James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba

Leo Chirwa kaishia kuruka ruka tu.Wamechezesha timu mbili bado wamekwaa viwili. Kocha huyu akifika Februari ana bahati.

Ila uzuri wake huwaga aruki ruki akiwa kwenye mechi za Ligi.....

Kama ukiniambia kwenye Ligi pia huwa anaruka ruka.... Basi tuseme pia Mavugo huwa "anapaa paa" kabisa...

Unachotakiwa kujua kwa sasa kuwa Yanga haijawahi bahatisha kwenye Usajili.... Inatokea mara nadra sana.. Yaani kama mara 1 tu kwa misimu 3.

Sasa nyinyi... Mmesajili magalasa 6 na kuyaacha yote 6 katika nyakati tofauti tofauti.. Huku Yanga ikiwa na kikosi chake kilekile..

Kuwa na Amani uonapo yanga inarecruit new players...
We utakuwa umemsahau pa shermah
 
Zulu Mwaka 2005-2007 app 0 goals0
2007-2009 Hapoel beter sheva
App 23 goal 1
2009-2010 Hapoel bei lod
App 31 goal 1
2010 -2012 Hapoel rishon
App 50 goals 3
2012-2013 Lamontville golven arrows
App 4 goals 0
Kabwe United 2014
App 0 goals 0
Zesco United
App 0 goals 0
Kwa hiyo unataka nuniambia kuwa zulu Zesco hajacheza hata mechi moja? sasa huyu Lwandamina alipendezewa nae vipi?
 
We utakuwa umemsahau pa shermah
Mkuu Kper Sherman hakuwa galasa. Alichelewa tu kuanza kutupia Nyavuni.... Ila aliisaidia Klabu yake Yanga kubeba Ndoo.

Ugalasa ni pale unapopewa nafasi kama Kiongera na Sserenkuma na kushindwa kutimiza haja.

Huyo Jamaa wenu ni Galasa tu.... Ukizingatiza na huko alikotoka.
 
Performance yake ni nzuri.Mechi ya Ndanda alicheza dakika 15 akaumizwa. Mechi ya JKT Ruvu alibadilishwa dakika ya 80.Kocha anaonyesha kumuamini.
 
Huyu mbona hajaonyesha cheche kama Patrick huyu dogo ndio anatakiwa aitwe kata upepo
 
Wadanganyeni wasiojua mpira ILA tuliocheza mpira tena kwa ' kiwango ' kizuri tu na wachambuzi na wafuatiliaji wa mpira tunasema kuwa hakuna kitu hapo. Mimi ni Mwana Simba tena yule ' lia lia ' kabisa na tangia jana baada ya ujio wa huyu Mchezaji nimeshaanza ' kuwadharau ' Viongozi wote wa Simba na kamati yao nzima ya Usajili inayoongozwa na Mr. Mapama. Mchezaji wetu Simba aitwae Awadh Juma ni mzuri mara 100 ya huyo Mghana wenu ambaye mmemleta ili tu mpige 10% ya usajili na kuzichezea pesa za Mo Dewji. Pumbavu kabisa na muda wowote nitaachana rasmi kuishabikia Simba na soka la bongo.
Mkuu bado unaendelea na huu msimamo au James Agyekum Kotei Invicible wall kakuadhiri
 
Wadanganyeni wasiojua mpira ILA tuliocheza mpira tena kwa ' kiwango ' kizuri tu na wachambuzi na wafuatiliaji wa mpira tunasema kuwa hakuna kitu hapo. Mimi ni Mwana Simba tena yule ' lia lia ' kabisa na tangia jana baada ya ujio wa huyu Mchezaji nimeshaanza ' kuwadharau ' Viongozi wote wa Simba na kamati yao nzima ya Usajili inayoongozwa na Mr. Mapama. Mchezaji wetu Simba aitwae Awadh Juma ni mzuri mara 100 ya huyo Mghana wenu ambaye mmemleta ili tu mpige 10% ya usajili na kuzichezea pesa za Mo Dewji. Pumbavu kabisa na muda wowote nitaachana rasmi kuishabikia Simba na soka la bongo.
Shida unajifanya mjuaji Sana.
then loporopo

Una,Maoni Gani na Kotei kwa Sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom