Mkuu wee acha tu, hata mimi sielewi mwizi ni nani hapa, maana kama mtu ana uwezo wa kuruka na ndege kuanzia mgodini hadi huko aendako na hakuna ukaguzi wowote mahali popote hii haingii akilini kabisa. Juzi nilikua nimetoka safari na viroba vinne vya mkaa na kitanda kimoja nilipofika kibiti nikasimiamamishwa na kuanza kukaguliwa eti nilipie ushuru....pumbafu kabisa, wachukue tu kwanza tuwaite Majasiri na mashujaa wa taifa hili hao waliojaribu. Halafu nione kijitu kinasimama kwenye Luninga na kujifanya kuua majambazi.
Uchoyo wa nini Mkuu?
Wa kugawa risasi kwa walinzi?
:A S embarassed: wameonyesha njia sasa iliyobaki ni kujipanga kumbe inawezekana!
Hao sio majambazi ni watanganyika wenye uchungu rasilimali zao, mkiwaita Majambazi mnakosea na hamna uzalendo na Mali zetu.
Wanaotakiwa kuitwa Majambazi hatuwaiti ambao ndio wanaowasaidia Wageni kuiba Rasilimali zetu. Nataka waulipue mgodi wote. Hongereni wazalendo siku nyingine mnahakikisha kuwa ndege hairuki ukiruka shusha chini
Kudadakee! Bado kidogo tu jamaa wachukuwe mzigo!
Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.
Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha
Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.
Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita
Nimeongea na jamaa yangu aliyekuwepo eneo la tukio amesema mmoja wa watu waliotaka kuchukua dhahabu ameuawa na walinzi wa mgodi. Katika mapambano hayo Kaburu mmoja (Sniper) pia amepigwa risasi na kujeruiwa vibaya.
Nipo Geita................Ingawa sishabikii wizi/ujambazi lakini hali ya maisha Geita inasikitisha sana.
Uhusiano uliopo kati ya Mgodi wa Geita na wanachi wa maeneo haya ni wa kusikitisha.Hakuna tofauti na raia wa Niger delta alikokuwa anawapigania mwanaharakati ken Saro wiwa enzi za Utawala wa Sani Abacha
Policy ya serikali yetu kuwalinda wazawa ni ya hovyo.Kuna haja ya kuangalia makubaliano ya mkataba kati ya serikali na wawekezaji kwenye migodi hii kwa kuangalia kwa maslahi mapana ya watanzania na maslahi ya taifa kwa ujumla.
Hali iliyopo inatia simanzi na ni majonzi kwa wanageita
Angekufa kabisa shwain.
Thamani ya mzigo..34*24*1000/31.1035= 26234.99oz* 1611.80$/oz= 42,285,556.29$, Madafu= 42,285,556.29$*1,594.63 TZS/$= 67,429,816,620 TZS = 67.43 BILLIONS(TZS)
Kwa mujibu wa post nilizosoma hapa,wachangiaj weng(hasa walojinasibisha na utanzania)walitaka gold ibebwe na majambaz,hili ni changam0to kwa serikali,watanzania wengi hatuwapend wawekezaj na uwekezaj,wadau boreshen sera za uwekezaji