Je, mizigo midogo ya personal shopping inapaswa kuwa cleared na agent?

muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
347
252
Wapendwa wanajamvi salaam sana kwenu,
Hapo mwanzo mwaka 2017 visenti vyangu viliniwasha tena nikiwa na curiosity ya kutosha nkaona haina noma, let's do it. Nilinunua vidubwasha vidogo kutoka China na USA, kipindi hicho bado hawa wenzuetu wanaosoma nje hawajaanza kutusaidia kiivo na this kind of shopping, Basi nkapita Walmart USA, kulikuwa na special sale ya electronics nkajivutia USB ya 64Gb zile 3.0 (kipindi hicho ndio zilikuwa zinaingia), nkavuta selfie stick ya bluetooth pale eBay, nkanunua tablet ya Asus hapo pia (it was crazily cheap by then ilkuwa $70+ $5 shipping to Florida), nkaingia eBay kwenye auction napo nkavuta PC ambayo hadi leo naitumia, ila kwa vile nlinunua kwenye mnada bei yake ilkuwa ndogo na high quality sana tu nlchukua kwa $102.5 (kwa bei za leo hata 250k TZS haiishi hapo), nkanunua camera lens na dubwasha zingine nyingi tu.

Nliwatumia my US kupata US address ambayo mizigo yangu yote nlielekeza kwao. Baada ya hapo tukaship via Fedex hadi Tz, sasa hapo ndio story inaanzia. By then nliona hii ni fursa maana hapo nlkuwa npo chuo na nlkuwa na pesa mingi tu so nkaona naweza nanunua dubwasha kama hizi kutoka Ulaya na Marekani nakuuza huku Tz maana kule suala la quality ni more guranteed tofauti na ukichukulia China (Ukiwa China you should be very smart maana mchina ana bidhaa kwa ajili ya kila daraja).

Kwa wakati ule nlifanya haya kwa lengo la kupata the feeling ya shopping online tena masoko ya Ulaya. Nijue how long deliveries zinakuwa, vipi clearance ya mzigo, masuala ya kodi kama yapo nk. Sasa to my suprise mzigo wote ulkuwa na cost around $200-$250 (ckumbuki vizuri ila haikufika $300). KIla kitu nlkuwa na note down kwenye Excel ila kwa bahati kuna mtu messed with my files so nadhani the doc is lost.

Basi mzigo kufika bongo, my US walifanya makosa ila waliniomba msamaha so nkawaelewa tu. Kosa lao kwenye mzigo wangu nlinunua pamoja na RAM ya PC (4GB DDR3), sasa hio RAM waliipoteza, so the moment na ship mzigo uje Tanzania wanasema RAM hawaioni so niwape 4 days waitafute wakikosa wata refund. Sikuwa na uvumilivu wa kusubiri that much, nkaona I will ship the rest bila hio RAM, nkiamini kuwa si rahisi kuipata so ntachukua tu hela yangu nikaushe. (my US kazi yao ni kukupa address ya Marekani uweze fanya shopping online maana most of the sellers wanatuma US ila not directly to Tanzania, pia wanafanya consolidation ya mzigo wako kama umenunua vitu vingi na ungependa viwekwe na kutumwa pamoja kupunguza shipping costs)

So kilichofuata nlilipa shipping mara mbili, kwa maana mzigo wa kwanza ulikuja bila RAM na wapili ulikuwa ndio wa hio RAM (sikuweza iacha maana nliihitaji kwa PC yangu). Kibiashara gharama hazikuwa kubwa sana, maana iliongezeka extra $15 ambayo haikuwa kesi. Sasa kufika Tz mzigo mmoja ule mkubwa sikupata taarifa kwa wakati kama umefika so nkaja kuutoa baada ya mwezi na hivyo nkalipa storage costs Swissport.

Huo mzigo uliochelewa ndio ulionipagawisha, maana kwanza ulikuwa ni mkubwa (about 4.5kgs) na pia ulikuwa na vifaa vyenye Lithium battery so una taratibu zake tofauti (ulikuwa na Laptop pamoja na tablet pia). Sasa kufika kwenye clearance navokumbuka gharama zilishoot hadi kufikia nadhani 1 million TZS kama sio 900k uko (nakosa excel doc ndio maana nasema kile nachokumbuka). By then nliona ni bora niususe huo mzigo maana naona hasara yake ni kubwa.

Gharama zake zilkuwa kwanza kuna doc ambayo ilibidi nkaichukue Fedex kipindi hicho wana ofisi Mikocheni karibu na Rose Garden (tawi hili nasikia limefungwa kwa sasa) ambayo ilikuwa ina cost 50,000 nadhani hii document inaitwa 'quotation'. Ilikuwa ina list Air-wing Bill (AWB) ya mzigo, so nkienda Swissport nikiwa na agent naweza kuclear mzigo wangu. Nlishauriwa kuwa hio ndio cheap na customer service wa Fedex au ningeweza kutulia na kuwaachia Fedex wafanya clearance via NETA Logistics (walikuwa partners by then) lakini hii njia ningelipa gharama kubwa zaidi so sikutaka kuitumia.

Nlipita hapa JF tena, nkiomba msaada wa kupata agent maana sikuwa namjua mtu mwenye kuweza kunisaidia (ukirejea post za nyuma utaona). Nashukuru nlipata mtu na nkazungumza nae kwa upana na pia nikamwambia let's work in a cost effective way maana mimi ni mfanyabiashara (japo nlikuwa nasoma by then) so mizigo yangu yote inayofuata yeye ndio ange clear. Huyu jamaa alinipa bei 120,000/= baada ya kulialia akaniambia nimpe 100,000 maana yeye ana clear kama agent binafsi na si kampuni hivyo kuna pesa ambayo atabidi eti aipe kampuni yake aliojiriwa kwa maana atatumia sijui address yao. Sikuwa mzoefu, na mambo hayo iia honestly nlihisi napigwa, ila sikumchomolea hela hio tukakubaliana kuwa nitalipa once we're done.

Sasa to my suprise sasa, kila mzigo wangu na thamani based na ile quotation inayoonesha nimenunua bei gani nikawa taxed 18% VAT kwa kila kitu. Yaani hata selfie stick ya $4 thamani katika TZS ikatafutwa na nkapewa bill yangu. Wanajamvi je hii iko sawa? Hatukuishia hapo nkatoa TIN yangu ya leseni ya udereva kipindi hicho kama miezi kadhaa hivi kila mwenye TIN hata ya udereva alitakiwa aende TRA kubadili TIN yake ili iwe TIN namba moja kwa kila kitu kama siokosei (zoezi hili lilifanyika mwishoni mwa mwaka kama mnakumbuka vizuri.)

Nlivotoa TIN namba yangu nlipata message kwenye simu yangu kuwa hela ile nliotoa kwa ajili ya kodi kuwa imelipwa TRA na ivo nimepewa kama proof. Tukaendelea na agent wangu na kazi yetu, naomba niwe mkweli alifanya kazi nzuri nami na nashukuru ila kilichonishtua mimi ni je gharama ndio kubwa kiasi hiki, na je utaratibu wa kodi ndio huo wa Tanzania. Haya turudi tulimaliza vipi, mwisho tukalipa kama 30,000/= Swissport kwa ajili ya storage charges maana mzigo ulizidi muda wa clearance (rejea juu nlipitisha kama mwezi 1). Nlimlipa agent kama tulivokubaliana, nkachukua mzigo wangu tukapeana na namba, na at times huwa tunawasiliana.

From hii experience ilibidi ni give up kwa muda hii issue kwa sababu ya gharama, sikuacha kabisa kabisa nliendelea kujifunza japo sikuleta mzigo mwingine Tanzania. Nlijikita na issue zingine kama Amazon FBA huko Marekani. Turudi kwenye point katika kujifunza kwangu pia kwa wafanyabiashara wenzangu, mfano kuna rafiki yangu anasoma China na huleta mzigo hapa Tz na kuupeleka Zanzibar badala ya Tazania bara na clearance yote hufanyika kule na agent wake wa kule na show nzima ni very cheap. Japo biashara ni siri, ila kuna vitu hata ukisema haviathiri biashara yako kama tunavofikiri so sometimes ni muhimu kupeana taarifa, watu waone fursa tupige hela na raise our standards of living. So kwa kufanya hivo via Zanzibar, jamaa amekuwa quite competitve na huweza kutoa hata discountd kubwa na kuendesha Mega Sales Campaigns. Mzigo hutokea Zanzibar kwa Azam Marine na huja DSM kama kesho yake, na watu huanza kupiga pesa.

Sasa wanajamvi nisiwachose kwa maelezo mengi ya blah blah, nlitaka mpate picha ya experience yangu ili hata ushauri wenu uwe na mashiko na kuwa na relevance ya kutosha na pia vijana wenzangu waone fursa kama mie so wote tupambanie kombe na kila mtu ashike chake. Je tunaweza vipi kupunguza gharama za Clearance, Shipping pamoja na kodi kihalali ili tuweze kuendelea na biashara yetu hii. Kwa mfano moja ya gharama zangu kubwa nadhani zilitokana na kutuma mzigo wa Lithium battery kwa ndege na pia mzigo ulikuwa mzito so more costs. Ila kwa mawazo yangu, kutuma mzigo wa 4.5kg via meli, ni mzigo mdogo sana na hivyo una risk kubwa ya kupotea, so hapa tunaweza kufanyaje?

Kutokana na gharama hizi nliogopa hata kununua vitabu online maana nlikuwa nawaza tu assume ninunue kitabu labda chauzwa $27 hapo Amazon then nije Tz napo nkilipie kodi, halafu nitoke hapo nlipie quotation halafu nifanye clearance kupitia agent napo. (sidhani kama hili linawezekana) Ila its quite ridiculous naona ni uzuzu wa hali ya juu ambao ni sawa na kuamua kutupa hela maana thamani ya kitabu ni $27 (nadhani about 60,000TZS) halafu kodi pamoja na gharama zifikie 100,000/= kwa mfano.

Tukija kwenye mfano halisi now nataka ninunue OnePlus 7 Pro ya 12GB RAM na 256 GB storage kutoka Amazon India, ukijumuisha na dubwasha zote yaani screen protector pamoja na case ina cost around 2.1 millions TZS. Sasa je na hii simu, ifike Tz nkalipie quotation Fedex mfano au courrier service yoyote. KIsha napo nitafute agent nimlipe 100k-150k kisha napo niilipie na kodi yaani 18% VAT, yaani naona haiji kabisa akilini. Maana cost naona zapanda for no any reason ya maana. Sasa wanajamvi hii tunaichakataje, tuunaipelekaje kihalali. Sipingi kulipa kodi ila napenda kuwa cost-effective, tusitupe hela ovyo ovyo kama kuna njia mbadala. Naomba kuwasilisha kwenu wanajamvi, natanguliza shukrani. Karibuni pia PM tuyajenge.
 
Mzigo hutokea Zanzibar kwa Azam Marine na huja DSM kama kesho yake, na watu huanza kupiga pesa.
Hili ndio kosa, kuna hatari ya kutakiwa mzigo ulipiwe tena kodi, hii wengi imewatokea, fuatilia hapa JF utaona shuhuda.

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...-makini-kodi-yake-si-ya-kitoto.1535993/page-5
Je tunaweza vipi kupunguza gharama za Clearance, Shipping pamoja na kodi kihalali ili tuweze kuendelea na biashara yetu hii.
Kama una mtu zanziba fanya hivi.
#1. - Nunua mzigo utumwe na upokelewe zanzibar, Gharama za clearance ziko chini.
#2. - Kutoka zanzibar tuma mzigo kuja Bara kwa EMS gharama za EMS itatokana na uzio wa mzigo husika,
Utapokea mzigo wako bila tozo la ziada.
 
Mkuu nakukubali hadi kesho, tangu enzi za P.D Proxy, asante sana na nitafutilia.
 
Hili ndio kosa, kuna hatari ya kutakiwa mzigo ulipiwe tena kodi, hii wengi imewatokea, fuatilia hapa JF utaona shuhuda.

Kama una mtu zanziba fanya hivi.
#1. - Nunua mzigo utumwe na upokelewe zanzibar, Gharama za clearance ziko chini.
#2. - Kutoka zanzibar tuma mzigo kuja Bara kwa EMS gharama za EMS itatokana na uzio wa mzigo husika,
Utapokea mzigo wako bila tozo la ziada.
Nimequote badala ya reply kwa kupagawa baada ya kupata surest solution hahahahaha. Nashukuru sana mkuu, thumbs up.
 
Wapendwa wanajamvi salaam sana kwenu,
Hapo mwanzo mwaka 2017 visenti vyangu viliniwasha tena nikiwa na curiosity ya kutosha nkaona haina noma, let's do it. Nilinunua vidubwasha vidogo kutoka China na USA, kipindi hicho bado hawa wenzuetu wanaosoma nje hawajaanza kutusaidia kiivo na this kind of shopping, Basi nkapita Walmart USA, kulikuwa na special sale ya electronics nkajivutia USB ya 64Gb zile 3.0 (kipindi hicho ndio zilikuwa zinaingia), nkavuta selfie stick ya bluetooth pale eBay, nkanunua tablet ya Asus hapo pia (it was crazily cheap by then ilkuwa $70+ $5 shipping to Florida), nkaingia eBay kwenye auction napo nkavuta PC ambayo hadi leo naitumia, ila kwa vile nlinunua kwenye mnada bei yake ilkuwa ndogo na high quality sana tu nlchukua kwa $102.5 (kwa bei za leo hata 250k TZS haiishi hapo), nkanunua camera lens na dubwasha zingine nyingi tu.

Nliwatumia my US kupata US address ambayo mizigo yangu yote nlielekeza kwao. Baada ya hapo tukaship via Fedex hadi Tz, sasa hapo ndio story inaanzia. By then nliona hii ni fursa maana hapo nlkuwa npo chuo na nlkuwa na pesa mingi tu so nkaona naweza nanunua dubwasha kama hizi kutoka Ulaya na Marekani nakuuza huku Tz maana kule suala la quality ni more guranteed tofauti na ukichukulia China (Ukiwa China you should be very smart maana mchina ana bidhaa kwa ajili ya kila daraja).

Kwa wakati ule nlifanya haya kwa lengo la kupata the feeling ya shopping online tena masoko ya Ulaya. Nijue how long deliveries zinakuwa, vipi clearance ya mzigo, masuala ya kodi kama yapo nk. Sasa to my suprise mzigo wote ulkuwa na cost around $200-$250 (ckumbuki vizuri ila haikufika $300). KIla kitu nlkuwa na note down kwenye Excel ila kwa bahati kuna mtu messed with my files so nadhani the doc is lost.

Basi mzigo kufika bongo, my US walifanya makosa ila waliniomba msamaha so nkawaelewa tu. Kosa lao kwenye mzigo wangu nlinunua pamoja na RAM ya PC (4GB DDR3), sasa hio RAM waliipoteza, so the moment na ship mzigo uje Tanzania wanasema RAM hawaioni so niwape 4 days waitafute wakikosa wata refund. Sikuwa na uvumilivu wa kusubiri that much, nkaona I will ship the rest bila hio RAM, nkiamini kuwa si rahisi kuipata so ntachukua tu hela yangu nikaushe. (my US kazi yao ni kukupa address ya Marekani uweze fanya shopping online maana most of the sellers wanatuma US ila not directly to Tanzania, pia wanafanya consolidation ya mzigo wako kama umenunua vitu vingi na ungependa viwekwe na kutumwa pamoja kupunguza shipping costs)

So kilichofuata nlilipa shipping mara mbili, kwa maana mzigo wa kwanza ulikuja bila RAM na wapili ulikuwa ndio wa hio RAM (sikuweza iacha maana nliihitaji kwa PC yangu). Kibiashara gharama hazikuwa kubwa sana, maana iliongezeka extra $15 ambayo haikuwa kesi. Sasa kufika Tz mzigo mmoja ule mkubwa sikupata taarifa kwa wakati kama umefika so nkaja kuutoa baada ya mwezi na hivyo nkalipa storage costs Swissport.

Huo mzigo uliochelewa ndio ulionipagawisha, maana kwanza ulikuwa ni mkubwa (about 4.5kgs) na pia ulikuwa na vifaa vyenye Lithium battery so una taratibu zake tofauti (ulikuwa na Laptop pamoja na tablet pia). Sasa kufika kwenye clearance navokumbuka gharama zilishoot hadi kufikia nadhani 1 million TZS kama sio 900k uko (nakosa excel doc ndio maana nasema kile nachokumbuka). By then nliona ni bora niususe huo mzigo maana naona hasara yake ni kubwa.

Gharama zake zilkuwa kwanza kuna doc ambayo ilibidi nkaichukue Fedex kipindi hicho wana ofisi Mikocheni karibu na Rose Garden (tawi hili nasikia limefungwa kwa sasa) ambayo ilikuwa ina cost 50,000 nadhani hii document inaitwa 'quotation'. Ilikuwa ina list Air-wing Bill (AWB) ya mzigo, so nkienda Swissport nikiwa na agent naweza kuclear mzigo wangu. Nlishauriwa kuwa hio ndio cheap na customer service wa Fedex au ningeweza kutulia na kuwaachia Fedex wafanya clearance via NETA Logistics (walikuwa partners by then) lakini hii njia ningelipa gharama kubwa zaidi so sikutaka kuitumia.

Nlipita hapa JF tena, nkiomba msaada wa kupata agent maana sikuwa namjua mtu mwenye kuweza kunisaidia (ukirejea post za nyuma utaona). Nashukuru nlipata mtu na nkazungumza nae kwa upana na pia nikamwambia let's work in a cost effective way maana mimi ni mfanyabiashara (japo nlikuwa nasoma by then) so mizigo yangu yote inayofuata yeye ndio ange clear. Huyu jamaa alinipa bei 120,000/= baada ya kulialia akaniambia nimpe 100,000 maana yeye ana clear kama agent binafsi na si kampuni hivyo kuna pesa ambayo atabidi eti aipe kampuni yake aliojiriwa kwa maana atatumia sijui address yao. Sikuwa mzoefu, na mambo hayo iia honestly nlihisi napigwa, ila sikumchomolea hela hio tukakubaliana kuwa nitalipa once we're done.

Sasa to my suprise sasa, kila mzigo wangu na thamani based na ile quotation inayoonesha nimenunua bei gani nikawa taxed 18% VAT kwa kila kitu. Yaani hata selfie stick ya $4 thamani katika TZS ikatafutwa na nkapewa bill yangu. Wanajamvi je hii iko sawa? Hatukuishia hapo nkatoa TIN yangu ya leseni ya udereva kipindi hicho kama miezi kadhaa hivi kila mwenye TIN hata ya udereva alitakiwa aende TRA kubadili TIN yake ili iwe TIN namba moja kwa kila kitu kama siokosei (zoezi hili lilifanyika mwishoni mwa mwaka kama mnakumbuka vizuri.)

Nlivotoa TIN namba yangu nlipata message kwenye simu yangu kuwa hela ile nliotoa kwa ajili ya kodi kuwa imelipwa TRA na ivo nimepewa kama proof. Tukaendelea na agent wangu na kazi yetu, naomba niwe mkweli alifanya kazi nzuri nami na nashukuru ila kilichonishtua mimi ni je gharama ndio kubwa kiasi hiki, na je utaratibu wa kodi ndio huo wa Tanzania. Haya turudi tulimaliza vipi, mwisho tukalipa kama 30,000/= Swissport kwa ajili ya storage charges maana mzigo ulizidi muda wa clearance (rejea juu nlipitisha kama mwezi 1). Nlimlipa agent kama tulivokubaliana, nkachukua mzigo wangu tukapeana na namba, na at times huwa tunawasiliana.

From hii experience ilibidi ni give up kwa muda hii issue kwa sababu ya gharama, sikuacha kabisa kabisa nliendelea kujifunza japo sikuleta mzigo mwingine Tanzania. Nlijikita na issue zingine kama Amazon FBA huko Marekani. Turudi kwenye point katika kujifunza kwangu pia kwa wafanyabiashara wenzangu, mfano kuna rafiki yangu anasoma China na huleta mzigo hapa Tz na kuupeleka Zanzibar badala ya Tazania bara na clearance yote hufanyika kule na agent wake wa kule na show nzima ni very cheap. Japo biashara ni siri, ila kuna vitu hata ukisema haviathiri biashara yako kama tunavofikiri so sometimes ni muhimu kupeana taarifa, watu waone fursa tupige hela na raise our standards of living. So kwa kufanya hivo via Zanzibar, jamaa amekuwa quite competitve na huweza kutoa hata discountd kubwa na kuendesha Mega Sales Campaigns. Mzigo hutokea Zanzibar kwa Azam Marine na huja DSM kama kesho yake, na watu huanza kupiga pesa.

Sasa wanajamvi nisiwachose kwa maelezo mengi ya blah blah, nlitaka mpate picha ya experience yangu ili hata ushauri wenu uwe na mashiko na kuwa na relevance ya kutosha na pia vijana wenzangu waone fursa kama mie so wote tupambanie kombe na kila mtu ashike chake. Je tunaweza vipi kupunguza gharama za Clearance, Shipping pamoja na kodi kihalali ili tuweze kuendelea na biashara yetu hii. Kwa mfano moja ya gharama zangu kubwa nadhani zilitokana na kutuma mzigo wa Lithium battery kwa ndege na pia mzigo ulikuwa mzito so more costs. Ila kwa mawazo yangu, kutuma mzigo wa 4.5kg via meli, ni mzigo mdogo sana na hivyo una risk kubwa ya kupotea, so hapa tunaweza kufanyaje?

Kutokana na gharama hizi nliogopa hata kununua vitabu online maana nlikuwa nawaza tu assume ninunue kitabu labda chauzwa $27 hapo Amazon then nije Tz napo nkilipie kodi, halafu nitoke hapo nlipie quotation halafu nifanye clearance kupitia agent napo. (sidhani kama hili linawezekana) Ila its quite ridiculous naona ni uzuzu wa hali ya juu ambao ni sawa na kuamua kutupa hela maana thamani ya kitabu ni $27 (nadhani about 60,000TZS) halafu kodi pamoja na gharama zifikie 100,000/= kwa mfano.

Tukija kwenye mfano halisi now nataka ninunue OnePlus 7 Pro ya 12GB RAM na 256 GB storage kutoka Amazon India, ukijumuisha na dubwasha zote yaani screen protector pamoja na case ina cost around 2.1 millions TZS. Sasa je na hii simu, ifike Tz nkalipie quotation Fedex mfano au courrier service yoyote. KIsha napo nitafute agent nimlipe 100k-150k kisha napo niilipie na kodi yaani 18% VAT, yaani naona haiji kabisa akilini. Maana cost naona zapanda for no any reason ya maana. Sasa wanajamvi hii tunaichakataje, tuunaipelekaje kihalali. Sipingi kulipa kodi ila napenda kuwa cost-effective, tusitupe hela ovyo ovyo kama kuna njia mbadala. Naomba kuwasilisha kwenu wanajamvi, natanguliza shukrani. Karibuni pia PM tuyajenge.
Jibu la mwalimu RCT liko vzuri sana
 
Back
Top Bottom