Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama.

Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho.

Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake.

Wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki, pembeni kuna ndizi na viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumbani.

Wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana.

Baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus, alipoulizwa wa nini hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaidi ya sita enzi hizo alipokamatwa.

Alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili, mwenge mbili na ubungo kwenda Kimara ana branch kila kituo wale wa Kimara natumain tulienjoy sana hizi nyama.

Kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazo, ilinichukua muda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah.

Ila popote ulipo kama unasoma jamii forums naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga foleni.

Nawatakia wote mliokula hii mishikaki happy new year in advance!
 
HII habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somozuri sana kizuri garamaa

zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco..na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho

Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia
adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake

wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki pemben kuna ndizi am viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumban

wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana......

baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus

alipoulizwa wa nn hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaid ya sita enzihizo alipokamatwa

alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili..mwenge mbili..na ubungo kwenda kmr ana branch kila kituo wale wa kmr natumain tulienjoy sana hizi nyama

kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazoo

ilinichukua mda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah

ila popote ulipo kama unasoma jamii forum naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga folen

nawatakia wote mliokula hii mishikaki happyneyr n adv

Ila mpwa zile hazikuwa za paka tuu bali
za umbwa (koko)
vibudu vya ng'ombe
maiti za mimba za ng'ombe waliochinjwa
ngozi zilizochunwa
mataputapu ya machinjioni
mipanya buku nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpwaaa ukitaja mbwaaaa ntaaarisha kama weweee duh..kwahioo jamaa alikuwa anatupiga mixer mmh..niliwaza sana hili huyubwana kama anadaka paka wale mbwaa tunaowagonga wanasalimika kweliiii

Waheheheeeeempooooooooo????????■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■
 
HII habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somozuri sana kizuri garamaa

zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco..na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho

Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia
adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake

wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki pemben kuna ndizi am viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumban

wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana......

baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus

alipoulizwa wa nn hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaid ya sita enzihizo alipokamatwa

alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili..mwenge mbili..na ubungo kwenda kmr ana branch kila kituo wale wa kmr natumain tulienjoy sana hizi nyama

kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazoo

ilinichukua mda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah

ila popote ulipo kama unasoma jamii forum naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga folen

nawatakia wote mliokula hii mishikaki happyneyr n adv
Ni uamzi tu mkuu,kwenye mataifa ya wengine huko huenda paka na mbwa ndio hutumiwa km kitoweo #1.
 
Street food ni nzuri, lakini mishikaki? Ya mia sjui mia mbili, mara jero?

Hiyo hela si nile bigbom nipunguze njaa kwanza.
Ilee ya miaaa
200 ndio yenye afyaa mwili ni
 
HII habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somozuri sana kizuri garamaa

zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco..na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho

Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia
adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora wake

wauzaji waliweza kutupanga foleni na ndevu zetu kusubiria hii mishikaki pemben kuna ndizi am viazi na wengine walijiongeza kuwafungia wateja wakale nyumban

wanafunzi siwezi kuwasemea maana hakuna aliyewaacha huyu bwana......

baada ya miaka kadhaa alipatikana bwana mmoja pale tandika alikamatwa akiwa amechinja paka wapatao 10 plus

alipoulizwa wa nn hapa ndipo aliniacha hoi alisema anatengeneza mishikaki na ana miaka zaid ya sita enzihizo alipokamatwa

alipoulizwa anafanyia wapi akajibu ana branch ubungo kituoni mbili..mwenge mbili..na ubungo kwenda kmr ana branch kila kituo wale wa kmr natumain tulienjoy sana hizi nyama

kama ulizikosa ubungo basi kituo unachoshukia lazima upite nazoo

ilinichukua mda kuamini lakini moyo ukakubali tumekula sana nyama za paka na yule bwana sikujua walimshtaki ama lah

ila popote ulipo kama unasoma jamii forum naomba nikujuze wewe ni mwanaume shupavu kwangu 2023 kwa matendo uliyotufanyia miaka hioo kutupa nyama za paka bila kuzitambua na kutupanga folen

nawatakia wote mliokula hii mishikaki happyneyr n adv
Kwavile hamkufa,basi ni nyama halali.
 
Ilee ya miaaa
200 ndio yenye afyaa mwili ni
Sina hata miaa

Ila hizo vitu za mia mia sijawahi kula.. kitu cha ajabu nimewahi kula huko zamani, ni kwa Aziz Ally pale nilikulaga zile kachori wanauza na mipweza 🙌
 
Back
Top Bottom