Home Shopping Centre: How do they do business?

Home Shopping Center ilikuwa liquidated zamani na haipo tena kisheria.

Tafuteni lingine.

Kwa kuwajuza tu, kuna Alosco, kuna Green Leaf na makampuni na biashara nyingine nyingi sana, kuanzia za viwanda mpaka usafirishaji za hao hao waliokuwa wamiliki wa HSC na hazina shaka wameajiri "professionals" kuziendesha.

Kama kuna madudu mngeanza kwa kuwauliza wale wahasibu na wakaguzi wa mahesabu waliokula kiapo cha uadilifu wenye ma "CPA", vipi wao waone madudu wakae kimya?
 
Last edited:
Nimetafuta tayari. Sasa hapo chini ndiyo umeandika nini? Yaani Ajuza siku hizi Joto la Ngosha linakutesa.

Kweli wewe ni Nyinge Nyingi Sana.
Tafuteni lingine.

Kwa kuwajuza tu, kuna Alosco, kuna Green Leaf, (na-kuna na mbele, hapa weka mkato) makamuni na biashara nyinge nyingi sana, kuanzia za viwanda mpaka usafirishaji za hao hao waliokuwa wamiliki wa HSC na hazina shaka wameajiri "professionals" kuziendesha.
 
And yet another way of getting rid of you
capital-punishment-world-amazing-incredible-rare-images-pictures-photos-electric-chair-003.jpg
Stranded on death row- Dr. Dre The Chronic album
 
Back
Top Bottom