ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,056
- 49,743
Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilary ameoneshwa na kusikitshwa kwake Kwa hatua ya Benki ya TIB kuuza shamba ambalo lilikuwa linamilikiwa na Marehemu Mzindakaya ambalo Lina thamani ya Shilingi Bilioni 14.
Wizara ya Kilimo ilitaka kulinunua shamba Hilo Kwa Bilioni 14 Kwa Ajili ya uzalishaji wa mbegu za Ngano na mahindi ila wajanja wakaona watakosa ulaji wakamuizia mtu asiyejulikana Kwa bil.2 Kwa madai kwamba Kuna maelekezo kutoka Juu.
View: https://youtu.be/Li_kqAGglL0?si=rnPAcH9KQ9hB7jiQ
My Take
Hii ushenzi wa Watumishi wa Serikali unatakiwa ukome,kabila amenunua Ili aanze kukodisha watu badala ya kutumia kwenye malengo ya kimkakati ya Nchi ya Kuzalisha ngano na mahindi.