Really anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi.Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.
Rahajipe
Really anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!
Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi. Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.
...Imeanza leo Loli..ratiba ni kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni (hapa nadhani wanahitaji ku-extend huu muda angalau mpaka saa 4 usiku)Salamu kwenu wana jf. Jamani, jamani... Mwenzenu mie nna hamu ya kudandia iyo Treni kwani sijawah kusafiri kwa treni. Kwani inaanza lini??
Huyo wa angani ndiye aliyemteua Mwakyembe akafanye hizo kazi. Umelala?
Ndugu yangu labda wengi walishindwa kufanya hivyo kwakuwa wanamiliki daladala na mabasi ya mikoani.
Ni wajibu wake kama kiongozi kubuni mbinu nzuri za kusolve matatizo kwenye jamii.