Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.
Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!
Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.
Ni maana ya ubishi au fujo zipi walitenda na walikuwa na silaha?Single ya udini imewashinda sasa mmebaki kunywa damu za watu lakini yana mwisho. Marehemu Ally pamoja na wengineo waliouwawa kwa ajli ya ukomboz wa taifa hili damu zenu hazitapotea kamwe.Mungu anawapigania na ipo siku ukombozi utapatikana tu.