Je, huu ni upungufu/ukosefu wa nguvu za kiume?

-punguza hofu na pia jiamini kuwa unaweza kufanikisha hilo tendo (waswasi)
-epuka kutumia madawa ya kuongeza nguvu maana yatakuua kabisa
-hakikisha huyo unayekuwa naye ni mkeo kwani kama si mkeo hiyo huchangia saana.
 
Hello kaka,tatizo lako linaweza kuwa limesababishwa na mambo kama stress.etc.jitahidi sana kutokua na msongo wa mawazo.PM me,nitakutumia namba yangu unipigie,kuna maswali nitakuuliza,yatapelekea kusuluhishwa kwa tatizo lako.
 
Kunatatizo linanisumbua sana, tatizo lenyewe ni kwamba ninapokuwa na mwanamke, kabla ya kufanya lile tendo mashine huwa inasimama sana lakini pale nikitaka ku Do tu mashine inalala,hii inasababishwa na nini?

Nimeshaulizia kwa madokta lakini wanasema ni phsychological problems, kutokuwa na hisia, lakini mpaka sasa hali hii inaendelea tuu, nakosa raha kabisa naomba mnisaidie juu ya hili, sababu haikuanza muda mrefu lakini imeshajitokeza sana.

Asubuhi jogoo kama kawaida anawika,tatizo nikwamba nikitaka ku doo tu,analala!!
Vipi unadeleaje...
 
Kuna masuala mengi hapo inatakiwa uyaeleze,

Je , hali hiyo hutokea sababu ume vaa condom, kuna wengi wakiwa wanataka ku do wakiona condom tuu kitu kina lala.

Je , huna haliyetote ya ki bisexual, labda una matamanio zaidi kwa male kiasi cha kushindwa ukiwa na demu.

What!we wakishua vipi unakuwaje mwanangu?
 
Back
Top Bottom