demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Anaitwa - James Agyekum Kotei.
Amezaliwa - 10.10.1993 (23).
Nafasi - Kiungo mkabaji.
Amekuzwa na kulelewa kisoka kwenye academy inayoitwa "Golden Foot Academy". (2007 - 2009)
LIBERTY PROFESSIONALS FC
Akapana nafasi ya kusajiliwa na moja ya Klabu inayoshiriki ligi kuu Ghana iitwayo "Liberty Professionals Football Club".
Au Liberty Professionals FC - ( 2010 - 2015). Kwa kipindi cha miaka hiyo minne (sawa na misimu 4, ukiondoa msimu wa mwaka 2014/15) aliyodumu hapo Klabuni, James KOTEI aliifungia timu yake mabao matatu tu.. yaani (3) . Akiwa Liberty James KATEI alishindwa kuwa mchezaji wa kutegemewa kikosini..... Hivyo basi kwa kipindi cha miaka yote hiyo minne amekuwa akitumika kama mchezaji wa ziada kikosini.
Kutokana na maboresho yaliyofanyika klabuni hapo mwishoni mwa mwaka 2014. James KATEI alijikuta akitolewa kwa mkopo kwenda klabu inayoshiriki ligi daraja la pili huko Ghana iitwayo "Brong Ahafo Stars Football Club" a.k.a BA Stars FC.
BA STARS FC
James KATEI akiwa BA Stars FC kwa msimu mmoja wa 2014/15 alifanikiwa kuifungia timu yake hiyo ya daraja la pili bao moja tu.... yaani bao (1) . Baada ya msimu huo kuisha na kufanikiwa kuifungia timu yake bao hilo 1, wakala (Agent) wa James KOTEI anamtafutia klabu nje ya Ghana ili akafanye majaribio.
AL OROUBA SC
Msimu wa mwaka 2015/16 James KATEI anafanya majaribio kwenye klabu moja huko OMAN.. Iitwayo "Al-Orouba SC"....inayoshiriki ligi kuu. (Moja ya klabu inayoshiriki ligi kuu hiyo ni Fanja United aliposajiliwa "Mrisho Ngassa". Ikumbukwe Ngassa karudi Mbeya City FC).
Akiwa amesajiliwa Orouba SC ya Oman, Mchezaji huyu James KATEI amefanikiwa kucheza mechi nane tu... yaani 8 Kati ya mechi zote za msimu huo wa 2015/16.
Kati ya hizo mechi 8 . Ni mechi 5 tu za LigiKuu, mechi 3 za kombe la Shirikisho (Huku Bongo tunaliita Azam sports Federation Cup). Kati ya mechi 5 za LigiKuu ni 2 alizo anza na kucheza dakika zote 90. Ikumbukwe kuwa msimu mzima akiwa hapa alifanikiwa kufunga mabao sifuri... yaani (0)/ziro
Baada ya msimu kuisha mwezi wa 5/2016, James KATEI amekuwa ni Free agent. Hakuwa anajihusika na Klabu yeyote ile tangu mwezi wa 5 mpaka sasa mwezi wa 12.
SIMBA SC
Mnamo mwezi wa 12/2016. Klabu ya Simba SC ipo tayari kumwaga mamilioni ya fedha kumsajili Kiungo huyu matata ili aiwezeshe Klabu hiyo yenye makazi yake mitaa ya Msimbazi.. Kutwaa ubingwa wa VPL.
Nawasilisha:-