Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Magazeti ya upinzani ni yapi?.
Umetoa taarifa wapi: je una uhakika?
Kwa uhakika zaidi njo tra awalipi kodi ukiuliza wanakwambia mali ya mkubwa..
Labda wanaona hawajitolei kama mwenzao SABODOKwa nini hawa waaarabu wanaandamwa sana na wanasiasa na magazeti ya upinzani?
Mjanja bwana SABODO, kaona bora ajifiche kwenye kivuli cha kusaidia upinzania ili akwepe kodi vizuri.Hawa waarabu ni wezi wewe wanatumia mgongo wa kaka yake mwanaasha kutunyanyasa na kukwepa kodi
Magazeti ya upinzani ni yapi?.
Hao hawana uhusiano wowote na Ikulu, ila hao wanacheza dili na yule Mchagga aliyekuwa mkubwa wa TRA. Wameiweka TRA mfukoni.
Una kichwa au tikiti maji?Mjanja bwana SABODO, kaona bora ajifiche kwenye kivuli cha kusaidia upinzania ili akwepe kodi vizuri.
Mbona mnamsakama huyo mwarabu ilhali kuna wakwepa kodi wakubwa ambao wanakwepa kodi kwa kuingiza vitu vyenye thamani kubwa kutumia MGONGO WA KANISA! na TRA ndio maana ikithibitika kutaka kuwekwa mtu mwengine basi wanatafuta hila za kumchafua mtu huyo kama kipindi fulani , tulisikia TRA mkulu alitaka kumbadilisha huyo mkulu wa hapo na yule alietaka kuwekwa ALICHAFULIWA KILA KONA , nani asielijua hilo, nadhani Mgimwa kitu cha kwanza kufanya ni KUMUONDOA HUYO MCHAGA hapo TRA , na awekwe mwengine la sivyo hakuna kitu hapo! na tunamsubiri tuone!
Tena hao inasemekana na wao walikuwa ni mawakala wa kukaguwa magari wa TBS, disaster lililomuangusha waziri wa biashara.
Jamani, mashuka na foronya na ukaguzi wa magari wapi na wapi.
Halafu inasemekana ni watu wa karibu sana na Omar Mapuri.
Juzi waliwaweka wamahara wenzao ndani kwa kuwa tu wana ushindani wa biashara.
Madudu walikwisha fanya ni mengi sana lakini wanakaliwa kimya kwa fedha zao za kuhonga.
Siku za nyuma washampiga mlinzi wao na kumvunja mkono, hakuna aliyechukuliwa hatua. Mdogo wao mmoja kishawekwa ndani kwa kutumia silaha kinyume cha sheria, akatolewa kinyemela. Majumba yao yote ni marefu na hayana lifti (sheria baada ya ghorofa nne yawe na lifti) lakini hakuna mkaguzi anaeweza kusema chochote.
Kwa siku wanatowa kontena zaidi ya 50 bandarini, tena faster.
Inasemekana mpaka kina Tibaigana walikuwa na mshahara wao kwao.
Hao jamaa ni mafia wa hali ya juu.
Inashangaza sana kuona Serikali inanunuliwa kwa thamani ndogo. Hizi njaa za wakubwa zinatupeleka pabaya sana.
Wewe unakunywa maji gani na kutibiwa hospitali gani? au wewe ni mtoto wa Maige nini?Nchi yenye Tanzanite na Gold..........
Lakini wanachi wake ndo hawa!......... wanakula ubuyu as Lunch and dinner.....Inauma sana
Haya ndio maji wanayokunywa........watanzania wanaoongozwa na CCM....
Hapa ndipo wanapotibiwa......Wakina mama zetu, watanzania wenzetu!
Nyie Vichwa tikitimaji better SHUT TF UP!!