Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume..
Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za ukosefu wa nguvu za kiume ambazo dalili hizo ninazo lakini sikuwa najua nazo ni uume hasimami nikiamka asubuhi..
Pia mchana Yaani naweza kukaa siku nzimaa bila uume kusimama hata nikienda kujisaidia haja kubwa au ndogo unalala tu..
Uume unasinyaa muda wote korodani nazo zimelegeaa pia Kuna muda ndani yo korodani kunajaa mashipamishipa...
Nlipitia masturbation lakini now nimeacha naombeni msaada wenu ndugu zangu nifanye nini ili niweze kukaa sawa maana nateseka sana