The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Mchicha?
Umesahau kizuri kula na nduguyo....nikishindwa nawapasia viongozi waandamizi!
Niliishasema formation yetu ni kucheza pasi fupi fupi hadi golini
Mchicha?
Umesahau kizuri kula na nduguyo....nikishindwa nawapasia viongozi waandamizi!
wapiNapenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
yeah especially chamtumaviVery interesting to those faces behind the KEYBOARD!
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
Usisahau hiyo bkn nimependa rangi yake!!:becky:Nitakuwepo na panga langu, oops sorry nitakuja kama navyoonekana kwenye avatar
Eheee ndo hobi??:becky:Mi natamani kumwona Diana Dabo Diff maana jina lake linanifanya nifikirie mengi sana
Mi natamani kumwona Diana Dabo Diff maana jina lake linanifanya nifikirie mengi sana
Nitakuja na mume wangu najua muna hamu sana ya kuliona dabodiff sio mimi,mnaruhusiwa kula kwa macho tu.Kuhusu usagaji ilitokea mara moja tu nimeacha na mume kanisamehe.
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.