Jamii Forums Get Together

Mi natamani kumwona Diana Dabo Diff maana jina lake linanifanya nifikirie mengi sana
 
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.

Inshallah, panapo majaliwa, uzima na uhai, nitakuja. Itakuwa wapi? Napendekeza kila mtu aje na BADGE ya nickname yake, ameivaa kwenye nguo yake kifuani, ndipo itakuwa rahisi kutambuana, kuliko kuuliana maswali: Hivi weye nickname yako ni ipi?
 
chamtumavi aisee... lazma atakua very interesting dude... what do you think?
 
Asante Bujibuji kwa mwaliko. naomba kwenye tarehe tano hivi tukumbushane, si unajua tena uzee kusahau. I eagely waiting for it.
 
Kuna thread moja aliianzisha eti anatamani sana kuwameng'enyua wasichana wenzake.
Siku hiyo lazima nimmeng'enyua mpaka asahau hayo ma u dabo diff yake.
Mi natamani kumwona Diana Dabo Diff maana jina lake linanifanya nifikirie mengi sana
 
Nitakuja na mume wangu najua muna hamu sana ya kuliona dabodiff sio mimi,mnaruhusiwa kula kwa macho tu.Kuhusu usagaji ilitokea mara moja tu nimeacha na mume kanisamehe.
 
Dah....
Mi ntakuja na Sheikh Yahya amkoroge mumeo siku hiyo ili aniruhusu nkalale na li dabo diff.
Nitakuja na mume wangu najua muna hamu sana ya kuliona dabodiff sio mimi,mnaruhusiwa kula kwa macho tu.Kuhusu usagaji ilitokea mara moja tu nimeacha na mume kanisamehe.
 
Nduguzanguni,
kwa heshima na taadhima najongea mbele yenu nikiwaombeni wale wanaoweza kunisaidia katika kuifanikisha sherehe ya sisi kujumuika pamoja hapo tarehe 09-12-2010.
Mwamko mlio onyesha wa kutaka tujumuike pamoja kwenye hiyo siku umenifanya nirudi kwenu na kuwaomba wenye uwezo wa kujitolea nafasi na mawazo yao, tuwasiliane ili siku hiyo ifane kikamilifu.
 
Nawahurumia akina nyamayao na Prety na Gaijin kwani siku hiyo ndo mzunguko wao wa Member of Parliament. wataishia kuona tu na kuja kusimulia baadae humu.

Ila mazee amiin nakwambia askofu atakuja na chupa za VALUU amejaza chasi ya kufa mtu. ukipiga funda kadhaa unaishia kujitaja jina lao la ubini JF. Watchout zawadi kutoka kwa akofu
 
Isije ikawa ndo siku ya kamata kamata kuna haja ya Kumwalika rasmi atakaekuwa RAISI I mean Slaa tujumuike nae
 
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.

social networking tayari ni Get together, sasa wewe unataka ya aina gani in the context of Web 2.0?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom