Aisee kumbe walizidiana kura kiducu namna hiyo??
I smell a rat kwenye hayo matokeo!!:dizzy:
Jangwani Primary School
Primary Education
1983
1989
PRIMARY!!!!!!!!!!!!!!!!!
huyu jamaa ni darasa la saba tu basi??
halafu ni mhindi au mtanzania mbantu?? naomba msaada!!
Poleni cdm kwa kupoteza jembe
Kwani TZ kuna mahakama za Kisheria? Nijuavyo mahakama zetu Ziko kisiasa zaidi.. Au kwani Unadhani TZ kuna uongozi wowote ??!! Ni UTAWALA Mwanzo mwisho..
Twenzetu msiban Armr
Habari wanaJf,
Kesho tar 30/04/2012 ndo siku ya hukumu ya kesi kupinga ubunge wa bw Aesh Hilaly Khalfan Wa Sumbawanga mjini, kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA bw Noberth Yamsebo akilalamikia ugubikwaji wa uvunjifu wa sheria ya uchaguzi uliofanywa na bw Aeshi kwa kujihusisha na rushwa na uchakachuzi wa matokeo uliofanywa na msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo bi Sylvia Siriwa.
Hali ni shwari hapa Sumbawanga, askari wamemwagwa kwa wingi sana. Kila upande kwa maana walalamikaji CHADEMA na walalamikiwa CCM wanajigamba kwa kuibuka kidedea hapo kesho. Wenye kujihakikishia zaidi ni wanaccm kwani wanasema mahakama na dola ni ccm na hivyo wao hawana wasi wasi kwani mbunge wao lazima ashinde, waandishi wa habari nao wamejiandaa vilivyo kuhakikisha wanaripoti vilivyo yote yatakayojili mahakamani, na hasa ikizingatiwa kuwa waandishi wengi wako upande wa bw Aeshi na ndo maana walishindwa kuripoti namna kesi ilivyoendeshwa hadi ushahidi ulivyofungwa kwani kwa kiasi kubwa ilionekana kwao baadhi ya waandishi wa habari ni udhalilishaji kwa bw Aeshi na kwa baadhi ni wale waandishi njaa ambao kwao hawawezi kuripoti bila fedha na ndo maana hiyo kesho bw Aeshi akishida kama wanavyotegemea watajipendekeza kwake na kupata chochote.
Zaidi tu ni kuwa ujumbe unasambazwa na watu wasiojurikana kwa njia ya sms kuwa ==Tahadhari==: Usiende mahakamani J3. Kutakuwa na; Mbunge ni yule yule, askari wanafanya maandalizi, wadai wamelazimishwa ingawa hawapendi, jaji apewa ulinzi makali na jeshi la polisi
Taarifa za uhakika ni kuwa ujumbe huo polisi wameupata na Jana kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa aliwaita baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoa wa Rukwa akiwepo katibu mh Ozemu Chapita na kuwaeleza kuwa ujumbe huo waupuuze kwani polisi haijihusishi na wala haitakuja jihusisha na siasa za Sumbawanga, na kuhusu askari wengi waliomwagwa hivi karibuni,kamanda huyo alisema hao ni askari wapya wako mbioni kupelekwa mkoa mpya wa Katavi kama vituo vyao vipya vya kazi walivyopangiwa na kuwa muda wowote wataondoka, mwishowe aliwaasa viongozi hao wa CDM wawahamasishe wapenzi na wanachama wao wajitokeze kwa wingi na wasiwe na hofu na usalama wao, zaidi ya yote aliwaahidi kutoa hata gari kwa ajili ya kuwatangazia wananchi kupuuza uzushi huo wa ujumbe uliosambazwa.
Naahidi kuwaletea hukumu hiyo kesho live toka mahakamani, PTZ toka Sumbawanga.
Election TypeTop of FormPresidentialParliamentary Region District MANISPAA YA SUMBAWANGA Consituency SUMBAWANGA MJINI Ward Bottom of Form
RUKWA MANISPAA YA SUMBAWANGA SUMBAWANGA MJINI Candidate Political Party Number of Votes Percentage VotesAESHI KHALFAN HILALY CCM 17,328 48.99YAMSEBO NORBERT JOSEPH CHADEMA 17,132 48.44IFGENIA CASSIAN LEBA CUF 76 0.21KIYAYA LEONARD DOMINICK NCCR-MAGEUZI 53 0.15AUGUSTINO MNYEPA NKOSWE UDP 28 0.08SPOILT VOTES 751 2.12 TOTALS 35,368 100 Photo Fullame Party Name By this Mp CCM
Questions(0) Supplementary Questions (0) Contributions(1)
CV YA Bw AESHI
GENERAL Salutation Honourable Member picture
First Name: Aeshi Middle Name: Khalfan Last Name: Hilaly Member Type: Constituency Member Constituent: Sumbawanga Mjini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 479, Sumbawanga, Rukwa Office Phone: +255 25 2800004/+255 786 060 000/+255 767 212 111 Ext.: Office Fax: Office E-mail: ahilaly@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 12 December 1973
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date LevelJangwani Primary School Primary Education 1983 1989 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To DateThe Parliament of Tanzania Member - Sumbawanga Urban Constituency 2010 2015
POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From ToChama Cha Mapinduzi, CCM Member - Regional Implementation Committee 2008Chama Cha Mapinduzi, CCM District Youth Commander 2008Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary (Economics) -District Parents 2007
Baraza likivunjwa Pinda harudi !!!!!!!Hayo ni matokeo aliyoyarekebisha Pinda, mpaka leo watu wa huko hawataki kumuona na alikuwa anaheshimika kabla ya kufanya uchakachuzi huo!
taratibu Mtatiro akikusikia mkuu?Hivi Chama Chakavu hadi huku kinaambulia kura hizi???
IFGENIA CASSIAN LEBA
CUF
76
0.21
Noma sana!!