Ni upungufu wa nguvu za kiume au lah?

Godwin peter

JF-Expert Member
May 12, 2019
360
605
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kabla sijaenda kwa wataalam, sijui ni matatizo ya nguvu za kiume au nini, jana nilimwita bibie geto basi akaniambia saa 12 jion hivi anakuja, sasa ilikuwa mida ya saa 11 hivi uume ukawa umesimama balaa kila nikifikiria leo nakula mzigo na fikiria sana na uume unasimama balaa.

Basi kufika saa 12 jioni akawa kashatia mguu geto, alifikia kwenye kochi so nikawa na mgusa gusa mashine ikawa bado ipo mnara, sasa baada ya kumbeba kutoka kwenye kochi hadi kitandani na kuanza kumpapasa gafla mashine ikaanza kunywea taratibu taratibu vile nakata kuingiza bado ikawa imelegea so nikashindwa kuingiza nikakaa kidogo kama dk 10 ndo ikasimama nikapiga tako kadhaa then wazungu hao, shughuli ikawa imeishia hapo.

Nikapumzika kidogo kama dk 20 nikaanza nikaanza kumpapasa mashine haisimami baadae kwa tabu sana ndo ikasimama tena nikapiga kidogo tena kama dk 3 tayari.

Sasa najiuliza je ni nguvu za kiume sina au ni tatizo lingine, maana cha kushangaza kuna muda huwa uume unasimama tu for no reason tena mbele za watu hadi aibu ila kunako 6x6 hamna kitu, pia last week nilikuwa na manzi mwingine show nilipiga vizuri mpaka kaomba poo sasa sijui ni nini hiki
 
Una shida ya lishe

Unqkabiliwa na lishe duni

Kma unatumia kilaji
Na Kama una kula vzr
Bas tafuta ballatine ndogo au hanschoice na coca Moja barid Kisha zukuma mdg mdg muite la mama aje atakujakunishukuru mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
It seems ww Bado ni under 30 so
Kula vizuri
Then punguza pressure
Kama unatumia pombe pia itakusaidia kupunguza anxiety wakat wa tendon

Goodluck
 
It seems ww Bado ni under 30 so
Kula vizuri
Then punguza pressure
Kama unatumia pombe pia itakusaidia kupunguza anxiety wakat wa tendon

Goodluck

Yeah ni under 30,pombe situmii ila hapo pressure nipeni tecqniques za kupunguza
 
Back
Top Bottom