manenge
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 279
- 17
Kama ni kweli kuna haja ya kutenganisha uongozi na biashara. kwa sababu watu wanatumia nafasi za uongozi kwa manufaa binafsi bila kujali maslahi ya taifa. Na hii ni hatari ndio maana hakuna maamuzi magumu yananayofanywa kwa vitu ambavyo ni sensitive kama hili. Mungu inusuru nchi yetu