Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume?

Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu za kiume katika miili yao ili kulimudu na kulifurahia tendo.

Hivi inawezekana kwa mwenye nguvu za kiume kulimudu tendo pasi na kulifurahia? The answer is Big No. Huwezi kuwa na nguvu za kiume, ukalimudu tendo pasi na kulifurahia.

Matumizi ya madawa haribifu kama vile vumbi la kongo na mundende wa aina yoyote ile humfanya mtu kulimudu tendo pasi na kulifurahia, hii haiwezi kuleta dhana ya kile tunachokiita nguvu za kiume kwa kuwa nguvu za kiume ni uwezo wa asili ambao huzalishwa pale tu via vya uzazi na tezi zake, mfumo wa damu na mfumo wa akili vinapofanya kazi kwa wakati mmoja na kwa ufanisi mkubwa.

Kipi hupelekea upungufu wa nguvu za kiume kwa wanawake?

Nowdays, 70% ya wanawake wa kiafrika wamegubikwa zaidi na matatizo haya ya kushindwa kulimudu tendo.

Atatoka kwao Bunju, atapanda magari mawili kukufuata Mbagala kwa ajili ya kukugea mzigo, lakini cha ajabu utamsokomezea ukuni kwa dakika tano tu, kisha ataanza kuleta visababu vya eti nimechoka, kifua kinauma, mara nimemaliza mimi, mara niko MP3, mara moyo una kovu, mara tupumzike, mara nakosa hewa na sababu nyingine kedekede kama hizo.

Hivyo basi, haya maisha yana usawa, unaweza dhani ni sisi wanaume tu ndo tunaoharibikiwa, bali hata na wanawake hukumbwa na matatizo haya haya ili kukamilisha kile kitu kiitwacho Balance of Nature, ama Ecological Balance (Ecology)

Nasikitika sana na wanaume ambao mpaka sasa wanaangaika maporini, mara kwa waganga, mara kwa matapeli kama mimi, mara kwenye mitandao ya kijamii kutafuta madawa ya nguvu za kiume pasi na kujua kuwa wana disturb balance of nature. Kwa sasa wanawake wanaoweza kustahimili tendo kwa muda mrefu ni wale wanaotokea ndichi, ndani ndani kule kidimbwi.

Hao wanaweza kustahimili kutokana na vyakula vyao kuwa ni vya asili, matumizi ya chumvi ya mawe, mazoezi ya kutosha kama vile kuendesha baiskeli wanapokuwa wanaenda shamba. Wengi wao hukosa mvuto kutokana na nature ya maisha yao kwa ujumla

Vifuatavyo ni visababishi:
(i) Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, chumvi nyingi na bia. Hivi hupelekea matatizo ya mishipa ya damu mu, hivyo kuziba kwa mafuta, jambo ambalo hupelekea mzunguko mbovu wa damu wakati wa mizagamuano

(ii) Picha za ngono na kujichua. Wanawake wamekuwa wahanga sana zaidi ya wanaume katika sekta hii. Hii ni kwa kuwa, mwanaume aliye siriazi na maisha hutumia muda wa sekunde 30 kufikia mshindo wakati wa kujichua, lakini mwanamke hawezi kuwa siriazi kabisa kwenye suala hili, wengi wao huenda mpaka raundi 3 kulisaka goli la kwanza.

Na kila raundi huwa na mapumziko ya hadi saa nzima, kila raundi hubeba muda wa hadi saa nzima, hivyo hutumia hisia nyingi zaidi (Wanawake ni viumbe vinavyotumia hisia katika kufanya maamuzi), jambo ambalo hupelekea kutibuka kwa seli za ubongo

Uchunguzi wangu ulibaini baadhi ya tabia zinazoonehwa na wanawake wahanga wa kujichua:

(a) Hasira na masikitiko hasa nyakati za asubuhi na jioni. Hii haina utofauti saqna na wanawake ambao hawapati ukuni wa kutosha kwenye ngono. Sema hawa wanakuwa severely, yaani unakuta asubuhi tu, hata jua alijachomoza alishakorofishana na watu.

(b) Kuumwa na kichwa pamoja na kupoteza kumbukumbu
Ukikutana na mwanamke ambaye kila dakika bichwa linamuuma, hata akimeza dawa 3, kesho analalamika tena, ujue ndo mwenzetu huyo. Wengi wao hupoteza kumbukumbu na kuzubaa sana, hata kama ni kwa habari ya dakika 5 tu zilizoisha N.B: Usimhukumu binti ambaye anapitia vikwazo na mateso kadha wa kadha katika maisha ukamjumuisha kwenye kundi letu la wachukulia sheria mkononi.

(c) Kukosa time kabisa na wanaume. Mwanaume mpya katokeza mtaani, yeye hana muda naye, hata ile kujipitisha tu. Hata asikie bezi la mwanume huko nje, yeye hana muda. Akisalimiwa "Mambo" anavuta mdomo ama kuporomosha matusi, yaani anakuwa kama Roboti N.B: Hapa usimhusishe mwanamke aliyetoka kuachwa

(d) Muda mwingine anakuwa na furaha kupotiliza, muda mwingine anakuwa na huzuni kupitiliza

(iii) Mazoea. Hali ya mwanamke kulisikia na kulizoea tendo hupelekea matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume katika mwili wake. Unakuta analala mahala ambapo kama watu watagegeduana, basi atazisikia sauti zile za mahaba kuanzia saa 3 usiku hadi saa 11 alfajiri. Pia kushuhudia wenzie wakigegeduana mbele yake kila mara (Michezo michafu ya baadhi ya wanaume wa Dar).

Ni hayo tu, ngoja nichore kapicha ka kusindikizia uzi.
 
Back
Top Bottom