Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

Pongezi ziwaendee CCM damu (Mwakyembe na Magufuli) kwa kutekeleza ilani ya CCM sasa yale maneno tuliyokuwa tunaambiwa kuwa CCM hawafai na wachafu yako wapi?

Magufuli na Mwakyembe wamethibitisha kuwa CCM ni safi na ina watu wasafi na posts nyingi humu ndani ya JF na hasa kutoka CHADEMA kuwaunga mkono zinathibitisha kuwa CCM wanapendwa na wa wana CDM
 
MUNGU anisamehe ila huwa naona kama kuna watu wana matatizo ya akili, kweli mtu una uwezo wa kukaa na kuitaja CCM??? mmh hali mbaya
 
Tatizo hapa hata ule wajibu wa kazi za serikali bado watu huingiza siasa,unadhani hata tungekuwa tunatawaliwa na dikteta au jeshi treni zisingefanya kazi kama wangetaka?Kumbuka kuwa hakuna reli mpya waliyoweka sasa kipi kipya hapo?
Mtu kutekeleza majukumu yake mnaingiza siasa ndio sasa kule mnakosema wasibomoe nyumba kwa waliojenga kwenye hifadhi ya barabara mbona sijaona mtu akipongeza tamko la Rais kuwa CCM inatekeleza ilani yake kwa kupinga sheria zilizowekwa?
 
Pongezi ziwaendee CCM damu (Mwakyembe na Magufuli) kwa kutekeleza ilani ya CCM sasa yale maneno tuliyokuwa tunaambiwa kuwa CCM hawafai na wachafu yako wapi?

Magufuli na Mwakyembe wamethibitisha kuwa CCM ni safi na ina watu wasafi na posts nyingi humu ndani ya JF na hasa kutoka CHADEMA kuwaunga mkono zinathibitisha kuwa CCM wanapendwa na wa wana CDM

Sidhani kama CCM inastahili pongezi kama unavyodai ndugu. Hizo ni pesa za walipa kodi wa Tanzania zimepelekea hayo unayo yaona. Na ni majukum yao kama viongozi kwa wananchi.Acha siasa ktk mambo ya msingi!!!!!
 
Pongezi ziwaendee CCM damu (Mwakyembe na Magufuli) kwa kutekeleza ilani ya CCM sasa yale maneno tuliyokuwa tunaambiwa kuwa CCM hawafai na wachafu yako wapi?

Magufuli na Mwakyembe wamethibitisha kuwa CCM ni safi na ina watu wasafi na posts nyingi humu ndani ya JF na hasa kutoka CHADEMA kuwaunga mkono zinathibitisha kuwa CCM wanapendwa na wa wana CDM

hata jalala likipigwa picha ya rangi huwa lina vutia ingawa, ni uchafu tu
 
Unatema BIBIGII kwa KARANGA za kuonja!!!!!!!!
Pongezi ziwaendee CCM damu (Mwakyembe na Magufuli) kwa kutekeleza ilani ya CCM sasa yale maneno tuliyokuwa tunaambiwa kuwa CCM hawafai na wachafu yako wapi?

Magufuli na Mwakyembe wamethibitisha kuwa CCM ni safi na ina watu wasafi na posts nyingi humu ndani ya JF na hasa kutoka CHADEMA kuwaunga mkono zinathibitisha kuwa CCM wanapendwa na wa wana CDM
 
Angalau wayapake rangi kwa nje maana naona ndani wametengeneza vizuri. Huku nje utafikiri zile treni za India.
 
Disadvantages of Tram
1.Tram infrastructure (such as occupies urban space at ground-level, sometimes to the exclusion of other users.
2.The capital cost is higher than for buses, even though a tramcar usually has a much longer lifetime than a bus.
vijana acheni kucopy na kupaste sio kila unavhokiona ulaya unaweza paste kama kilivyo Africa.
Mwakyembe amesema umaskini jeuri ametumia hardly 6billion iyo train kuanza kazi sasa hayo matram yako unajua ingechukua mda gani?
 
na waandishi wake kweli wamesomea au kama mimi?maana porojo zinakuwa nyingi kuliko hoja za maana

aah wapi thubutu eti nao pia wasome??
Ili upate ajira pale hakuna kupeleka vyeti,hakuna nin
sharti kama ni mwanadada onana na ruge umpe nanilihu kisha akupe kazi
kama mwanakaka siwez kulisema hadharani
thats y masoud kipanya na fina mango waliona mbaali sana
 
Back
Top Bottom