utakapotujuza kuhusu akina RACHEL wapya.Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
Pia lake oil haohao wana mitambo ya kuchakachua mafuta.. kwahiyo huyo dogo riz anakula faida mara 2...duu baba mtu kakaa kimya na mwanae wanauma na kupulizandio maana baba yake kakaa kimya sakata la ukosefu wa mafuta
Kuna taarifa kwamba riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010. Kumbe ndo maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata jk ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivh majuzi....
Nyerere aliamuru awekwe ndani mara moja na kujibu mashtaka ya kuidharau serikaliTunataka mafuta tukaendelee kubangaiza, wanataka ionekane issue ya mafuta haiwezi kuwa regulated ili watunyonye vizuri, yule jamaa kawapa 24 hrs notice serikali waombe radhi masebu anakuja na vi tamko. Hivi yule jamaa enzi za Nyerere aliyesema ameiweka serikali mfukoni na huyu anaetoa onyo tena na notice fupi ya masaa 24 akitaka serikali maana yake mkuu wake ni Rais inakuwajekuwaje mi mwenzenu mbona sielewi? Nyerere hivi alifanyaje tena. ni madhara gani au faida gani alizozipata baada ya kumtimua yule jamaa kiasi cha kuwatisha viongozi wetu wa sasa?
Duh mkuu!unanikumbusha mbali sana!!Isije ikawa kama yale ya Shimbo.
<br />Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
c nasikia lake oil ndo wanatends ya kujaza mafuta magari ya ikulu? I think kuna ukweli ndani yake c hivihivi tu
<br />Tunataka mafuta tukaendelee kubangaiza, wanataka ionekane issue ya mafuta haiwezi kuwa regulated ili watunyonye vizuri, yule jamaa kawapa 24 hrs notice serikali waombe radhi masebu anakuja na vi tamko. Hivi yule jamaa enzi za Nyerere aliyesema ameiweka serikali mfukoni na huyu anaetoa onyo tena na notice fupi ya masaa 24 akitaka serikali maana yake mkuu wake ni Rais inakuwajekuwaje mi mwenzenu mbona sielewi? Nyerere hivi alifanyaje tena. ni madhara gani au faida gani alizozipata baada ya kumtimua yule jamaa kiasi cha kuwatisha viongozi wetu wa sasa?