Jamii Forums Get Together

Tutayasikia mengi mwaka huu.
Kwa ufupi nakushauri tu kama una mashaka na wazo la mwanajamvi mwenzetu, siku hiyo nenda uwanja wa taifa kaangalie gwaride.
social networking tayari ni get together, sasa wewe unataka ya aina gani in the context of web 2.0?
 
Te te te nitakuwa pande hizo mazee hao waoga oga achana nao. Wasimtafute mwanakijiji anaekuna kila upele wakutafute wewe wa jukwaa la mahaba:lol::lol::eyebrows:

Hahaha! nimecheka sana kwahiyo sisi wa jukwa la mapenzi na jukwa la wakubwa tusiogope sio? kina aspirin,finest,roya roy,nyamayao,preta &co wasihofu ni nadra kuwaona jukwa la siasa.
 
I am curious kufika siku hii.
mkuu usiiweke dormant hii thread. uwe unaiweka frontie every week tuweze kukumbushana.
Ninaconfirm kuwepo hapo jumuikoni
 
Nashukuru mwana jamii kutukaribisha ila Nina mashaka kama invitation hii haijachakachuliwa!!!!!!!!!!!!!....kuweni makini Wadau. Unajua Jamii forum is already a social interaction.....Sasa kukutana na kufahamiana ni kuzuri....ila naasa Mafisadi nao watavaa ngozi za kondoo siku hiyooo....TAFAKARI CHUKUA HATUA!
 
Wanachama wa vyama vingine tuwakaribishe? eg CUF, CCM?
Nahisi tunaweza kubadilishana mawazo juu ya mstakabali wa nchi yetu!
 
updates tafadhali, huku pakistani ni ngumu kujua kinachoendelea na sijamuona kabisa JS, sijui anafanya zoezi la kujilipua?
 
Venue ni ufukweni mwa bahari ya Hindi, pale Ununio Beach.
Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
ununio beach si inamilikiwa na Rostam ( I stand to be corrected) kama ni hapo nawatakia get together party njema, mimi sitafika
 
Back
Top Bottom