Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI

SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI.

Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).

Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia mafanikio kwa miaka mingi ijayo.

Azimio lako na Jitihada zako ulizozionesha katika muda wa mwaka wako mmoja kama Katibu Mkuu wa UVCCM-Taifa ni mwanzo tu wa yake utakayotimiza katika miaka ijayo.

Mafanikio Mliyoyafikia wewe na timu yako ndani ya UVCCM ni Ushuhuda kwa wafanyakazi wenzako juu ya umahiri na kujitolea kwako kila wakati ndani ya mwaka huu mmoja kwaajili ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi.

Binafsi Nina furaha na najivunia yote uliyotimiza hasa kutokana na namna ninavyoifahamu ndoto uliyokuwa nayo tangu zamani tulipoanza kufahamiana; zaidi ya Miaka Kumi Iliyopita huko mkoani Iringa.

Kwa miaka mingi juhudi na jitihada zako zimekuwa waziwazi mara zote. Kufanya kazi kwa bidii, Uaminifu na bidii ndiyo nguzo kuu za watumishi na viongozi vinara.

Nina furaha sababu una sifa zote hizi na tabia zako njema na makusudi mema mara zote hazijawahi kuyumba, Kutikisika ama kubadilika. Watumishi na Wafanyakazi wanaojitolea kama wewe ndiyo msingi wa kampuni yoyote iliyofanikiwa kote duniani.

Nimekuona, Nimeshiriki, Ninayafahamu maoni mseto kukuhusu, nimekuwa ndani ya harakati zako na nimebahatika kuandika na kuripoti mambo mengi kuhusu wewe katika nyakati mbalimbali ulizopitia na katika sehemu yangu ya pili ya Makala haya nitasema machache kuhusu ninavyokufahamu na upekee wako.

Akianzia kuwa mwanafunzi na waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Iringa, baadae kuwa machinga maarufu wa nguo za mitumba pale Kihesa Iringa, Leo majukwaa ya kisiasa yanamuimba kama Katibu Mkuu wa Vijana wa CCM.

Baadae nimemuona akiwa Mjumbe wa kamati ya siasa Tawi, kamati ya siasa Kata, Mjumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, Mjumbe wa kamati ya siasa Mkoa na baadae Mjumbe wa baraza kuu la UVCCM Taifa.

Simulizi niipendayo kutoka kwake ni hii; harakati za baadae zilikuwa ni kugombea udiwani kule Kihesa, bahati mbaya aliangukia pua,akajitosa tena kwenye uenyekiti wa UVCCM wilaya nako mambo yakamuendea Kombo. Hakukata tamaa, mwaka huohuo akagombea uenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa na ndiko aliposhinda na nyota yake ikaanza kung'aa rasmi.

Baada ya hapo hayati Dr John Magufuli alimteua kuwa Mkimbiza mwenge wa kitaifa mwaka 2020 kabla ya kuteuliwa tena na JPM kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha baada ya Mbio za mwenge kukamilika. Mwaka jana mwanzoni Rais Samia pia aliuona uwezo wake na akamteua tena kuwa Mkuu wa wilaya ya Iramba, Singida kabla ya wiki moja baadae kuteuliwa na NEC kuwa katibu Mkuu wa UVCCM; Nafasi ambayo leo ndiyo anatimiza mwaka Mmoja ikiwa mikononi mwake.

Hakuzaliwa familia tajiri. Amezaliwa familia ya kawaida kabisa niliyobahatika kuifahamu pia na Mara zote amekuwa machachari na hodari katika harakati mbalimbali za kutimiza ndoto zake. Ukiwauliza watu wa Kihesa watakueleza kumuhusu wakati akiuza popcorn na Mitumba pale Iringa mjini huku akiwa ni mhitimu msomi wa chuo Kikuu.

Mwezi May mwaka huu nilibahatika kuwa nae muda mrefu zaidi akiwa kama Katibu Mkuu wa UVCCM, Taasisi kubwa na muhimu kuliko zote ndani ya CCM. Nafurahi kuwa hajabadilika, alivyokuwa ndivyo alivyo. Sisi tunaobahatika kuwa naye karibu naamini anaendeea kufanyika darasa kubwa kwetu.

Ni mtu ambaye mara zote mabegani mwake ameyabeba malengo ya Chama na UVCCM. Hili anasema ndilo linalompa ari na hamu ya kuwa mbunifu na kuja na jipya kila uchao. Hili ndilo linaloifanya UVCCM kuendelea kung'aa.

Kenani ni mtu anayeitumia vizuri silaha ya Uwajibikaji. Anaamini uwajibikaji unapaswa kuoneshwa kwa vitendo.Tulipokuwa ziarani Ngorongoro Nililiona hili kwa uzuri zaidi.Tulipotakiwa kwenda kulala,yeye alitutangulia kwa vitendo, tulipotakiwa mazoezini alfajiri tulimkuta uwanjani licha ya kuwa tulichelewa sote kwenda kulala. Kila alichokihubiri na kukisema alikuwa mtekelezaji namba moja, Akiishi na kuwa mbele kwa kila alilolipanga kwenye ratiba tuliyokuwa nayo.

Wakati wa siku hizo tano za ziara neno Nidhamu kutoka kwake nililisikia zaidi ya mara Kumi. Akihamasiaha vijana wenzake kuishi kinidhamu. Ni Mtu ambaye mara zote pia anahamasisha kuhusu Kusudi, mwenye uwezo mkubwa wa kuunganisha watu, mnyenyekevu wa viwango vya juu na anayekataa yeye mwenyewe na wasaidizi wake kujikweza kwa namna yeyote ile. Wakati wa ziara ya Ngorongoro iliyotuhusisha vijana zaidi ya 1200 alikataa makundi, upendeleo na migawanyo ya namna yoyote ile kwa viongozi na wana UVCCM akitaka kila mtu apate anachokipata mwingine kwamaana ya Hadhi, hali na huduma.

Hapa ndipo nilipoikumbuka kauli mbili za Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete ambazo naziona zikizingatiwa vyema na Kenani. Dr Kikwete alipokuwa kwenye onesho la utamaduni Bagamoyo alitamka hadharani kuwa UVCCM ipo kwenye Mikono salama ya Kenani na kumpongeza kwa uhodari wake na rekodi nzuri katika uongozi wake.

Unaikumbuka ile kauli nyingine ya Dr. Kikwete Wakati wa kongamano la miaka 20 ya Kifo cha Mwl.Nyerere? Aliwahi kusema "Dhamana ya Uongozi haikufanyi uwe mtu zaidi ya Raia wengine wowote waliopo,haikufanyi uwe na haki zaidi ya wengine wasiokuwa viongozi.Asiye kiongozi ana wajibu wake wa uongozi kwako na wewe unao wajibu wako kwa uongozi wako.hili ni jambo kubwa kwa viongozi,kutambua kwamba kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi, kujimwambafai hivi wala hakukufanyi uwe kiongozi zaidi"

Enjoy your anniversary bro! Ni maombi yangu kwa Mungu aendelee kukujalia na kukujaza busara, hekima na tabia njema.
 
Attachments

  • IMG-20220623-WA0027.jpg
    IMG-20220623-WA0027.jpg
    63.6 KB · Views: 13

Anajitahidi na kapambana sana kwa ujumla ni mchapa kazi ,Tatizo huwa ni kujisahau na kusahau maisha ya wananchi wakawaida aliowaacha mtaani na kujikita zaida katika kutumikia wakubwa na matakwa yao ,kila siku vijana mkumbuke kuna maisha Baada ya Uongozi .
 
nipe wasifu wa Msaidizi wake
 
Jambazi Ole Sabaya Arusha alikuwa anatumia Gari ya Kihongosi kufanya Matukio yake
 
Back
Top Bottom