Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

Rahajipe

Senior Member
Oct 29, 2012
165
63
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.

SHIME MWAKYEMBE.

:israel:
 
Rahajipe

Really anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!

Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi. Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
Really anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi.Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.

Ndugu yangu labda wengi walishindwa kufanya hivyo kwakuwa wanamiliki daladala na mabasi ya mikoani.
 
Hongera Dr. Harrison
Tunahitaji watu mfano wako wa kuamini kuwa inawezekana na kujitahidi kuonyesha vitendo utekelezaji wa sera ! badala ya malumbano na malalamiko.
 
Salamu kwenu wana jf. Jamani, jamani... Mwenzenu mie nna hamu ya kudandia iyo Treni kwani sijawah kusafiri kwa treni. Kwani inaanza lini??
 
Rahajipe

Really anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!

Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi. Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.

Huyo wa angani ndiye aliyemteua Mwakyembe akafanye hizo kazi. Umelala?
 
Salamu kwenu wana jf. Jamani, jamani... Mwenzenu mie nna hamu ya kudandia iyo Treni kwani sijawah kusafiri kwa treni. Kwani inaanza lini??
...Imeanza leo Loli..ratiba ni kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni (hapa nadhani wanahitaji ku-extend huu muda angalau mpaka saa 4 usiku)
 
Salamu kwenu wana jf. Jamani, jamani... Mwenzenu mie nna hamu ya kudandia iyo Treni kwani sijawah kusafiri kwa treni. Kwani inaanza lini??
 
Ni wajibu wake kama kiongozi kubuni mbinu nzuri za kusolve matatizo kwenye jamii.

We kweli Mgomba!! Viongozi wangapi wameshindwa kubuni mbinu, ikiwa ni pamoja na Mwanaasha? Tumia muda kidogo kufikiri kabla hujachangia! Unajiaibisha.
 
Jambo jema lazima tulisifie na kulikubali, amefanya jambo la maana sana ambalo wengi walidhani haliwezekani kabisa. Lakini pia namshukuru (Wizara nzima) kwa kuweka kiwango kidogo cha nauli tshs 500 ukiachana na ile ya mwanzo ilokuwa imetangazwa (tshs 800). Kazi wanayokuwa nayo kwasasa ni kujaribu kuzuia mianya ya utapeli hasa wa mapato ambao ni hulka ya utendaji katika serikali hii!!!! Hii pia isiwe ni nguvu ya soda kwani tunahitaji pia kusimamia kwa uadilifu ili nguvu hii iendelee. Hata Air Tz naona nayo inakata mawingu!!!!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom