Hukumu ya kupinga ubunge sumbawanga mjini

jamaa ni kweli ni boya ni classmate wangu na tangu aingie bungeni ni mademu tu ndo kazi yake wakina Bulaya, hembu angalia recodi zake za bunge na cv yake yake nimeiweka kwenye uzi wangu
 
Poleni cdm kwa kupoteza jembe
 

Attachments

  • dah.jpg
    dah.jpg
    14.3 KB · Views: 38
Jangwani Primary School
Primary Education
1983
1989
PRIMARY!!!!!!!!!!!!!!!!!
huyu jamaa ni darasa la saba tu basi??halafu ni mhindi au mtanzania mbantu?? naomba msaada!!
 
ni chotara wa kiarabu! ana kaufisadi fisadi!
Jangwani Primary School

Primary Education

1983

1989

PRIMARY!!!!!!!!!!!!!!!!!
huyu jamaa ni darasa la saba tu basi??
halafu ni mhindi au mtanzania mbantu?? naomba msaada!!
 
Mungu atuamshe salama jaji asiwe gamba,atumie sheria,cdm chaguo la wananchi
 
Hayo ni matokeo aliyoyarekebisha Pinda, mpaka leo watu wa huko hawataki kumuona na alikuwa anaheshimika kabla ya kufanya uchakachuzi huo!
 
Kwani TZ kuna mahakama za Kisheria? Nijuavyo mahakama zetu Ziko kisiasa zaidi.. Au kwani Unadhani TZ kuna uongozi wowote ??!! Ni UTAWALA Mwanzo mwisho..
Twenzetu msiban Armr

Mie naweza kusema ni takataka tu.....

Wenzetu Kenya na Uganda wametuzidi sana!!...

Hii ni aibu/tusi kubwa wanalojitukana hawa jamaa...

Wameoza kuliko CCM!

...
 
Habari wanaJf,
Kesho tar 30/04/2012 ndo siku ya hukumu ya kesi kupinga ubunge wa bw Aesh Hilaly Khalfan Wa Sumbawanga mjini, kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA bw Noberth Yamsebo akilalamikia ugubikwaji wa uvunjifu wa sheria ya uchaguzi uliofanywa na bw Aeshi kwa kujihusisha na rushwa na uchakachuzi wa matokeo uliofanywa na msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo bi Sylvia Siriwa.

Hali ni shwari hapa Sumbawanga, askari wamemwagwa kwa wingi sana. Kila upande kwa maana walalamikaji CHADEMA na walalamikiwa CCM wanajigamba kwa kuibuka kidedea hapo kesho. Wenye kujihakikishia zaidi ni wanaccm kwani wanasema mahakama na dola ni ccm na hivyo wao hawana wasi wasi kwani mbunge wao lazima ashinde, waandishi wa habari nao wamejiandaa vilivyo kuhakikisha wanaripoti vilivyo yote yatakayojili mahakamani, na hasa ikizingatiwa kuwa waandishi wengi wako upande wa bw Aeshi na ndo maana walishindwa kuripoti namna kesi ilivyoendeshwa hadi ushahidi ulivyofungwa kwani kwa kiasi kubwa ilionekana kwao baadhi ya waandishi wa habari ni udhalilishaji kwa bw Aeshi na kwa baadhi ni wale waandishi njaa ambao kwao hawawezi kuripoti bila fedha na ndo maana hiyo kesho bw Aeshi akishida kama wanavyotegemea watajipendekeza kwake na kupata chochote.

Zaidi tu ni kuwa ujumbe unasambazwa na watu wasiojurikana kwa njia ya sms kuwa “==Tahadhari==: Usiende mahakamani J3. Kutakuwa na; Mbunge ni yule yule, askari wanafanya maandalizi, wadai wamelazimishwa ingawa hawapendi, jaji apewa ulinzi makali na jeshi la polisi”

Taarifa za uhakika ni kuwa ujumbe huo polisi wameupata na Jana kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa aliwaita baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoa wa Rukwa akiwepo katibu mh Ozemu Chapita na kuwaeleza kuwa ujumbe huo waupuuze kwani polisi haijihusishi na wala haitakuja jihusisha na siasa za Sumbawanga, na kuhusu askari wengi waliomwagwa hivi karibuni,kamanda huyo alisema hao ni askari wapya wako mbioni kupelekwa mkoa mpya wa Katavi kama vituo vyao vipya vya kazi walivyopangiwa na kuwa muda wowote wataondoka, mwishowe aliwaasa viongozi hao wa CDM wawahamasishe wapenzi na wanachama wao wajitokeze kwa wingi na wasiwe na hofu na usalama wao, zaidi ya yote aliwaahidi kutoa hata gari kwa ajili ya kuwatangazia wananchi kupuuza uzushi huo wa ujumbe uliosambazwa.

Naahidi kuwaletea hukumu hiyo kesho live toka mahakamani, PTZ toka Sumbawanga.


Top of Form
Election Type
PresidentialParliamentary
Region
DistrictMANISPAA YA SUMBAWANGA
ConsituencySUMBAWANGA MJINI
Ward
Bottom of Form

RUKWA
MANISPAA YA SUMBAWANGA
SUMBAWANGA MJINI
CandidatePolitical Party
Number of Votes
Percentage Votes
AESHI KHALFAN HILALY CCM
17,328
48.99
YAMSEBO NORBERT JOSEPH CHADEMA
17,132
48.44
IFGENIA CASSIAN LEBA CUF
76
0.21
KIYAYA LEONARD DOMINICK NCCR-MAGEUZI
53
0.15
AUGUSTINO MNYEPA NKOSWE UDP
28
0.08
SPOILT VOTES
751
2.12
TOTALS
35,368
100
Photo
Fullame
Party Name
By this Mp
CCM
Questions(0)
Supplementary Questions (0)
Contributions(1)

CV YA Bw AESHI
GENERAL
SalutationHonourable
Member picture
First Name: Aeshi
Middle Name: Khalfan
Last Name:Hilaly
Member Type:Constituency Member
Constituent:Sumbawanga Mjini
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 479, Sumbawanga, Rukwa
Office Phone: +255 25 2800004/+255 786 060 000/+255 767 212 111
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: ahilaly@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 12 December 1973

EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Jangwani Primary School
Primary Education
1983
1989
PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of TanzaniaMember - Sumbawanga Urban Constituency
2010
2015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Regional Implementation Committee
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMDistrict Youth Commander
2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary (Economics) -District Parents
2007

Mh Aeshi anatuhuma za kulawiti Mhindi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama akikupigia simu mtu yeyote, akakuita mkutane mahali, usiende peke yako. Sasa hivi CCM wanachinja wafuasi na viongozi wa Chadema. Chukueni tahadhari. Nchi inayotawaliwa na CCM imeshaharibika.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom