Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
ni bora kama huo ushahidi ajakamili weka hii topic pembeni hili uje na ushahidi tujadili kitu
cha kweli sisi na uzee wote tujadili kitu ambacho akijakamili mwanga ushahidi humu watu waharishee na kutapika humumhumu unataka tuuwe mbu
kwa nyundo hapana tutende haki jamani WEKA DOCUMENT ZA BRELLA HAPA,

Haya sasa, wenzake waliomaliza nao majuzi tu hawana hata kiwanja tu cha uswahilini pa kujengea nyumba.

Lakini sitoshanga kusikia magari ya na vituo vya mafuta vya Lake oil ambavyo ni wazi vimepatikana kwa njia ya UFISDI,
vyote vimetiwa kiberiti nchini.

Nadhani hapo kwenye nyeusi panahitajika. London wameweza, itashindikana wapi kwingine kwenye uso huu wa dunia?

Aaahhh mnaanza tena wakati ye mwenyewe alishasema anaishi kimjini mjini tuuu, hivi baada ya 2015 watakimbia nchi au?

Kuna taarifa kwamba riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010. Kumbe ndo maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata jk ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivh majuzi....

Huyu Ridhiwani kama ni kweli basi hana tofauti na mtu ambaye hajaenda shule. Dunia ina mifano mingi ya watu waliouvaa mkenge kwa kujifanya wana ubia kwenye utawala wa baba zao. AAngalalie kinachowapata wana wa Hosni Mubarak na wana wa Saddam Hussein.

Ndugu yangu Ridhiwani kama unaingia humu jihadhari sana kuvamia urais na kuhujumu watanzania. Sitaki kuamini unafanya kila linalosemwa maana ni mengi mno na hutakuwa na utetezi hiyo siku ikifika. Wewe si mwanasheria? Haya bana usije ukajitetea hukujua wakati nyie wanasheria mnatuambia kutokujua sheria siyo utetezi.

Hongera sana Ridhiwani tunahitaji uwekezaji wa ndani na binafsi nakuunga mkono kwa kutafuta riziki! Hongera sana na ongeza bidii kwa kuwekeza sana hapa Tanzania!

riz1 yuko kwenye mtandao wa mh. Anayeutaka urais 2015,na akiupata tu watz tutaendelea kulalamika na wao wataendelea kula innji...Mungu tuepushe na hawa walafi.

Tunataka mafuta tukaendelee kubangaiza, wanataka ionekane issue ya mafuta haiwezi kuwa regulated ili watunyonye vizuri, yule jamaa kawapa 24 hrs notice serikali waombe radhi masebu anakuja na vi tamko. Hivi yule jamaa enzi za Nyerere aliyesema ameiweka serikali mfukoni na huyu anaetoa onyo tena na notice fupi ya masaa 24 akitaka serikali maana yake mkuu wake ni Rais inakuwajekuwaje mi mwenzenu mbona sielewi? Nyerere hivi alifanyaje tena. ni madhara gani au faida gani alizozipata baada ya kumtimua yule jamaa kiasi cha kuwatisha viongozi wetu wa sasa?

Huyo Masebu sijui Maseru ni mgonjwa ubongo wake unatafunwa taratibu na virus vya H.I.V,I don't think he can make right decision on right time afterall lazima a-side na mafisadi ili amudu gharama za dawa kuprolong life.

Aaahhh mnaanza tena wakati ye mwenyewe alishasema anaishi kimjini mjini tuuu, hivi baada ya 2015 watakimbia nchi au?

kwa hakika huyu dogo siku jk aki step down na chama mbadala kikachukua uongozi wa nchi hii, basi hatokuwa na kingine zaidi ya kukimbia nchi kwani kwa hali hii lazima atakumbana na mkono mkali wa sheria.

Hata huku rocky city maeneo ya mkuyuni kuna kituo cha LAKE OIL... Nilipita na dreva tax mmoja na akaniambia hiki kituo kinamilikiwa na ridhi1, sikutaka kuamin, tukamuuliza mfanyakazi akaishia kuchekacheka tu..! Dah! 100% hyo inshu ni ya kweli!

Ikiwa kama hili litawekwa hadharani na document zote zikawekwa peupe kama ilivyokuwa kwa UDA, basi yafuatayo ni lazima yafanyike;

1. Bunge ni lazima kupiga kura ya "Vote of no Confidence" kwa Serikali na kwa maana hiyo JK na watu wake watoke madarakani,

2. Vyombo husika, vichukue hatua za kisheria kwao kwani hizo ni tuhuma za uhujumu uchumi,

3. Ikidhibitishwa mahakamani kuwa yaliyosemwa ni kweli, basi mali zote za Lake Oil zitaifishwe.

Km yakishindikana hayo, basi itabidi Watanzania Maskini jeuri, waiingie kuchukua nchi yao, hapo ndipo shughuri nzima itaanza.

Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
Haisaidii kitu Raisi hashtakiwi kwa Kosa lolote... anabakia na sifa yake tu kuwa ni fujaji na yupo for himself and for familiy tu not for us wananchi Tumeramba Galasa kwa Jk.

malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa iringa

nawakilisha

Hao kina Asas nasikiasikia dada yao mmoja kawa mama ake mdogo Riz 1.

Wanastahili adhabu kama ya aliyopata Saddam,
Wacha walete dhuruma na mateso kwa watanzania wakifikiri ni mbumbu!

Kuna taarifa kwamba riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010. Kumbe ndo maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata jk ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivh majuzi....
kwani kumiliki kampuni yoyote ile katika nchi hii ni dhambi?

Back
Top Bottom