Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA

Mungu hasinzii ! !. Mungu hali chapati ! !. CDM wanachukua dola lakini , mtu hata mmoja akiuawa kipindi chenu; hata mwaka mmoja utakua ni mrefu sana kukaa kwenye serikali.
 
Inauma sana kamwe damu ya mwenye haki haiwezi kumwagika bure. Hili genge la jeshi la wahuni lazima 2015 lifumuliwe na kuundwa upya ndani ya serikali ya CDM.
 
Mungu hasinzii ! !. Mungu hali chapati ! !. CDM wanachukua dola lakini , mtu hata mmoja akiuawa kipindi chenu; hata mwaka mmoja utakua ni mrefu sana kukaa kwenye serikali.
funguka zaidi unaamanisha nini?
 
Polisi kupitia chama tawala lazima iwe makini katika ufanyaji kazi wasipende kutumia nguvu nyingi zenye kuleta madhara
 
Ama kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!

Kumbe unaweza mwona member kama huyu ana akili kichwani kumbe kabeba kwenye masaburi yake!

Kaombe uongozi wa juu uje uifute!
Lakini hakuna ajabu hata nawe ni mtumwa kama wale wenzio waliopoteza mwelekeo siku hz humu jamvini.
Pole sana!
 
Ok,taja wengine tuliopeteza direction humu jamvini,wa kwanza mimi ehee mwingine?
1.DUDU JEUSI
2..............................
 
So sad thaman ya maisha ya mtu si sawa na kushinda kutanguliza busara na hekima katika kufikiri
 
Watanzania wajinga ni wachache siku hizi na kwa taarifa yako hatudanganyiki. CCM na vyombo vyote vya usalama ndio janga la taifa hamtaki kusoma alama za nyakati.
Sikulazimishi uamini ninachokiamini!!!!!
Endelea kuabudu unachokiamini na mm ntaamini ninachokiamini mkuu.
 
....[/QUOTE]

ZOMBA waliopoteza roho za watu au wenye kiu ya DAMU ya watu (mumiani) ni CDM au MAGAMBA?
 
Kumbe unaweza mwona member kama huyu ana akili kichwani kumbe kabeba kwenye masaburi yake!

Kaombe uongozi wa juu uje uifute!
Lakini hakuna ajabu hata nawe ni mtumwa kama wale wenzio waliopoteza mwelekeo siku hz humu jamvini.
Pole sana!

Mkuu! Huyo haelewi kwamba CDM ni roho iliyo ndani ya wenyenchi na siyo kipande cha karatasi kilicho andikwa CDM Uwezacho kufuta! Dawa ya kufuta CDM Ni kwa CCM Kupandikiza roho ya matumaini kwa wananchi!
 
Dr Slaa kashindwa uongozi katika wa dini,familia na sasa siasa pia zimemshinda anaamua kutoa kafara watanzania wasiokuwa na hatia.
 
Back
Top Bottom