James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba

Jamaa amecheza mechi 8 tu akiwa Oman. Msimu mzima.
Hongereni watani kwa kupata kiungo mkabaji aliecheza mechi nane msimu mzima,hao ndio wachezaji wenu wa kimataifa halafu mnataka refa toka nje tehtehtehteh
Hili sasa ni tatizo! Huwezi sajili garasa kama hilo kama hamna wachezaji ndani si bora Mkude angepewa hata mil 100.kulioko hilo garasa? Aveva mpira si biashara ya nyanya.
Nilidhani utasema labda alifunga goli hata 5 akiwa Oman!

Mko wapi mumlinganishe Kotei na Fei Toto au Juma Makapu ha ha haaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom