Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

Kwa Watanzania walio wengi jina Mapedeshee au Mapapaa ni maalufu lakini natumaini watanzania baadhi hawajui Mapedeshee ni aina gani ya watu na wanafanya kazi gani kama sehemu ya maisha yao,manake sifa zao kubwa zilianza kutajwa kupitia miziki ya dansi lakini sasa wameamia kwenye ubongo wa fleva [Kizazi kipya].Majina maalufu kwenye kutajwa huko ni kama Papaa Msofee,Pedeshee Ndama Mtoto wa Mbuzi nk.

Nimeeandika thread hiii baada ya kumuona Mama mmoja mjane akilalamika kwenye taarifa ya habari ya ITV kuwa Pedeshee au Papaa Msofe amemdhulumu Mjane huyo kiwanja chake chenye nyumba juu yake ambayo mumewe alijenga ikiwa na thamani ya Shilingi Millioni Ishirini na Nne.

Mama huyo analalamika kuwa amepeleka malalamiko polisi lakini ajabu Polisi wakishaonana na Pedeshee au Papaa Msofe [Marijani] basi wanasepa kimya kimya na mjane huyo akiwafuatilia wanauchunu.Hivyo kupitia msaaada wa TAMWA [Tanzania Media Womeni Association] anaomba msaada wa Waziri Mkuu kumsaidia kukabiliana na Pedeshee huyo ili apate mali hiyo aliyoachiwa na marehemu mumewe.

Kwa wanajamii tujuzeni list ya hao Mapedeshee na Kazi zao manake uenda wengine humu jamvini tukajifunza kitu kuhusu hawa mapedeshee na kazi zao.Nlipatwa kudokezwa lakini dokezo ilo sikulipa tafsiri lasmi kwa kuwa kupitia jamvi, nilichoambia uenda kikawa na msaada kwa wanajamii ambao wameshapata kuathirika au wanategemea kuathirika na vitendo vya Mapedeshee hao.

Nawasilisha

Pedeshee, Riziwani JK
 
Nimepata dokezo kuwa kuna pedeshee mmoja kwa kushirikina na mchina mpigaji, kapiga usaniii wachina biashara fake ya mchanga wa madini kwa thamani ya shillingi zikalibiazo usd dollar millioni karibu trioni mja na kitu.Kwa yeyote mwenye kujua atupe mchango wake.Manake watanzania uwa atui kuassociate kupolomoka kwa uchumi na matendo yetu ya kila siku ya kibiashara hivyo tunajikuta tunaporomoka kumbe uchumi mkubwa unamilikiwa na watu wachache na kwa njia zaa kiuni.
 
Hawa jamaa huwa wanafaidi watoto wakali mpaka napata hasira.

VIDEO Queen mwenye taito kubwa Bongo, Rehema Fabian, juzikati alinaswa akifanya mambo ya chumbani hadharani na pedeshee anayefahamika kwa jina la Jacob Best, kitendo kilichozua maswali kibao kutoka kwa wadau walioshuhudia uchafu huo na kutafsiri kuwa ni ufuska, Ijumaa Wikienda linakudondoshea.

Ishu hiyo ilinaswa live na paparazi wetu Oktoba 18, mwaka huu ndani ya New Maisha Club, Masaki jijini Dar es Salaam. Rehema na pedeshee huyo walitinga kiwanjani hapo wakiwa ameshikana mikono, wakajiweka mahali na kuanza kuchapa ‘matingas’ kwa kasi.

Kilevi kilipokolea vichwani mwao, walianza kudendeka hadharani, bila kujali umati wa watu uliokuwa ukiwashuhudia.

“Sikutegemea kama bado Rehema ana tabia za kifuska kiasi hicho. Walichokuwa wanakifanya hakipaswi kufanywa eneo kama hili bali chumbani, ama kweli dunia imekwisha,” alisema mmoja wa shuhuda wa tukio hilo.

Rehema alipotafutwa na kuwekwa mtu kati ili aeleze sababu za kufanya uchafu ule, alifunguka kuwa pedeshee huyo ndiyo mumewe mtarajiwa hivyohaoni ubaya kufanya chochote mahali popote.

i CAN ASSURE YOU KUWAMBA HAKUNA MTOTO YOYOTE MKALI ANAYETEMBEA NA HAWA jamaa wu kufaidi kama wewe unavodai. the truth of the matter: wanafaidi vyangu. Do you wish to be in the same boat? On my side, very big no!
 
Kumekuwa na mlolongo mkubwa wa kushuka au kuanguka kwa mapedeshee wa Tanzania kwa miaka miwili hii tukianza na Muzamili waliyemfanya asiwe Riziki na Waisrael kule China kama sikosei.

Huu mwaka umekuwa sio mzuri kwa papa Msoffe kwani muda mwingi yuko Gerezani na hali yake ni Mbaya sana kwa kesi ya Mauaji.

Je, huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa Mapedeshee Tanzania?

Je, ni kuna wanaofuata baada ya wao?

Tusubiri.
 
Pedesheee DAVID KABUNGA alikuwa anamiliki chaga bite kafa na ukimwi. Elly mtoto wa mbezi naye kafa na ukimwi. Pedesheee MACHENI naye ndio kama unavyoona bar yake kwishnei
 
Wapi Ndama? Wapi Papa King? Wapi Lemakoo? Wapi Sunda? Wapi Askofu? Wapi Chief kiumbe? Wapi abdul tall? Wapi kimeta? Wapi mponjoli? Wapi jack pemba? Kwasasa anaotingisha ni Ustadh Juma na Musoma! Papaa Musofe kwishney!
 
Ustadhi Juma na Musoma naye ni pedeshee??
 
Pedesheee DAVID KABUNGA alikuwa anamiliki chaga bite kafa na ukimwi. Elly mtoto wa mbezi naye kafa na ukimwi. Pedesheee MACHENI naye ndio kama unavyoona bar yake kwishnei

Watu wanaomiliki vitu ambavyo vina support umalaya na yeye lazima awe malaya
 
acheni kufatilia maisha ya watu nyie vijana !asubuhi yote hiii mnaanza umbea alafu wachangiaji wote ni midume
 
acheni kufatilia maisha ya watu nyie vijana !asubuhi yote hiii mnaanza umbea alafu wachangiaji wote ni midume

ungeanza kutuonesha wewe uanaume wako wa kuwa na high esteem yako umeshindwa mwanaume mzima unakuwa una low esteem mpaka unatumia jina la mwanaume mwenzako kujiita wewe then unajiita mwanaume
 
Wapi Ndama? Wapi Papa King? Wapi Lemakoo? Wapi Sunda? Wapi Askofu? Wapi Chief kiumbe? Wapi abdul tall? Wapi kimeta? Wapi mponjoli? Wapi jack pemba? Kwasasa anaotingisha ni Ustadh Juma na Musoma! Papaa Musofe kwishney!

Hahahaa mkuu hao kwenye red sijawahi wasikia, wapo sehemu gani.................?
 
ungeanza kutuonesha wewe uanaume wako wa kuwa na high esteem yako umeshindwa mwanaume mzima unakuwa una low esteem mpaka unatumia jina la mwanaume mwenzako kujiita wewe then unajiita mwanaume
haka kabinti kana gubu ,nahisi yupo kwenye sikuze
sorry huu ujumbe ulikuwa kwaajili ya wanaume tu,kwa hiyo dada we tulia tu maana naona unanichokoza!
 
haka kabinti kana gubu ,nahisi yupo kwenye sikuze
sorry huu ujumbe ulikuwa kwaajili ya wanaume tu,kwa hiyo dada we tulia tu maana naona unanichokoza!
unaona sasa akili yako inapoishia.... kuanza kumshambulia mtu kwa kejeli/ kumyusi au kumtania katika hoja kama hii ni moja ya dalili ya kushindwa
na wewe ndio mmoja wa ma GT wa JF
 
Back
Top Bottom