Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

Mimi bado napeta - Papaa Ndallo Mutu ya Mungu Mutu ya Kilo watachoka wote lakini mimi bado natesa! ''Eeee Kambo Zali Minene!
 
kuna stori moja niliipata kijiweni kuwa MUHESHIMIWA KAWAWA alishawahi kuwa pedeshee wa mujini enzi zake kabla hajajiingiza kwenye siasa enzi hizo...
 
Hahahaa mkuu hao kwenye red sijawahi wasikia, wapo sehemu gani.................?

Kimeta ni fogo ya milelani na mponjoli ndio yule mwizi wa magari ya kifahari kama mavogue aliyedakwa uingeleza akalimwa nyundo nne.
 
unaona sasa akili yako inapoishia.... kuanza kumshambulia mtu kwa kejeli/ kumyusi au kumtania katika hoja kama hii ni moja ya dalili ya kushindwa
na wewe ndio mmoja wa ma GT wa JF
wewe ndo umeanza kunishambulia kwenye thread number kumi (#10),then naona unaendelea na sijakutusi sehemu yeyote ile katika thread zangu
mm huasishindwi kitu,wala siogopi ban nina id 12 tofauti zote zipo active
ila naomba yaishe,tusifike mbali ndugu yangu,sote tupo hapa kwa ajili ya kujenga si kubomoa

samahani jf member wote waliokereka ! tulikuwa tunasaidiana tu na huyu ndugu!
 
wengi wao ni 'wapigaji' hawana dili endelevu. wakipiga pesa wanajitangaza sana na ndo maana wakifulia kila mtu atajua
 
Mapedeshee hao ni matapeli wakubwa mno, usiombe hata kufahamiana nao, manake wakikujua una chochote hasa ardhi iliyopo sehemu potential lazima watakudhulumu. Ni watu hatari kuliko sumu, na ni wapiga kazi wazuri sana kwa kushirikana na maofisa wetu wasio waaminifu.

Wafie huko waliko, huyo mapedeshee manake wakirudi huku mtaani amani inatoweka kabisa. Naipongeza serikali kwa kuwaning'iniza huko jela, wamezidi kiburi na majitambo kwa wananchi!
 
Umofia kwenu,
Miaka mi4 iliyopita liliibuka wimbi la kila mtu akiwa na tu milion 2 bank na yeye ni pedeshee anatajwa kwenye vipindi vya redio na kwenye nyimbo za ki-congo lakin mwaka wa 2012 mwishoni mpaka sasa siwasikii kabisa,hv wapo wapi? Au biashara zao zilizokuwa zinawaingizia big money fast money zimekata? Ilikuwa haipiti dakika kwenye redio bila kusikia papa musofe mzee wa pake,kizaizai super tall,chief kiumbe full boss,mama wa magari saadan kashindye,king dodo la bushe,ndama pedeshee,young millionea muzamil katunzi,papa felician and the like siku hizi wapo wapi hawa watu?
 
Tangu kamata kamata ya "sembe" na "punda" ishike kasi.jamaaa hawasikiki tena.
Enzi zao majina yao yalikuwa ni sehemu ya mashairi kltk nyimbo! . ...........Wapi papa king kong,wapi papa bravo mzee wa pamba kali,wapi papa ------, sijui wapi papa nani na nani.takataka tupu....kina bl gates
 
umuofia kwenu ...yaaaah.
chezeya serkali yaJK wewe. kwaza walianza na papaa musofe wakatia gerezai. halafu mwizi Alex Masawe akaingia mitini waliobaki wate wamefyata mikia kama mbwa aavyoweka kia ktkt ya miguu ya nyuma na kusepa
 
Back
Top Bottom