Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Maskini wa jinsi ya kupanga na kutumia mali asili kwa maendeleo yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini wa jinsi ya kupanga na kutumia mali asili kwa maendeleo yetu
kwahiyo;
40bil x 4x12= 1920 Billions kwa mwaka. Na GGM ilianza kazi toka 2000 sina hakika kwa hili, japo inaweza ikawa kabla ya hapo.
kwahiyo 1920 billions x 11 (miaka)= 21,120 billions Tzs.
Hii ni hatari sana. Na kwasasa Serikali haina hata pesa ya kuendeshea hata vyuo vyake na vingine vimefungwa tayari (tazama gazeti la Mwananchi la leo), pia Madaktari wanaodai haki zao wanaachishwa kazi? Waalimu nao wana madai kibao?
HAKIKA SERIKALI YETU NI JANGA LA KITAIFA.

Kama majambazi wanaweza kuiiba hiyo dhahabu na kwenda kuuza, kwanini sisi wenyewe hatuwezi kufanya hivyo hadi kaburu aje?
Ni kweli hao majambazi will come up with a better one, however na hao makaburu nao watatumia mabilioni mengine kujijengea ulinzi, haya mambo ya kuchota haya madini na kuondoka nayo pia noumer kwa sana, sijui kwanini zisiwe proccessed hapo hapo, tena hilo lingekuwa mojawapo ya sharti kwa wanaotaka kuwekeza kwenye madini.
Sasa yanapochimbwa na kuondolewa haraka haraka inakuwa kama na wao wanayaiba vile, hakuna amani.
Hivi hizo dhahabu wanavyo pakia na kuondoka nazo juu kwa juu kunakuwepo maafisa wa TRA, TBS, Usalama wa Taifa na watu wengine?
Kifupi ni kuwa raia wakakamavu leo wameshindwa katika jaribio la kuokoa rasilimali iliyokuwa ikiibiwa kwenda SA basi!