Kidumu Chama cha Mapinduzi
Zidumu kodi za watanzania
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Hakuna ratiba maalumu kuwa kila kituo inapita saa ngapi? Maana hapo inabidi kuvizia sasa which is not good....Imeanza leo Loli..ratiba ni kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni (hapa nadhani wanahitaji ku-extend huu muda angalau mpaka saa 4 usiku)
BABA V, hiyo kazi unaiweza kwani taha debe unalopiga humu ndani ni cv tosha.
We kweli Mgomba, ambao haufai hata kupikia hata kujengea kibanda! Kwani mawaziri wote, ikiwa ni pamoja na mwanaasha wako, wana job descriptions zao, lkn wanashindwa kuzitimiza!! Usikimbilie matusi, unazidi kujiaibisha! Over!
Tanzania bado sana kimaendeleo. kuna faida gani kuwa na kaportion ya huduma ya reli wakati nchi zima tunategemea usafiri huo. yaani wanaona bora warekebishe treni kwa dar halafu wengine huko wasubiri baadae. AMKA TANZANIA, hilo reli ni kwa usafiri wa dar wakati kuna mikoa mingi mengine hinashida hiyo. uchumi wetu umeshuka kwasababu ya reli kuwa chini! Viongozi tuliowaweka pale na kukaa kwenye sofa hapo bungeni wote hamna kitu kabisa, WHAT THEY THINK NIKUJIKATIA KWANZA WAO, HALAFU KWAKUWA KUNA USAFIRI WA BASI BASI RELI BAADAE!!!
Huyo wa angani ndiye aliyemteua Mwakyembe akafanye hizo kazi. Umelala?
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiii... , Mwakyembe Oyeeeeeeeeeeee...Weka hapa mikoa unayoilinganisha na Dar kwamba inahitaji huo usafiri wa ndani. Em ipongezeni serikali yenu inapostahili, acheni lawama za ukewenza. CCM oyeeeee...itikia basi...
Mbona unatokwa povu wakati wala sikumtaja wa angani ni nani!Na uzuri wa angani huwa anaangalia wanamtandao tu hata kama ni useless.Huyo wa angani ndiye aliyemteua Mwakyembe akafanye hizo kazi. Umelala?