Leo Chirwa kaishia kuruka ruka tu.Wamechezesha timu mbili bado wamekwaa viwili. Kocha huyu akifika Februari ana bahati.
We utakuwa umemsahau pa shermahUnachotakiwa kujua kwa sasa kuwa Yanga haijawahi bahatisha kwenye Usajili.... Inatokea mara nadra sana.. Yaani kama mara 1 tu kwa misimu 3.
Sasa nyinyi... Mmesajili magalasa 6 na kuyaacha yote 6 katika nyakati tofauti tofauti.. Huku Yanga ikiwa na kikosi chake kilekile..
Kuwa na Amani uonapo yanga inarecruit new players...
Kwa hiyo unataka nuniambia kuwa zulu Zesco hajacheza hata mechi moja? sasa huyu Lwandamina alipendezewa nae vipi?Zulu Mwaka 2005-2007 app 0 goals0
2007-2009 Hapoel beter sheva
App 23 goal 1
2009-2010 Hapoel bei lod
App 31 goal 1
2010 -2012 Hapoel rishon
App 50 goals 3
2012-2013 Lamontville golven arrows
App 4 goals 0
Kabwe United 2014
App 0 goals 0
Zesco United
App 0 goals 0
Mkuu Kper Sherman hakuwa galasa. Alichelewa tu kuanza kutupia Nyavuni.... Ila aliisaidia Klabu yake Yanga kubeba Ndoo.We utakuwa umemsahau pa shermah
Mkuu bado unaendelea na huu msimamo au James Agyekum Kotei Invicible wall kakuadhiriWadanganyeni wasiojua mpira ILA tuliocheza mpira tena kwa ' kiwango ' kizuri tu na wachambuzi na wafuatiliaji wa mpira tunasema kuwa hakuna kitu hapo. Mimi ni Mwana Simba tena yule ' lia lia ' kabisa na tangia jana baada ya ujio wa huyu Mchezaji nimeshaanza ' kuwadharau ' Viongozi wote wa Simba na kamati yao nzima ya Usajili inayoongozwa na Mr. Mapama. Mchezaji wetu Simba aitwae Awadh Juma ni mzuri mara 100 ya huyo Mghana wenu ambaye mmemleta ili tu mpige 10% ya usajili na kuzichezea pesa za Mo Dewji. Pumbavu kabisa na muda wowote nitaachana rasmi kuishabikia Simba na soka la bongo.
Hivi mkata umeme alipotelea wapi? Mkata bomba anaendelea kukata mabomba kwa uadilifu wa hali ya juuBaada ya timu ya Yanga kumsajili kiungo mkata umeme nao watani wao wa jadi timu ya Simba yaamua kusajili kiungu mkata bomba....ili ndio soka la bongo tuachieni wenyewe
Hilo garasa leo ndo limekua mhimili wa ukabaji kuliko hata huyo mkude, tujifunze kuweka akiba ya maneno na pia tusiwe wajuaji kupitilizaHili sasa ni tatizo! Huwezi sajili garasa kama hilo kama hamna wachezaji ndani si bora Mkude angepewa hata mil 100.kulioko hilo garasa? Aveva mpira si biashara ya nyanya.
Huyo kila kitu anajuaMkuu bado unaendelea na huu msimamo au James Agyekum Kotei Invicible wall kakuadhiri
Ha ha haa! Watu mnajua kufukua makaburi! Yaani huko waliko, wanajionea aibu zao waliomkejeli akina demigod, Mbojo, Powder, nasmapesa, na wengine nahisi wengi wao wameshatangulia mbele ya hakiMkuu bado unaendelea na huu msimamo au James Agyekum Kotei Invicible wall kakuadhiri
Shida unajifanya mjuaji Sana.Wadanganyeni wasiojua mpira ILA tuliocheza mpira tena kwa ' kiwango ' kizuri tu na wachambuzi na wafuatiliaji wa mpira tunasema kuwa hakuna kitu hapo. Mimi ni Mwana Simba tena yule ' lia lia ' kabisa na tangia jana baada ya ujio wa huyu Mchezaji nimeshaanza ' kuwadharau ' Viongozi wote wa Simba na kamati yao nzima ya Usajili inayoongozwa na Mr. Mapama. Mchezaji wetu Simba aitwae Awadh Juma ni mzuri mara 100 ya huyo Mghana wenu ambaye mmemleta ili tu mpige 10% ya usajili na kuzichezea pesa za Mo Dewji. Pumbavu kabisa na muda wowote nitaachana rasmi kuishabikia Simba na soka la bongo.