Zulu Mwaka 2005-2007 app 0 goals0
2007-2009 Hapoel beter sheva
App 23 goal 1
2009-2010 Hapoel bei lod
App 31 goal 1
2010 -2012 Hapoel rishon
App 50 goals 3
2012-2013 Lamontville golven arrows
App 4 goals 0
Kabwe United 2014
App 0 goals 0
Zesco United
App 0 goals 0
Jonas Mkude wa Yanga! Ooh sory ulimi umeteleza ni James Mkude wa Simba.Kiungo mkabaji si rahisi kupata nafasi ya kufunga magoli. Kwa mfano, hapa Bongo, nitajie kiungo mkabaji unayedhani ni mahiri kuliko wote katika ligi kuu ya vodacom, halafu uniambie katika mechi 15 za raundi ya kwanza amefunga mabao mangapi
Hivi mjuzi huyu amesajiliwa toka klabu gani?Kwa video clip hii.. Dogo anaujua tuache maskhara. Nasubiri video clip ya mtani...
Mkuu umesahau foward yao hatari iitwayo Akufo
James Zuttah! ndio namkumbuka sana yule.
Huwaga Dar es Salaam Young Africans SC hawana kawaida ya kusajili galasa. Na ikitokea, basi ni mara moja katika miaka 6.
Sasa hawa Wamatopeni kule Msimbazi wao wanasajili galasa juu ya galasa.... Miaka 3 iliyopita wamesajili jumla ya magalasa 6.
1. Sserenkuma
2. Kiongera
3. Papa Ndaw
4. Pada Niang
5. Nimubona
6. Kwizera.
Hawa jamaa kama wanafanya kubahatisha tu kwenye suala la usajili.