Mbunge Aeshi Hilaly Mgeni Rasmi Kamati ya CCM Kata ya Mafulala

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
944

MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA

Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mh. Aeshi Hilaly Khalfan.

Mheshimiwa Aeshi akiwa katika kikao hicho ameeleza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais wa JMTZ Mh. Samia Suluhu Hassan juu ya ufanikishaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Jimbo la Sumbawanga Mjini ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na Barabara za kiwango cha Lami zilivyojengwa, ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Sumbawanga mjini na matazamio ya ujenzi wa hospital ya Rufaa.

Kwa kipekee Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini ameunga mkono juhudi za ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Mafulala kwa kuchangia Mabati pamoja na mbao ili kukamilisha ujenzi huo.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.53.59.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.53.59.jpeg
    52.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.01.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.01.jpeg
    57.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.06.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.06.jpeg
    59.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.25.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.25.jpeg
    55.2 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.26.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-23 at 19.54.26.jpeg
    57.4 KB · Views: 2
Unatuambia habari za huko kijijini zitusaidie nini?

Baada ya kugawa bandari zote na kuipeleka nchi utumwani milele ameona akawahadae walala hoi huko vijijini?

Laana ya kuuza nchi haitowaacha hawa madalali.
 
MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA

Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mh. Aeshi Hilaly Khalfan.

Mheshimiwa Aeshi akiwa katika kikao hicho ameeleza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais wa JMTZ Mh. Samia Suluhu Hassan juu ya ufanikishaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Jimbo la Sumbawanga Mjini ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na Barabara za kiwango cha Lami zilivyojengwa, ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Sumbawanga mjini na matazamio ya ujenzi wa hospital ya Rufaa.

Kwa kipekee Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini ameunga mkono juhudi za ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Mafulala kwa kuchangia Mabati pamoja na mbao ili kukamilisha ujenzi huo.
Hii si habari hata kidogo,habari kubwa ni Bandari zetu.
 
Wachawi nyie,mpaka leo mnaongozwa na mbunge darasa la saba???wenzenu kalambo walimpata Hadi naibu wazir.na yule mbwa wenu mtalitinya,rafiki ya aeshi Yuko wapi??😂😂😂😂
 
MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA

Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Mh. Aeshi Hilaly Khalfan.

Mheshimiwa Aeshi akiwa katika kikao hicho ameeleza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais wa JMTZ Mh. Samia Suluhu Hassan juu ya ufanikishaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Jimbo la Sumbawanga Mjini ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na Barabara za kiwango cha Lami zilivyojengwa, ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Sumbawanga mjini na matazamio ya ujenzi wa hospital ya Rufaa.

Kwa kipekee Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini ameunga mkono juhudi za ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Mafulala kwa kuchangia Mabati pamoja na mbao ili kukamilisha ujenzi huo.
Mbona Mbunge kachoka? Hakwenda Dubai kama kina Msukuma?Hivi Sumbawanga ipo Mkoa gani?
 
Back
Top Bottom