Home Shopping Centre: How do they do business?

Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.

Mnasemaje:

Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?

Je, niwe makini na yepi?

Je, naweza kusevu kiasi gani?

Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
Wenye mitaji midogo tujikwamue na umaskini kupitia hawa jamaa. :happy:
 
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.

Mnasemaje:

Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?

Je, niwe makini na yepi?

Je, naweza kusevu kiasi gani?

Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?

cc
Ocampor four

Hili la kufunga biashara kihiari ina walakini kuelekea 25.10.2015.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ocampor four mimi nimeona katika gazeti la Dailynews la tar 19.oct.2015 eti wanafanya voluntary winding up hawa HSC. Nikawa na maswali mengi. Au hawa ndio ambao Gazeti la Uhuru na wana CCM wanasema ''watu wenye asili ya Asia wamefunga biashara zao kwa kuogopa vurugu za CHADEMA?
 
nadhani waliokuwa wanawatetea hawa jamaa wameupata ukweli wake.
familia iliyokuwa ikulu ilikuwa ya matapeli na walanguzi wa nchi hii.
ndio maana tumerudi nyuma mno kwa miaka hii kumi.
social services zimekuwa under provided kwa kukosa kodi stahiki.
tulikuwa tunaishi kwa mikopo aafu kuna wajinga wanatuambia kuna lolote limefanyika.!!
watu tunakopa hadi mishahara ya kulipa wafanyakazi wa umma??
sasa wanazalisha nini mpaka waendelee kuwa na ajira zao??
 
Anayewateteaq hsc ni wa

kunyonga kabisa

cc Ritz1, Faizafoxy
 
hawawezi kuja hapa leo wala kesho.
nadhani utapeli tuliofanyiwa na udalali wa ndugu yao na wao wenyewe wameona ulikuwa upuuzi
Kuna watu huwa wanatetea kila jambo kisa chama chao kimehusishwa,mwisho wa siku wanaonekana vituko. Nakumbuka ililetwa story ya mdogo wake HSC kuwa consul mdogo China watu wakaongea hapa mpaka basi mwisho wa siku wakaumbuka.
 
aisee ile miaka 10 imeisha kama mchezo. JPM panga safu makini na kesho PM anakuja RUVUMA kukamilisha safu yake akiwa ametulia ili akirud DAR ni kuapisha tu. Msimsahau Kamanda-Kanda Maalumu Mstaafu.
 
2taxevasion-final.jpg
 
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.

Mnasemaje:

Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?

Je, niwe makini na yepi?

Je, naweza kusevu kiasi gani?

Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
.
We lazma utakuwa mkwere

Badala ya kwenda kuuliza Ofisini kwao unaulizia kwenye mitandao ya kijamii

Unaonesha ni mvivu Wa kila kitu unapenda kula na kujigjig .

Hata thamani ya container hujui
 
Akina Ritz na FaizaFoxy naona walikuwa na maslahi serikali iliyopita. Sioni wakimpigania JPM kama walivyofanya enzi zile!!

Nnaona umekosa cha ku comment.

Magufuli anafata sera za CCM, nnakushauri isome ilani ya CCM uchaguzi.
 
Akina Ritz na FaizaFoxy naona walikuwa na maslahi serikali iliyopita. Sioni wakimpigania JPM kama walivyofanya enzi zile!!
Ajira zao zile hazitambuliki tena. Sasa hivi Magufuli hafanyi kazi kwa kutegemea wapambe. Anafanya kazi kwa kufuata kanuni na uwezo wake wa maamuzi magumu..
 
Mkuu wangu fanya kazi acha majungu wewe unapakia CBM 2 au 3 halafu unataka wakuonyeshe karatasi za TRA bei pale zipo wazi bero moja la nguo kutoka China mpaka Tanzania ni dola 300 pamoja ushuru...wewe unataka wakuoneshe nini? Kama una ushahidi wanakwepa kodi wapeleke mahakamani mkuu.
Hivi bado huu upuuzi bado unautetea?
 
Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA.

Mnasemaje:

Niwape dili hawa waarabu wa HSC au nifanyeje?

Je, niwe makini na yepi?

Je, naweza kusevu kiasi gani?

Na Je, huwa HSC wanafanya nini cha ajabu ambacho wengine hawawezi?
Wewe siyo mfanya biashara kama kweli ungelikuwa ni mfanyabiasara basi hayo maswali yako yote ungejiuliza kwa kufanya utafiti kabla ya kuagiza. Kwa sasa kula shubiri tuu kwani haijalishi unamtumia agenti gani. Mzigo ukifika tuu aidha utalipa na ukishindwa basi subiri unadiwe ushindane na wajanja.
 
Back
Top Bottom