Ikulu ilikanusha kuhusu mkuu kuhusika na huyu jamaa!
Ila kwa wenye hekima na busara lile kanusho ni ushahidi tosha kuwa mkuu anahusika na hao jamaa ndo maana imemuuma!
Bse of all the scandals kwa nini aliamua kuijibu hii
Nimefuatilia kwa umakini jinsi boss wa HSC ambavyo anaingiza mizigo bila kulipa kodi. Na imefikia ukitaka kuingiza mzigo na unataka unafuu mtumie huyu jamaa ana kampuni ya clearing and forwarding, unampa yeye pesa mzigo anakuletea bila hata nyaraka moja ya TRA na hakuna hata mmoja wa mabosi wa TRA na TPA ambaye amekuwa tayari kuongelea hii issue. Kwa kweli wana JF pale TRA panatakiwa pachunguzwe vizuri ni sehemu yenye uoza wa kutisha.
Source: Dira ya mtazania ya leo 21/05/2012 na mengine ninayajua mwenyewe kwani na mimi ni mdau wa utoaji mizigo bandarini
Umetoa taarifa wapi: je una uhakika?
kaka kama unataka kujua
habari za huyu jamaa nenda kwa mtu yeyote anayeagiza mizigo kutoka nje
nje ya nchi atakuambia habarai za huyu jamaa ni habari amabzo haziitaji
kuwa msomi kujua
uhusiano na ikulu wanao kupitia Riz1 na aliyekuwa CS Luhanjo..hawa jamaa wako kila sekta muhimu ya serikali, bunge, polisi n.k wanavibaraka wengi tu wanaofanya kazi zao, mfano mawaziri ni Sophia Simba, Mustafa mkulo, Abbas Mtemvu, Zungu, Idd Azzan na wengine wengi ukitaka kujua siri za waheshimiwa hawa kawaulize wafanyakazi wa maduka yao ambako wanaenda kuchukua vitu bure watakavyo..kuna kipindi gazeti la raia mwema liliandika kuhusiana na ukwepaji wao kodi na mtandao ambao walikuwa nao kuanzia Tiscan, TRA, bandari na Polisi lkn hakuna kilichofanyika zaidi ya kusimamishwa kazi naibu kamishna wa customs Bateyunga ambaye baadae alirudishwa kazini lakini jamaa hawakuchukuliwa hatua yoyote, vijana wa takukuru walipojaribu kuinglia kati kuchunguza hizi tuhuma wakasimamishwa na Hosea tena kwa mkwara mkubwa.....
ama kuhusu TRA kuiweka TRA mfukoni ni kweli, jamaa hawa kwanza wameshikilia biashara ya clearing and forwarding kwa asilimia 90,wafanyabiashara majority wanapeleka documents kwao sababu ya uhakika wa kulipia mizigo yao ushuru mdogo na uhakika wa usalama wa mizigo yao kwani hiyo mizigo hata waki-underclare/underinvoice jamaa wa fast team hawaikamati hiyo mzigo barabarani.......more 2 follow...who are they dealing with at customs service centre and how much they pay 4 each document....
Unaweza hebu nipm nikuelekeze.na mm nikitaka kusafirisha bidhaa kwenda nje naweza kuwatumia hao hsc?
ofisi yao iko wapi
nikaombe kazi/ajira maana mi ni mpiga debe/salesboy mzuri sana tu sema
ndio nmekwama kujikwamua bila kupitia misaada ya wenye mitaji.please
jaman napenda kuwafanyia kazi nzuri hawa watu wananifurahisha sana
wanavyopiga Kazi
Unaweza hebu nipm nikuelekeze.