Home Shopping Centre: How do they do business?

sidhani kama biashara yao ina-uhusiano wowote na ikulu; isipokuwa hawa vijana (hsc) wamejipanga vizuri sana, tena sana..wametumia udhaifu uliopo ndani ya Mamlaka ya Mapato (kimfumo na kiutendaji) na kisha kujijengea mianya ya kuingiza mizigo yao nchini pasipo kusumbuliwa na mamlaka husika. Sio kweli kwamba hawalipi ushuru, lakini nafikri ushuru wanaolipia utakuwa umechakachuliwa. Kumbuka, sote nchini tunakwepa sana kulipa ushuru..mara ngapi m2 unanunua bidhaa dukani na kudai risiti yako? (na kwa nini mteja udai risiti? kisheria, chenji inatakiwa irudishwe na risiti..sasa inakuwaje unapokea chenji na kujiondokea bila risiti???) je huoni kwamba kwa njia moja au nyingine umechangia kulikosesha taifa/ mamlaka ya mapato ushuru?? kikubwa na cha msingi ni kuziba mianya ya ukwepaji kodi, japo sio rahisi kuiziba yote completely!
 
Labda wameshapata nyepesi kuwa mkuu anataka kufanya mabadiliko hapo TRA wameanza majungu ili akifanya hivyo, basi ionekane kuwa chuki binafsi. Tmuombee Mkuu kila la heri afanye mabadiliko pale TRA bila kuogopa hayo majungu. TRA hakika kumeoza wala siyo lingine na njia pekee ni mabadiliko tu pale.

Umeona eenh! kwa kifupi TRA isafishwe! maana mtu anafanyakazi miaka 2 tu unaambiwa ana SCANIA 8 heh! jamani! tena huyo ni fresh from school, ameajiriwa na TRA baada ya miaka 2 anamiliki SCANIA nane, ana nyumba tatu duh! unajiuliza wapi mtu huyu anapata pesa hii, sasa swali jingine kubwa unajiuliza kama huyu fresh from school hivi je hao wa juu yake ! Jamani HATUZIKWI NAZO HIZI PESA ! tunalipa kodi kwa maendeleo ya taifa na si vinginevo!
 
Mjanja bwana SABODO, kaona bora ajifiche kwenye kivuli cha kusaidia upinzania ili akwepe kodi vizuri.

Sabodo angekuwa anakwepa kodi CCM wangesha mfilisi siku nyingi kama mzee wa TIOT utasikia umekwepa VAT mara umekwepa Import Duty mara umekwepa uchakavu na upya hawa TRA waone tu wanavyo nenepeana wakiamua kukukomoa huchomoki wallah.
 
sidhani kama biashara yao ina-uhusiano wowote na ikulu; isipokuwa hawa vijana (hsc) wamejipanga vizuri sana, tena sana..wametumia udhaifu uliopo ndani ya Mamlaka ya Mapato (kimfumo na kiutendaji) na kisha kujijengea mianya ya kuingiza mizigo yao nchini pasipo kusumbuliwa na mamlaka husika. Sio kweli kwamba hawalipi ushuru, lakini nafikri ushuru wanaolipia utakuwa umechakachuliwa. Kumbuka, sote nchini tunakwepa sana kulipa ushuru..mara ngapi m2 unanunua bidhaa dukani na kudai risiti yako? (na kwa nini mteja udai risiti? kisheria, chenji inatakiwa irudishwe na risiti..sasa inakuwaje unapokea chenji na kujiondokea bila risiti???) je huoni kwamba kwa njia moja au nyingine umechangia kulikosesha taifa/ mamlaka ya mapato ushuru?? kikubwa na cha msingi ni kuziba mianya ya ukwepaji kodi, japo sio rahisi kuiziba yote completely!

Kazi kunyooshea vidole wenzetu tu kumbe na sisi vifisadi vidogo vidogo tuko wengi tu.
 
Tena hao inasemekana na wao walikuwa ni mawakala wa kukaguwa magari wa TBS, disaster lililomuangusha waziri wa biashara.

Jamani, mashuka na foronya na ukaguzi wa magari wapi na wapi.

Halafu inasemekana ni watu wa karibu sana na Omar Mapuri.

Juzi waliwaweka wamahara wenzao ndani kwa kuwa tu wana ushindani wa biashara.

Madudu walikwisha fanya ni mengi sana lakini wanakaliwa kimya kwa fedha zao za kuhonga.

Siku za nyuma washampiga mlinzi wao na kumvunja mkono, hakuna aliyechukuliwa hatua. Mdogo wao mmoja kishawekwa ndani kwa kutumia silaha kinyume cha sheria, akatolewa kinyemela. Majumba yao yote ni marefu na hayana lifti (sheria baada ya ghorofa nne yawe na lifti) lakini hakuna mkaguzi anaeweza kusema chochote.

Kwa siku wanatowa kontena zaidi ya 50 bandarini, tena faster.

Inasemekana mpaka kina Tibaigana walikuwa na mshahara wao kwao.

Hao jamaa ni mafia wa hali ya juu.

Inashangaza sana kuona Serikali inanunuliwa kwa thamani ndogo. Hizi njaa za wakubwa zinatupeleka pabaya sana.

Siamini kama maneo haya yanaandikwa na weye! I reserve my comments for now

Kazi kunyooshea vidole wenzetu tu kumbe na sisi vifisadi vidogo vidogo tuko wengi tu.
Ndo maana yake. Yapaswa tuondoe magogo katika macho yetu kabla hatujaona vibanzi machoni kwa wenzetu
 
Nchi yenye Tanzanite na Gold..........
67499_135467826503694_100001214312304_195469_627945_n.jpg
Z

Lakini wanachi wake ndo hawa!......... wanakula ubuyu as Lunch and dinner.....Inauma sana

Copy-2-of-Mr.-Simango-holding-baobab-shell-600x402.jpg

Haya ndio maji wanayokunywa........watanzania wanaoongozwa na CCM....
58507_1453551411695_1020591426_31042329_6483137_n.jpg

Hapa ndipo wanapotibiwa......Wakina mama zetu, watanzania wenzetu!

2.jpg

Nyie Vichwa tikitimaji better SHUT TF UP!!

Tatizo ni kuwa kuna watu wanafaikiri hivyo vitu havina uhusiano na maisha yao ya kila siku !
 
Ama kweli hii , kali kuna jamaa anachangia humu JF anasema ukitaka uamini njoo TRa, anaonesha ni jinsi gani alivyo fisadi alyekubuhu yaani anaamua kujiweka wazi kuwa yeye ndo chanzo cha maovu yote. kwa jinsi hii kweli tutamfunga kengele mnyama aliye husika.

uhusiano na ikulu wanao kupitia Riz1 na aliyekuwa CS Luhanjo..hawa jamaa wako kila sekta muhimu ya serikali, bunge, polisi n.k wanavibaraka wengi tu wanaofanya kazi zao, mfano mawaziri ni Sophia Simba, Mustafa mkulo, Abbas Mtemvu, Zungu, Idd Azzan na wengine wengi ukitaka kujua siri za waheshimiwa hawa kawaulize wafanyakazi wa maduka yao ambako wanaenda kuchukua vitu bure watakavyo..kuna kipindi gazeti la raia mwema liliandika kuhusiana na ukwepaji wao kodi na mtandao ambao walikuwa nao kuanzia Tiscan, TRA, bandari na Polisi lkn hakuna kilichofanyika zaidi ya kusimamishwa kazi naibu kamishna wa customs Bateyunga ambaye baadae alirudishwa kazini lakini jamaa hawakuchukuliwa hatua yoyote, vijana wa takukuru walipojaribu kuinglia kati kuchunguza hizi tuhuma wakasimamishwa na Hosea tena kwa mkwara mkubwa.....
ama kuhusu TRA kuiweka TRA mfukoni ni kweli, jamaa hawa kwanza wameshikilia biashara ya clearing and forwarding kwa asilimia 90,wafanyabiashara majority wanapeleka documents kwao sababu ya uhakika wa kulipia mizigo yao ushuru mdogo na uhakika wa usalama wa mizigo yao kwani hiyo mizigo hata waki-underclare/underinvoice jamaa wa fast team hawaikamati hiyo mzigo barabarani.......more 2 follow...who are they dealing with at customs service centre and how much they pay 4 each document....
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mjanja bwana sabodo, kaona bora ajifiche kwenye kivuli cha kusaidia upinzania ili akwepe kodi vizuri.

sio kwamba anakwepa kodi ni mlipaji nzuri wa kodi ndo maana hana wasiwasi na analolifanya. Kama ww haulipi kodi jaribu kusaidia upinzani uone mwisho wako. Huyu mzee amesoma alama za nyakati.
 
Rushwa oyee!
Wizi wa mali za umma oyeee!
Umasikini oyeee!
Huduma mbovu za jamii oyeee!

Mungu ibariki Tanzania
Wabariki viongozi wote!
Wabariki wala rushwa!
Wabariki wezi wa mali za umma!

Waongezee umasikini masikini wa nchi hii!
Waongezee upofu wa kutowaona wanaoihujumu nchi hii

Aamin!
 
Mkuu ungekuwa TRA kweli ungekuwa na muda wa kuongelea upuuzi huu? au ndo wale wale mliokamatwa mkono kwenda kupata ajira huko? Hivi kweli akili ya kawaida tu unategemea Rais aseme fulani usilipe kodi? duh, ama kweli tumekosa la kuchangia humu Jf.

Hivi mkubwa unaishi Tanzania hii au umehamia?
 
Mbona naona kama hili zengwe ni la kutaka kumtetea bsi TRA? Madudu yote hayo yasingetokea kama angefanyakazi ipasavyo, inabidi naye awafuate akina Mkulo na Ngeleja.

Boss wa TRA ndio wa kwanza kwa ufisadi. Yeye na wafuasi wake wachunguzwe kama wana mali zaidi ya kipato chao, wao na wajomba na wapwa zao, basi zote zirudishwe.
 
Saidi Mahonda, ndio kinara wa HSC. Huyu kijana wa kimahara, ana passport ya Tanzania, Yemen, Saudi Arabia na kuna wakati alishakaa Yemen, Saidi Arabia na USA. (ana uraia wa Saidi Arabia amma kwa jina hilo hilo la Saidi au kwa jina lingine).

Huyu kijana na ndugu zake, wamezaliwa na baba wa Kimahara aliyekuwa anaishi Tunduru na mama wa kutokea Tanga.

Asili yao ni watu wa kawaida, nikimaanisha kuwa ni ukoo ambao haukuwa na utajiri.

Ghafla tu, Saidi na nduguze wametajirika kwa kiasi kikubwa sana, kiasi ambacho wameweza kumuajiri Ahmed Shariff aliyekuwa mmoja kati ya watu wakubwa sana katika Bank of Tanzania.

Mali zote wamezipataje? inasemekana kuwa wameshauza dawa za kulevya, wamesha funguwa makampuni mengi sana kupitia mgongo wa TIC kwa majina tofauti, wamesha muajiri aliyekuwa Miss Tanzania wa Kihindi kama receptionist wao.

Wamesha wahi kuchunguzwa na hawakukutwa na hatia yoyote? Saidi ni kijana amabae inasemekana kuwa yeye mwenyewe ni mvuta unga lakini kwa fedha alizokuwa nazo huwezi kumshuku. Ni kijana ambae kila mmoja anamhara kwa fedha na ufedhuli wake. Mama yao ana ujamaa wa karibu na Omar Mapuri na ndio wanapopatia kiburi.

Serikali inawaogopa sana kwani wamesha tajirika na hawaoni taabu kugawana fedha na wachache wa kuwalinda.

Inashangaza sana kuona Serikali inakaa kimya kuhusu hawa vijana, waliojilimbikizia mali zisizo na uhalali.
 
Hawa jamaa kwawatu wanaofanya biashara za China tunawajua sana. Ukienda huko wanakwambia watakuletea mzigo wako na wanakuchaji kwa ukubwa wa mzigo ghara ambayo ni ndogo kidogo ya watu wengine wanaosafirisha mizigo kutoka china. Tofauti yao na wengine ni kwamba wengine ukifika unaonyeshwa umelipia mzigo wako ushuru shilingi ngapi na unapewa makaratasi yako kama ukikamwata njiani na polisi au watu wa idara ya forodha.

Sasa hawa jamaa HSC wakikusafirishia mzigo wakifikisha Dar wanakutolea kabisa lakini HAWAKUPI KARATASI YA AINA YOYOTE! Ukiuliza karatasi unaambiwa tulikubaliana hakuna karatasi. Ukiomba wakupe hata kirisiti cha kwao au karatasi yoyote yanjiani kama delivery note ili kusaidia kama mtu ukiulizwa njiani hawakupi. Ndio maana wafanyabiashara wengi wa Mwanza na Arusha wanaosafirisha mizigo kutoka China wanashindwa kuwatumia kwasababu wamekuwa wakisumbuliwa sana njiani na HSC hawasaidii kitu ukikamatwa maana wanasema hawakujui na hawajui mzigo umeutoa wapi. Yaani wakati wanapokea mzigo China wanaongea vizuri sana na watakwambia usiwe na wasiwasi wowote lakini wakishakukabidhi mzigo wako Tanzania ukakamatwa nao huko nje ukawarudia kuomba msaada watakavyokujeuka na matusi hutaamini hao ndio watu uliokuwa ukicheka nao jana.

Mimi naongea kwa machungu maana nimefanya nao kazi sana na nazijua ofisi zao pale Guangzhou na vitu walivyonifanyia hapa nahasara niliyoipata vitu vyangu vilipokamatwa siwezi kuwasamehe maana niliwalipa kodi zote za serekali na gharama ya kusafirisha kumbe ile kodi hawakulipa ndio wanaitumia kununulia mizigo yao.

Usione wanafungua Maduka mengi ni kwamba wanatumia kodi za wafanyabiashara wadogowadogo wanaosafirisha mizigo kutoka china na zile kodi ambazo hawa wafanyabiashara wangezilipa serekalini wao ndio wananunulia mizigo ya maduka yao.

Hapo nimewafafanulia sehemu moja tu ya biashara yao. Hakuna Polisi, Mtumishi wa idara ya Forodha na TRA kwa ujumla anayeweza kuwasogelea maana watatukanwa na kesho yake wanawasimamaisha kazi au wanawabadili ofisi. Kama ni majungu nendeni Customs Longroom muulizie Manager wa FAST TEAM ambayo ndio inashughulika na kukamata macontena ambayo hayakulipiwa ushuru au yaliyolipiwa kidogo Mr Kahise ni kwanini aliondolewa. Alipewa order yakuachia kontena alilokamata na alipokataa na kusisitiza EIDHA KONTENA LILIPIWE AU MIMI NITOLEWE TRA alikuwa amewekwa kwenye load speaker na kesho yake akapewa barua ya kushushwa cheo na kuamishwa idara!

Hiyo ilikuwa fundisho tosha kwa maofisa wengine wa idara ya forodha baada yakuona bosi wao kilichompata. Sasahivi TRA wakikusumbua ukiwaambia ni mzigo wa HSC tu unapita bila wasiwasi ila wasumbufu ni hawa wahuku nje barabarani ambao hawawajui vizuri.

Mimi sina shaka ya hata chembe kwamba familia ya mkuu wa nchi inahusika maana wao wenyewe wanakwambia waziwazi wakati wanapokupa guarantee ya kwamba mzigo wako utatoka bila wasiwasi na bila gharama yoyote ya storage kwasababu Rais anasimamia mizigo yao na kwamba mtu akiwasumbua wanachukulia hatua mara moja!
 
Duh ! kaazi kweli kweli, kwanini sheria haichukuliwi kwa hawa watu basi? kama Rais hahusiki kwanini watu hawa wasichunguzwe? Nchi yetu imegeuka CHAKA namna hii, TUNAMINYWA KODI sisi wananchi na vimshahara mbuzi wakati watu wenye mapesa yao wanaachiwa?! bosi wa TRa anafanya kazi gani? haoni haya ? hasomi jamani?
 
Hawa jamaa kwawatu wanaofanya biashara za China tunawajua sana. Ukienda huko wanakwambia watakuletea mzigo wako na wanakuchaji kwa ukubwa wa mzigo ghara ambayo ni ndogo kidogo ya watu wengine wanaosafirisha mizigo kutoka china. Tofauti yao na wengine ni kwamba wengine ukifika unaonyeshwa umelipia mzigo wako ushuru shilingi ngapi na unapewa makaratasi yako kama ukikamwata njiani na polisi au watu wa idara ya forodha.

Sasa hawa jamaa HSC wakikusafirishia mzigo wakifikisha Dar wanakutolea kabisa lakini HAWAKUPI KARATASI YA AINA YOYOTE! Ukiuliza karatasi unaambiwa tulikubaliana hakuna karatasi. Ukiomba wakupe hata kirisiti cha kwao au karatasi yoyote yanjiani kama delivery note ili kusaidia kama mtu ukiulizwa njiani hawakupi. Ndio maana wafanyabiashara wengi wa Mwanza na Arusha wanaosafirisha mizigo kutoka China wanashindwa kuwatumia kwasababu wamekuwa wakisumbuliwa sana njiani na HSC hawasaidii kitu ukikamatwa maana wanasema hawakujui na hawajui mzigo umeutoa wapi. Yaani wakati wanapokea mzigo China wanaongea vizuri sana na watakwambia usiwe na wasiwasi wowote lakini wakishakukabidhi mzigo wako Tanzania ukakamatwa nao huko nje ukawarudia kuomba msaada watakavyokujeuka na matusi hutaamini hao ndio watu uliokuwa ukicheka nao jana.

Mimi naongea kwa machungu maana nimefanya nao kazi sana na nazijua ofisi zao pale Guangzhou na vitu walivyonifanyia hapa nahasara niliyoipata vitu vyangu vilipokamatwa siwezi kuwasamehe maana niliwalipa kodi zote za serekali na gharama ya kusafirisha kumbe ile kodi hawakulipa ndio wanaitumia kununulia mizigo yao.

Usione wanafungua Maduka mengi ni kwamba wanatumia kodi za wafanyabiashara wadogowadogo wanaosafirisha mizigo kutoka china na zile kodi ambazo hawa wafanyabiashara wangezilipa serekalini wao ndio wananunulia mizigo ya maduka yao.

Hapo nimewafafanulia sehemu moja tu ya biashara yao. Hakuna Polisi, Mtumishi wa idara ya Forodha na TRA kwa ujumla anayeweza kuwasogelea maana watatukanwa na kesho yake wanawasimamaisha kazi au wanawabadili ofisi. Kama ni majungu nendeni Customs Longroom muulizie Manager wa FAST TEAM ambayo ndio inashughulika na kukamata macontena ambayo hayakulipiwa ushuru au yaliyolipiwa kidogo Mr Kahise ni kwanini aliondolewa. Alipewa order yakuachia kontena alilokamata na alipokataa na kusisitiza EIDHA KONTENA LILIPIWE AU MIMI NITOLEWE TRA alikuwa amewekwa kwenye load speaker na kesho yake akapewa barua ya kushushwa cheo na kuamishwa idara!

Hiyo ilikuwa fundisho tosha kwa maofisa wengine wa idara ya forodha baada yakuona bosi wao kilichompata. Sasahivi TRA wakikusumbua ukiwaambia ni mzigo wa HSC tu unapita bila wasiwasi ila wasumbufu ni hawa wahuku nje barabarani ambao hawawajui vizuri.

Mimi sina shaka ya hata chembe kwamba familia ya mkuu wa nchi inahusika maana wao wenyewe wanakwambia waziwazi wakati wanapokupa guarantee ya kwamba mzigo wako utatoka bila wasiwasi na bila gharama yoyote ya storage kwasababu Rais anasimamia mizigo yao na kwamba mtu akiwasumbua wanachukulia hatua mara moja!

Hiyo nyekundu sikubaliani nayo, ingawa hawa watoto ni maharamia lakini la Rais kuwa anawalindia mizigo yao haliingii akilini.
 
Home Shopping Centre ni vijana wachapakazi wamejitanunua zaidi mpaka China, Hong Kong, Dubai, Rwanda.

Mara ya mwisho nimekwenda kuchukuwa mizigo yangu kule Keko jamaa wanapiga kazi sana kuna wafanyakazi zaidi ya mia mbili..

Kule China ukienda kwenye wear house yao wamewajiri wachina wengi tu kazi yao kubeba mizigo.

Saidi Mashuka, Gharibu, Halim..pigine kazi hawa wanaolalamika ni wivu tu ndio unawasumbua.
 
Hawa jamaa kwawatu wanaofanya biashara za China tunawajua sana. Ukienda huko wanakwambia watakuletea mzigo wako na wanakuchaji kwa ukubwa wa mzigo ghara ambayo ni ndogo kidogo ya watu wengine wanaosafirisha mizigo kutoka china. Tofauti yao na wengine ni kwamba wengine ukifika unaonyeshwa umelipia mzigo wako ushuru shilingi ngapi na unapewa makaratasi yako kama ukikamwata njiani na polisi au watu wa idara ya forodha.

Sasa hawa jamaa HSC wakikusafirishia mzigo wakifikisha Dar wanakutolea kabisa lakini HAWAKUPI KARATASI YA AINA YOYOTE! Ukiuliza karatasi unaambiwa tulikubaliana hakuna karatasi. Ukiomba wakupe hata kirisiti cha kwao au karatasi yoyote yanjiani kama delivery note ili kusaidia kama mtu ukiulizwa njiani hawakupi. Ndio maana wafanyabiashara wengi wa Mwanza na Arusha wanaosafirisha mizigo kutoka China wanashindwa kuwatumia kwasababu wamekuwa wakisumbuliwa sana njiani na HSC hawasaidii kitu ukikamatwa maana wanasema hawakujui na hawajui mzigo umeutoa wapi. Yaani wakati wanapokea mzigo China wanaongea vizuri sana na watakwambia usiwe na wasiwasi wowote lakini wakishakukabidhi mzigo wako Tanzania ukakamatwa nao huko nje ukawarudia kuomba msaada watakavyokujeuka na matusi hutaamini hao ndio watu uliokuwa ukicheka nao jana.

Mimi naongea kwa machungu maana nimefanya nao kazi sana na nazijua ofisi zao pale Guangzhou na vitu walivyonifanyia hapa nahasara niliyoipata vitu vyangu vilipokamatwa siwezi kuwasamehe maana niliwalipa kodi zote za serekali na gharama ya kusafirisha kumbe ile kodi hawakulipa ndio wanaitumia kununulia mizigo yao.

Usione wanafungua Maduka mengi ni kwamba wanatumia kodi za wafanyabiashara wadogowadogo wanaosafirisha mizigo kutoka china na zile kodi ambazo hawa wafanyabiashara wangezilipa serekalini wao ndio wananunulia mizigo ya maduka yao.

Hapo nimewafafanulia sehemu moja tu ya biashara yao. Hakuna Polisi, Mtumishi wa idara ya Forodha na TRA kwa ujumla anayeweza kuwasogelea maana watatukanwa na kesho yake wanawasimamaisha kazi au wanawabadili ofisi. Kama ni majungu nendeni Customs Longroom muulizie Manager wa FAST TEAM ambayo ndio inashughulika na kukamata macontena ambayo hayakulipiwa ushuru au yaliyolipiwa kidogo Mr Kahise ni kwanini aliondolewa. Alipewa order yakuachia kontena alilokamata na alipokataa na kusisitiza EIDHA KONTENA LILIPIWE AU MIMI NITOLEWE TRA alikuwa amewekwa kwenye load speaker na kesho yake akapewa barua ya kushushwa cheo na kuamishwa idara!

Hiyo ilikuwa fundisho tosha kwa maofisa wengine wa idara ya forodha baada yakuona bosi wao kilichompata. Sasahivi TRA wakikusumbua ukiwaambia ni mzigo wa HSC tu unapita bila wasiwasi ila wasumbufu ni hawa wahuku nje barabarani ambao hawawajui vizuri.

Mimi sina shaka ya hata chembe kwamba familia ya mkuu wa nchi inahusika maana wao wenyewe wanakwambia waziwazi wakati wanapokupa guarantee ya kwamba mzigo wako utatoka bila wasiwasi na bila gharama yoyote ya storage kwasababu Rais anasimamia mizigo yao na kwamba mtu akiwasumbua wanachukulia hatua mara moja!

Tatizo ni Biashara ikishaingia 'wait haus'....wenye usukani na fedha, wanafanya wapendavvyo na kujua kuwa wasimamia sheria wameshawekwa mfukoni....! Hawajaanzia hapa...!
Baba wa Taifa, Nyerere alishaonya kuwa ukiona mtawala yoyote anachezea 'wait haus' au anaachia tu 'ichezewe' na kuingiliwa na wafanyabiashara kama 'pango la majambazi' nchi imekwisha...ni viongozi wa kuogopa kama ukoma....hilo tunalo na tunalibeba mabegani mwetu kama laana tayari...ndio maana nchi haiendi, haitawaliki...wizi mtupu, raia wanakufa taabu na shida kila siku!

My take...ukombozi ni lazima...!

'Wait haus' ilishakamatwa, mikono ya Utawala imeshafungwa na fedha'...na ili kudhihirisha ukweli, Tazameni historia ya jamaa hawa ktk issue ambayo ilikwishawasilishwa pia na blog ya FeedBlitz kama ilivyo chini:

Serikali imewekwa mfukoni na Said na Ghalib Saad?

WAFANYABIASHA Said Mohammed Saad na Ghalib Mohammed Saad,ndugu wenye uraia wa Saud – Arabia na Tanzania walioripotiwa na gazeti la Raia Mwema hivi karibuni kuiibia serikali wastani wa bilioni 50 kwa mwaka, kwa udanganyifu wanapoingiza mizigo kutoka nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es Salaam, hawajaguswa na serikali badala yake wanaoshughulikiwa ni maofisa wa TRA.

Hatua hiyo ya TRA kuwasimamisha kazi baadhi ya watumishi wake inasadikiwa kuwa moja ya janja ya kuwaepuka wakubwa waliofaidi wizi huo kwa kuzima moto uliowashwa na vyombo vya habari, maafisa wa usalama wa taifa na baadhi ya wabunge ambao hivi karibuni walishauri wafanyabiashara hao wachunguzwe ikithibitika wafikishwe mahakamani.
Wafanyabiashara hao wanaomiliki Kampuni ya Home Shopping Center, Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi, sasa wanamwaga fedha kwa vigogo wa TRA ili ukaguzi wa kumbukumbu za bidhaa walizoingiza kwa kukwepa kodi tangu mwaka 2000, walipoanza biashara chini wakitokea nje ya nchi isitekelezwe.

Gazeti la Raia mwema katika matoleo mawili mwezi uliopita, lilianika wizi waliokuwa wakifanya kwa kukwepaji kulipa kodi kwenye bandari ya Dar es Salaam, wakishirikiana na baadhi ya maafisa wa TRA, TICTS na TPA.
Ilielezwa, kila kontena la futi 40 la nguo waliloingiza walikwepa kulipa ushuru wa sh milioni 10 kwa mwezi huku wakiingiza wastani wa makontena 200, kupitia kampuni mbalimbali za Clearing and forwarding ambazo wamekuwa wakizifungua kama uyoga, mahsusi kwa kazi hiyo.

Wanamiliki Kampuni nyingine China na Uarabuni ambazo zinaendeleza mtandao wa wizi huo, wanapoingiza bidhaa bandalini huku nyalaka zikionyesha bei ndogo kiasi cha kutia shaka, TRA wanapotaka kuthibitisha kwa muuzaji hujikuta wakiuliza mtu kampuni inayomilikiwa na mwenye mzigo husika.

Mbunge wa Viti Maalum, Chadema, Lucy Owenya, wiki iliyopita aliitaka serikali kutoa ufafanuzi kwa nini wafanyabiashara hawa wasichukuliwe hatua wakati wameibia nchi kiasi kikubwa cha fedha.

Alihoji, kwa nini serikali inapata kigugumizi kuwachukulia hatua? Kwa sababu ni wanaifadhili CCM ambao uchaguzi wa mwaka huu wameahidi kukichangia Sh milioni 500? Au nini?

Mengine yamebainika kuwa, waliingia nchini kinyume na taratibu ingawa walipita uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kutokomea mitaani kabla ya kutumia fedha kuhalalisha uwepo wao nchini.

Mwaka 2005, Said Mohammed, alimpiga risasi mfanyakazi wake alipokuwa akishusha bidhaa dukani kutoka kwenye gari lake, akamaliza shauri hilo kwa kumwaga fedha kwa aliyepigwa risasi, ndugu bila shaka na kituo cha polisi Msimbazi ambapo shauri hio lilifikishwa.

Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku kwenye Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam, wakati mashabiki wa Simba wakipita mbele ya duka lake wakisherehekea ushindi wa timu yao alimpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent. Shauri hilo pia lilifikishwa polisi Msimbazi, likaisha kama la awali.

Said na mdogo wake Ghalib wanamiliki genge la Wahalifu linaitwa Ze Popobawa ambalo linalowalinda na kuwaadhibu wapinzani au adui zao.

Miongoni mwa matukio yaliyofanywa na kundi hilo ni kumteka nyara, kumlawiti kisha kumpeleka Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere ili kumrejesha kwao kwa nguvu, mwanaume mwenye asili ya Lebanoni anayefanya biashara Dar es salaam.

Alikuwa anamiliki duka la vifaa vya nyumbani lililokuwa jirani na makutano ya barabara ya Morogoro na Bibi Titi, lakini baada ya tukio hilo duka hilo limehamishwa kwa sababu baada ya kukataa kurejeshwa kwao kwa nguvu, anaishi kwa kujifichaficha kuwaepuka wakina Saad.
Sababu ya Mlebanoni huyo aliyekuwa rafiki wa karibu wa Saad ni kumpa mimba mdogo wa Said aitwaye Salha bila kuoana kama mila zao za Yemeni zinavyotaka. Kwa sasa Said ana uraia wa Saud Arabia.

Kwa kupata mimba, Salha alipigwa na hao kaka zake, akanyolewa nywele zote na kunyweshwa vidonge ambavyo havikujulikani aina yake na alimpa kwa sababu zipi?

Binti huyo aliripoti tukio hilo kituo cha polisi Osterbay, likafunguliwa jalada OB/RB/13915 la Agosti 5 mwaka 2009.

Kama ilivyokuwa kwa matukio ya awali, mbali na polisi kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo, hadi kesho wanashangaa na hawajafanya lolote kufuatilia tukio hilo na tokea Salha aripoti tukio hilo, hajarudi kituoni hapo wala namba ya simu yake ya mkononi aliyoacha kituoni hapo haipatikani.

Kampuni nyingi za Clearing and Forwarding zilizokuwa zikimilikiwa na Said na kutumiwa kuiba makontena ya bidhaa anazoingiza nchini kutoka nje, baada ya kuthibitika kutenda makosa hayo zimefungiwa, ingawa kila ikifungiwa moja nyingine inasajili Brela kwa majina bandia kwani TRA inapohitaji mmiliki wake anayetokea huwa ni Said.

Maovu hayo yamemnufaisha vilivyo mfanyabiasha huyo. Said tangu alipoingia nchini mwaka 2000 anamiliki nyumba sita za ghorofa eneo la Kariakoo pekee.

Moja yenye ghorofa saba ipo mtaa wa Swahili na Msimbazi. Sehemu ya juu amewapangisha watu lakini kwa TRA anadaganya kwamba ni hoteli, kuendeleza kamchezo ka kukwepa kulipa kodi.

La pili lenye ghorofa sita lipo mtaa wa Congo na Agrey. La tatu lipo barabara ya Uhuru mkabala na shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa, bado linajengwa ni ya ghorofa.

La nne lipo mtaa wa Livingstone na Uhuru, jingine la tano lenye ghorofa sita lipo mtaa wa Mkunguni Kariakoo Sokoni karibu na duka la Azam Ice Cream na la sita lipo mtaa wa Lumumba karibu na CCM makao makuu limepakana na Hospitali ya Burhan.

Hivi watanzania tutaendelea kuona watu wakigeuza nchi yetu shamba la bibi mpaka lini? Ina maana kuifadhili CCM mtu anaachiwa kufanya anavyotaka?

Hii inatia shaka kwamba hata CCM wamepungukiwa kidogo kwa sababu kama mtu anakwepa ushuru sh bilioni 50 akatumia 500 milioni"kuwadhamini" ni dhahili ni kupungukiwa kwa kiasi kikubwa.

Inaashiria nchi ipo mikononi mwa hatari sawa na kwamba imezungukwa mabomu hatari ambayo yakiripuka athari yake itagusa kuanzia kizazi hiki mpaka cha ishirini kijacho.
Je, wana CCM kukubali ufadhili wa watu wa aina hii hawaoni kama wanarejesha historia ya mikataba waliyokuwa wakiingia machifu wa zamani akina magunga na Kimweri na wakolini?.
Rais Jakaya Kikwete , TRA, Usalama wa taifa letu, Takukuru, Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo chukueni hatua!
JamiiForums |The Home of Great Thinkers
 
Nimefuatilia kwa umakini jinsi boss wa HSC ambavyo anaingiza mizigo bila kulipa kodi. Na imefikia ukitaka kuingiza mzigo na unataka unafuu mtumie huyu jamaa ana kampuni ya clearing and forwarding, unampa yeye pesa mzigo anakuletea bila hata nyaraka moja ya TRA na hakuna hata mmoja wa mabosi wa TRA na TPA ambaye amekuwa tayari kuongelea hii issue. Kwa kweli wana JF pale TRA panatakiwa pachunguzwe vizuri ni sehemu yenye uoza wa kutisha.

Source: Dira ya mtazania ya leo 21/05/2012 na mengine ninayajua mwenyewe kwani na mimi ni mdau wa utoaji mizigo bandarini
 
Back
Top Bottom